29.08.2025
DIRA.BZ29.08.202529 Agosti 2025 Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa mji wa Gaza+++Kesho dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya waathirika wa matukio ya kutoweka na utekaji+++Ligi kuu…
DIRA.BZ29.08.202529 Agosti 2025 Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa mji wa Gaza+++Kesho dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya waathirika wa matukio ya kutoweka na utekaji+++Ligi kuu…
Katika shambulio lake la Ijumaa usiku Yemen ilifanyia majaribio kwa mafanikio kombora jipya dhidi ya adui Mzayuni, jambo ambalo lilizifurahisha sana kamati za muqawama wa Palestina na kuzifanya ziwashukuru watu…
Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah huku akisisitiza kuwa, uamuzi wa serikali ya Lebanon wa kuupokonya silaha muqawama ni uamuzi usio wa kisheria wala halali amesema: Muqawama ni utamaduni…
Maafisa wa utawala wa Kizayuni wamekiri kwamba utawala huo hauna uwezo wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora ya muqawama wa Yemen, ambayo yanalenga kwa usahihi mkubwa shabaha zilizoko katika ardhi…
#MALUMBANOYAHOJA: “Kwanza wananchi wanatakiwa kujua mgombea bora ni yupi ni kwatika hawa wanaogombea nani anafaa…”
#MALUMBANOYAHOJA: “Hoja ambayo nimeipenda sana na imenivutia sana ni kuanzishwa kwa bima kwa wazee Watoto na watu walemavu…”
#MALUMBANOYAHOJA: “Wagombea naomba Zaidi wajikite chini kwa wananchi ambao tuna hali ya chini sana…”
#MALUMBANOYAHOJA: “Ninacho kitarajia kwanza kabisa ni maendeleo na kukua kwa siasa bora Tanzania…”
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 28, AGOSTI 2025
Dunia imeshuhudia karibu miezi 23 ya mauaji ya wazi dhidi ya watu wa Palestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Malaysia amesema kuwa, nchi hiyo itadhibiti na kusimamia vilivyo vitisho au ugaidi wowote unaohusiana na suala la uungaji mkono wa Kuala Lumpur kwa…
Waziri wa mambo ya nje wa Venezuela ameishukuru Iran kwa msimamo wake thabiti wa kuunga mkono taif hilo a la Amerika ya Kusini mbele ya vitisho vya uchokozi vinavyotolewa na…
🔴 MALUMBANOYAHOJA:KUANZA RASMI KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI MATARAJIO YA WANANCHI?
Mshambuliaji aliyefyatulia risasi kanisa katika skuli ya kikatoliki kusini mwa mji wa Minneapolis nchini Marekani jana Jumatano na kuua na kujeruhi watu kadhaa ametambuliwa na gazeti la The New York…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezionya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwamba itasitisha maingiliano yake na shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia iwapo nchi hizo tatu zitalifanya…
#HABARI: Familia ya Jacob Ndukwa, wanaoishi katika Kijiji cha Ilowelo, Kata ya Lwanjilo, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi baina yao na Bw. Juma Tusiwe, ambaye anadaiwa…
Shule moja katika mji wa Minneapolis, ulioko katika jimbo la Minnesota, siku ya Jumatano, ilishuhudia maafa mengine yaliyotokana na utumizi mbaya wa silaha zilizoko mikononi mwa raia. BONYEZA HAPA USOME…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 28, 2025 – CCM YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2025
#HABARI:Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewataka madereva na makondakta wa magari ya abiria kuheshimu sheria za usalama barabarani, kwa kutoingilia misafara ya viongozi wakiwemo wagombea, kuheshimu ving’ora vya magari ya…
#MALUMBANOYAHOJA: Kuanza rasmi Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025. Je, nini matarajio ya wananchi?
Marekani imeanza kutekeleza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka India. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Katika mitaa tulivu ya Bububu Ngalawa, Zanzibar, kuna hadithi ya wanawake waliogeuza changamoto kuwa fursa, wakitumia urithi wa utamaduni wa Kizanzibari kubadilisha maisha yao na jamii zao. Kikundi hiki, kinachojulikana…
Umoja wa Ulaya umemwita balozi wa Urusi mjini Brussels Alhamisi, baada ya mashambulizi makubwa ya Urusi dhidi ya Kiev huko Ukraine ambayo yamesababisha vifo vya watu 14. Mashambulizi hayo ya…
Vituo hivyo vinatazamiwa kukamilishwa katika siku zijazo na vitawekwa kusini mwa pwani ya Gaza iliyo chini ya mzingiro. Lakini vitafunguliwa huku kile kilichoko kwa sasa kikifungwa. Katika tukio jingine, wanachama…
Taarifa za Wizara ya Afya ya Gaza zinaonyesha kuwa zaidi ya watu 62,000 wameuawa tangu Oktoba 2023, wengi wao wakiwa wanawake na watoto. Wakati huo huo, Shirika la GHF, linaloungwa…
Mamlaka ya Rwanda imetangaza siku ya Alhamisi, Agosti 28, kuwasili kwa wahamiaji saba waliofukuzwa kutoka Marekani, ambao wako Kigali tangu katikati ya mwezi Agosti. Hili ni kundi la kwanza kupokelewa…
Mamlaka nchini Ujerumani zimekamilisha uchunguzi wa idadi kubwa zaidi ya kesi za usafirishaji haramu wa binadamu na unyanyasaji mnamo mwaka 2024 tangu matukio hayo yalipoanza kuorodheshwa mnamo mwaka 2000. Maafisa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Denmark ilitangaza Jumatano kwamba imemwita balozi wa Marekani kufuatia ripoti za intelijensia zinazosema kwamba raia wa Marekani wamehusika kwa siri katika kuchochea upinzani dhidi…
Shangwe, nderemo na nyimbo za hamasa zilitawala leo jijini Dar es Salaam wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Uzinduzi huo uliofanyika…
Hatua hiyo ni sehemu ya mkataba unaoiruhusu Rwanda kuwapokea wahamiaji wanaofurushwa Marekani. Serikali ya Rwanda imesema hayo Alhamisi. Msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo, ameliambia shirika la Habari la…
Malawi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa dawa za kifua kikuu, huku maafisa wa afya wakionya kuwa akiba wanayo itaisha mwishoni mwa Septemba. Imechapishwa: 28/08/2025 – 17:25 Dakika 2 Wakati wa…
#VIDEO: “Jambo jengine tutapiga marufuku, ndugu wananchi tutapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa………. ” – Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi imesema bado ina nia ya kufanya mazungumzo ya kusitisha vita vya Ukraine. Baada ya mashambulizi hayo ya Urusi mjini Kyiv, mkuu wa Halmashauri Kuu ya…
Kufuatia sheria mpya ya usafiri iliyowekwa na serikali ya Niger, raia wa nchi zilizoathirika sasa inawalazimu wawasilishe maombi yao ya visa katika balozi za Niger zilizoko Russia, Uswisi, na Uturuki.…
Ethiopia imetia saini makubaliano na kampuni ya Dangote kutoka Nigeria ya kujenga kiwanda cha kutengeneza mbolea kitakachogharimu doma Bilioni 2.5, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ametangaza leo Alhamisi katika…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA : AGOSTI 28, 2025 –
#HABARI: Mahakama ya Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 10 mwaka huu, kusikiliza maombi ya walalamikaji katika kesi ya mgawanyo wa mali ambayo imefunguliwa na Mwenyekiti Mstaafu…
#HABARI: Wakazi wa Kata ya Kwakoa wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kumsindikiza Mgombea udiwani wa Kata ya Kwakoa Bw. kiende Mvungi kwenda kurudisha fomu ya kugombea udiwani, katika Ofisi ya…
Mataifa ya Marekani, Canada, na Kenya ni miongoni mwa nchi saba zinazolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukiimarisha Kikosi maalumu cha Usalama cha kimataifa (MSS) kilichopelekwa Haiti kupambana…
Jeshi la Yemen limefanikiwa tena kulenga Ben Gurion, uwanja mkubwa wa ndege wa utawala wa Israel, katika operesheni mpya ya kuunga mkono Wapalestina ambayo ilisababisha makaazi ya walowezi haramu kukimbilia…
#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo, kimemlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jimbo la Itilima, lililopo mkoani Simiyu, Bw. Polycarp Ntapanya, kushindwa kupokea fomu ya mgombea Ubunge…
#VIDEO: Wakati shughuli za uzinduzi wa Kampeni za CCM zikiendelea Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, Helikopta ilikuwa sehemu ya kampeni hizo ambapo imeonekana ikipita na Picha…
Afrika Kusini imesema mauaji ya Wapalestina yanazidi kuongezeka na hivyo imeutaka utawala wa Israel uafiki mkataba wa kusitisha mapigano uliojadiliwa na wadau wote muhimu. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Watu wasiopungua 24 wameuawa na wengine 55 kujeruhiwa kutokana na mashambulizi ya makombora ya waasi wa RSF katika mji mkuu wa El-Fasher, kaskazini mwa Darfur, magharibi mwa Sudan. BONYEZA HAPA…
“….najua kulikuwepo na maneno au vijineno eti utaratibu umekiukwa, na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema pale kwenye Mkutano mkuu….” Rais Mstaafu – Dkt. Jakaya Kikwete #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz…
Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ilishinda katika vita vya siku 12 vya kichokozi vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Israel mwezi Juni, na ilifanikiwa…
#HABARI: Msafara wa Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ukiwasili kwenye Viwanja Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam ukiwa na ulinzi mzito kwa…
Katika miezi michache iliyopita, kamatakamata dhidi ya wanahabari imeshamiri nchini Ethiopia. Hali hii imesababisha hofu na mashaka miongoni mwa jumuiya wanahabari si tu ambao wamo katika nchi hiyo lakini pia…
Katika ripoti yake ya siku ya Jumatano, gazeti moja la Kizayuni sambamba na kusisitiza kutoweza kushindwa taifa la Yemen limesema kuwa, utawala ghasibu wa Israel hautaki kuingia katika mzozo wa…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Makumi ya watu nchini Kenya wametekwa nyara na kuuawa tangu maandamano yalipozuka mwezi Juni 2024 Maelezo kuhusu taarifa Author, Mariam mjahid Nafasi,…