Ni usiku wa Saa nane, giza totoro, ukiwa kama Dereva wa Lori, uko barabarani kusafirisha mzigo na ghafla kinatokea kiumbe cha ajabu katikati ya barabara hatua gani utachukua …? …

Hayo yanawafika Madereva wa Malori usiku, huwa inakuwaje ni leo kuanzia Moja na nusu Usiku, kwenye Sentro ya Clouds Tv..

Kachero wa usiku Kama Mchana @ntibashima_tz atanyoosha akiwa na Baadhi ya Madereva hao wanaotumia Barabara ya Bagamoyo…. #ukm #usikukamamchana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *