Mgombea Urais wa chama cha CHAUMMA, Salum Mwalim ameahidi kuweka mazingira huru ya kujadili maboresho ya mfumo wa elimu nchini e…
Mgombea Urais wa chama cha CHAUMMA, Salum Mwalim ameahidi kuweka mazingira huru ya kujadili maboresho ya mfumo wa elimu nchini endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi. Ameongeza kuwa lengo ni…