#HABARI: Tanzania imepata mafanikio makubwa katika sekta ya nishati baada ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kuongezeka mara…
#HABARI: Tanzania imepata mafanikio makubwa katika sekta ya nishati baada ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kuongezeka mara tatu, kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 23.2 mwaka 2025.…