Kila mtu anaye rafiki, ndugu au jamaa, ambeaye ni rafiki wa kuzikana. Kwenye shida na raha, yupo naye, na ikifika kwenye suala la kutembeleana, haina haja ya kutoa taarifa.Swali niJe, ni nani rafiki huyo kwako?
Comment yako itasomwa na @neypova kupitia TheSpark ya Clouds TV, huku burudani ikisimamiwa na The One and Only @djfantastic255, kuanzia saa 05:00 hadi 06:00 jioni ya leo.