🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 19, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 19, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamejitokeza kuifariji familia ya aliyekuwa Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Mariana Tkuway, aliyefariki…
#HABARI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Serikali kwa usimamizi madhubuti wa mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja (BPS) unaohakikisha nishati hiyo inapatikana…
#HABARI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema kuwa, katika kuhakikisha vijana wanajengewa uzoefu, serikali imedhamini vijana takribani 5000 katika mafunzo ya ufundi yatakayowawezesha kukidhi…
🔴#MALUMBANO: NINI KIFANYIKE KUDHIBITI VURUGU ZA WAENDESHA BODABODA BARABARANI KWA USALAMA WAO ....FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni saba uko hatarini kusimama baada ya wananchi wa Kata ya Luana, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuvamia chanzo cha…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 19, 2026 - KITUO CHA FORODHA TARAKEA CHATAKIWA KUFANYA KAZI SAA 24
#HABARI: Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally Kakurwa, amesema kuwa kiapo alichokula alipoteuliwa kushika wadhifa huo kinamtaka kusimamia kwa dhati maslahi ya wafugaji, ikiwa ni pamoja na kuwaondoa katika…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio, amekutana na uongozi wa Benki ya NBC jijini Dodoma kujadili ushirikiano wa kuwawezesha wawekezaji wazawa.…
#HABARI: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka mitano katika Mtaa wa Vikawe, Kibaha mkoani Pwani, umeanza kupatiwa utatuzi baada ya wananchi na mmiliki wa eneo kufikia maridhiano ya…
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda, amewataka wamiliki wa Bandari Kavu (ICD) nchini kuanza kutoa huduma kwa saa 24 ili kuendana na kasi ya…
#HABARI: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imekanusha dhana kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya wawekezaji wa nje pekee, ikisisitiza kuwa kipaumbele chao kikubwa ni kuona…
#MALUMBANOYAHOJA: NINI KIFANYIKE KUDHIBITI VURUGU ZA WAENDESHA BODABODA BARABARANI KWA USALAMA WAO NA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA?
Gesi asilia imeendelea kutajwa kuwa nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi wa taifa kutokana na uwezo wake wa kutoa nishati nafuu, ya uhakika na rafiki kwa mazingira. Matumizi ya nishati…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri Rajab Salum amezitaka taasisi zinazosimamia sekta ya viwanda na biashara kuweka mikakati madhubuti ya kuwasaidia wajasiriamali wabunifu kupata mikopo na mitaji…
Katika kukabiliana na changamoto zinazowakwamisha wafugaji na wavuvi nchini, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Kakurwa amesema nafasi hiyo inapoteza maana iwapo changamoto hizo zitaendelea kuwasumbua na kuwafanya kuwa…
#HABARI: Kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam mbele ya jopo la majaji watatu…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TABORA , FEBRUARI 19, 2026 - WAFUGAJI WAOMBA MBEGU BORA ZA MIFUGO ZA KISASA
#HABARI: Baraza la Madiwani la Manispaa ya Temeke limepitisha rasimu ya bajeti ya Shilingi bilioni 192.6 kwa ajili ya mwaka wa fedha 2026/27, ambapo Shilingi bilioni 75 zinatarajiwa kutokana na…
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Subira Mgalu, imetoa wito kwa sekta binafsi kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Zanzibar imetupilia mbali maombi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika majimbo nane ya kisiwani Pemba, yaliyokuwa yamewasilishwa na wagombea…
Amekutana naye leo Februari 19, 2026 alipokuwa akizungumza na wananchi katika mkutano uliofanyika katika kata ya Marangu-Kitowo, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro baada ya kupokea taarifa za ujenzi wa Mradi…
taalamu wa Historia, Dkt. Hubert Ndomba, amesema jamii inapaswa kupokea mabadiliko yanayoletwa na wakati, lakini ichague kwa makini yale yanayoendana na tamaduni na malengo yake ya maendeleo. Ameeleza kuwa maendeleo…
Vijana wa kizazi cha sasa maarufu kama Gen Z wameshauriwa kujifunza na kuenzi maadili ya vizazi vilivyotangulia maarufu ‘Wahenga”, ikielezwa kuwa kuwa maadili ni msingi wa maendeleo ya jamii kiuchumi…
#HABARI: Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani imepitisha kwa kishindo bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 68.7 ikilenga utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayowalenga wananchi.…
🔴MEZAHURU ; ....FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mhe. Ado Shaibu Ado amesema kuwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kinapaswa kukamilisha ujenzi wa Kampasi ya Chuo hicho katika Kijiji cha Darajambili…
#HABARI: Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewafuta kazi Waziri wa Afya lijah Muchima na Elias Mubanga, anayeshughulikia maendeleo ya biashara ndogo na za kati. Mabadiliko hayo, yanatokana na kifungu cha…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 19/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Tundu Lissu ulivyowasili Mahakamani leo na Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini akaingizwa katika chumba na.1 cha Mahakama Kuu ya Tanzania…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema waliitaja Mtwara kama sehemu ya hatari katika tahadhari yao waliyoitoa mwaka jana kwa wasafiri wanaotoka Marekani lakini hata hivyo amefuatilia na kufurahishwa…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema wamesitisha misaada kwa Tanzania na kuweka ushirikiano katika uwekezaji katika miradi ambayo inagusa Watanzania hususan vijana. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
UFUNGAJI WA MIRADI YA KAGIS GEITA (KAGIS PROJECT CLOSE OUT) (Feed generated with FetchRSS)
Serikali imeendelea na utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa vyuo vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika wilaya 64 ambazo hazikuwa na vyuo hivyo, pamoja…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema walitoa tahadhari ya kusafiri kwa Wamarekani wanaoishi nchini na wale wanaotaka kuingia nchini wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili…
“…Nilipata fursa ya kutembezwa katika sehemu za ndani za ITV, na kwa kweli inafurahisha sana ni operesheni ya ajabu kuona jinsi magazeti yanavyochapishwa, maudhui ya kidijitali, skrini ya bluu yote…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ametangaza kuongeza dau la zawadi kutoka shilingi milioni 20 hadi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa sahihi zitakazomsaidia kukamatwa mtuhumiwa anayefahamika…
HABARI: Wachimbaji madini wasiopungua 33 wamefariki dunia kutokana na uvujaji wa kaboni-monoksidi unaoshukiwa kutokea kwenye mgodi wa madini ya risasi na zinki katika Jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria. Mkasa…
#MEZAHURU: Unashauri nini Wizara ya Michezo kwenye kuinua MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania -Weka Moani yako
HABARI: Mnamo Febuari 10, 2026 mbele ya Mhe. Jasmin A. A wa Mahakama ya Wilaya ya Siha, TAKUKURU (W) Siha imefungua mashauri matatu ya Uhujumu Uchumi namba 2831, 2834 na…
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuinua uthamani wa MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania.? -Weka Moani yako
🔴KUMEKUCHA MICHEZO .....FEBRUARI 19, 2026
🔴KUMEKUCHA: ....FEBRUARI 19, 2026
🔴#MAGAZETI:WAZIRI MKUU AAGIZA 'FAGIO' KUWAONDOA VIGOGO WOTE
Mvutano wa kodi kati ya Bara na Zanzibar kuibuka mara kwa mara. Je,Viongozi walaumiwe kwa kutosimamia maamuzi yao kuhusu jambo hili ?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 19, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 18, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 15, 2026
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Dkt. Jafar Seif, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuwathamini wawekezaji wazawa na kuwashirikisha kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo pale wanapoelemewa katika…
🔴MAHOJIANO MAALUM NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI BW. ANDREW LENTZ.