#MICHEZO: Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema timu yake imejipanga vizuri kwa ajili ya fainali ya Mapinduzi CUP dhidi ya Yanga SC na wanachohitaji ni ushindi katika mchezo huo unaotarajiwa kupigwa leo Januari 13, 2026 ili waweze kuwa mabingwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
