“….hapa napenda ninukuu maneno ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyoyasema wakati akifungua mkutano ule wa mw…“….hapa napenda ninukuu maneno ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyoyasema wakati akifungua mkutano ule wa mw…

“….hapa napenda ninukuu maneno ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyoyasema wakati akifungua mkutano ule wa mwaka 1984 nanukuu “kazi ya uhakimu ni ngumu na inahitaji uadilifu mkubwa na kwamba si kila mtu anaweza kuifanya kwa ufanisi, bila kuwa makini bila upendeleo na bila rushwa kwa sababu haki lazima itendeke bila uchoyo na upendeleo” hayo ndio maneno ya Mwalimu wakati ule…..”Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *