#HABARI: Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la James Francis mwenye umri wa miaka 28 anayeishi wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Hayo yamejiri Wilaya ya Babati, ambapo na mtuhumiwa anayetajwa kwa jina la Eliasa Said anadaiwa kumshambulia James anayedaiwa kuwa mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mmoja aitwaye Melania Khuway ambaye pia anadaiwa kuwa mpenzi wa Eliasa.

Marehemu James Francis anadaiwa kuwa alikuwa ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara.

Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *