Polisi: Rais wa zamani wa Brazil Bolsonaro alikuwa akifikiria kutafuta hifadhi nchini Argentina
Polisi wanasema rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro aliandika barua ya kuomba hifadhi nchini Argentina huku uchunguzi kuhusu mapinduzi ya 2024 ukizidi. Imechapishwa: 21/08/2025 – 06:50 Dakika 2 Wakati…