Mtanga akieleza miongoni mwa wasanii aliokuwa akiwavutia sana katika harakati zake za kuingia kwenye tasnia ya uigizaji.
Anasema zamani alikuwa ‘Mwarabu’, Msikilize hapa
Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz