“….huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa ‘engineering’ gani imetumika Mahakamani mpaka mtu aka…“….huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa ‘engineering’ gani imetumika Mahakamani mpaka mtu aka…

“….huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa ‘engineering’ gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo……”-Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *