Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen latangaza kuvunjwa
Katibu mkuu wa Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen Abdulrahman Jalal al-Sebaihi, amesema kundi hilo na taasisi zake zitavunjwa kuanzia Ijumaa.
Katibu mkuu wa Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen Abdulrahman Jalal al-Sebaihi, amesema kundi hilo na taasisi zake zitavunjwa kuanzia Ijumaa.
Kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ameyakosoa vikali maandamano ya kuipinga serikali yanayoendelea nchini humo. Khamenei amewakaripia waandamanaji aliyowaita watu waliohatari kwa taifa hilo.
Umoja wa Ulaya umeunga mkono mkataba mkubwa uliocheleweshwa wa biashara huru Mercosur na nchi za kusini mwa Amerika Hatua hiyo inasafisha njia kwa mkataba huo kusainiwa.
Kazuyoshi Miura anayetimiza miaka 59 mwezi Februari mwaka huu na kuwa mchezaji mkongwe zaidi wa soka duniani anajiunga na klabu mpya anapojiandaa kwa msimu wake wa 41. Nchini Japan kama…
Timu ya wanasayansi wa kimataifa imesema Ijumaa kwamba bahari za dunia zilifyonza kiwango kikubwa cha joto mwaka 2025 na hivyo kuchochea hali ya kuongezeka kwa kina cha bahari, dhoruba kali…
Maandamano nchini Iran yalizuka Disemba 28 na kusambaa kote nchini humo, wakati waandamanaji wakionyesha kutoridhika kwao na hali ya uchumi inayozidi kuwa mbaya pamoja na kuanguka kwa sarafu yake.
Wizara ya ulinzi ya Syria imetangaza hatua ya kusitisha mapigano katika mji wa Aleppo baada ya mapigano makali ya siku kadhaa kati ya jeshi na wapiganaji wa Kikurdi yaliyowalazimisha maelfu…
Wahandisi nchini Kenya wametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama wa majengo jijini Nairobi, wakionya kuwa jiji hilo linakabiliwa na hatari kubwa ya maafa ya mara kwa mara endapo hatua za…
Kwa muda mrefu sasa hakuna mwanamke aliyejitokeza kugombea urais nchini Uganda. Je, ni sababu gani zinazowakwaza ili hali idadi ya wapiga kura wanawake ni kubwa kuliko wanaume nchini Uganda
Waandamanaji nchini Iran wamepiga kelele na kuandamana hadi Ijumaa asubuhi kuendelea kupinga ugumu wa maisha.
Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa leo amekutana na rais wa halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen.
Venezuela imeanza mchakato wa kuwaachia huru idadi kubwa ya wafungwa wa kisiasa, akiwemo mgombea wa zamani wa upinzani Enrique Marquez.
Urusi imesema hivi leo kwamba imetumia kombora jipya chapa Oreshnik pamoja na silaha nyingine katika shambulizi kubwa dhidi ya Ukraine.
Kiongozi wa juu wa Iran Ayatolla Ali Khamenei amemuambia rais wa Marekani Donald Trump kushughulikia matatizo ya nchi yake kuliko kuangalia yanayoendelea Tehran. Ameyasema hayo huku maandamano makubwa yakiikumba Tehran.
Michuano ya AFCON yaingia robo fainali huku wenyeji Moroko wakikabiliwa na shinikizo la kutwaa taji nyumbani. Moroko inakipiga na Cameroon katika mechi kali inayotarajiw akuleta msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki.
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali, akifanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, nafasi za Naibu Mawaziri pamoja na uongozi wa…
Wizara ya Ulinzi ya Syria imetangaza kusitisha mapigano katika baadhi ya viunga vya mji wa Aleppo, baada ya siku kadhaa za mapigano makali kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji…
Umoja wa Mataifa amesema Marekani ina ‘wajibu wa kisheria' kuendelea kulipa michango inayofadhili mashirika ya umoja huo hata baada ya Ikulu ya White House kutangaza kujiondoa katika zaidi ya mipango…
Rais wa muda wa Venezuela, Delcy Rodriguez, amesisitiza kwamba nchi yake haina hofu yoyote, licha ya madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba anaongoza Venezuela baada ya kumuondoa mtangulizi…
Waandamanaji walikabiliana na maafisa wa shirikisho siku ya Alhamisi mjini Minneapolis, siku moja baada kisa cha mwanamke mmoja kupigwa risasi na kufariki katika mikono ya afisa wa Uhamiaji na Udhibiti…
Wahandisi nchini Kenya wametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama wa majengo jijini Nairobi+++Kiongozi wa juu wa Iran Ayatolla Ali Khamenei amemuambia rais wa Marekani Donald Trump kushughulikia matatizo ya nchi…
Je, Marekani ina malengo gani? baada ya wanajeshi wake kuingia nchini Venezuela na kumteka Kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro na mkewe na kuwapeleka Marekani kujibu tuhuma za kile ambacho…
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya kati Faustin Archange Touadera ameshinda uchaguzi wa muhula wake wa tatu madarakani. Lakini ushindi wake haukuja kama mshangao.
Urusi imetoa lawama kali zinazoilaumu Ukraine na washirika wake wa Ulaya, ikiwataja wote kama mhimili wa vita vinavyoendelea huku ikionya kwamba suala la kutuma kikosi cha wanajeshi wa Ulaya nchini…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atafanya ziara yake ya kwanza rasmi mjini New Delhi, akilenga kuiimarisha India kama mshirika wa kibiashara na kijiografia kisiasa, ingawa hatua hiyo si rahisi kutekelezwa.
Mapigano makali yameendelea mjini Aleppo kati ya jeshi la Syria na wapiganaji wa Kikosi cha Ulinzi wa Syria SDF kinachoongozwa na Wakurdi.
Jeshi la Lebanon limesema limekamilisha awamu ya kwanza ya mpango wake wa kupokonya silaha kundi la Hezbollah kusini mwa nchi hiyo, hatua ambayo Israel imeitaja kuwa ya matumaini lakini "bado…
Urusi imeishtumu Marekani kwa kuchochea mvutano na kuhatarisha usafiri wa kimataifa baharini baada ya kukamata meli ya mafuta iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Urusi katika Bahari ya Atlantiki Kaskazini.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amekosoa vikali sera ya kigeni ya Marekani ya Rais Donald Trump na ameyahimiza mataifa yasiruhusu utaratibu wa dunia kusambaratika.
Timu ya taifa ya Mali inaingia robo fainali ya AFCON ikiwa na motisha wa hali ya juu baada ya kupambana vilivyo dhidi ya Tunisia.
Hatua ya Marekani kumteka na kumuondoa madarakani Kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro, imezua hasira na mjadala barani Afrika.
Makundi ya kutetea haki za binaadamu yamesema kuwa vikosi vya usalama nchini Iran vimetumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za moto kuwatawanya waandamanaji, ambao wamegadhabishwa na mzozo wa kiuchumi.
Maafisa nchini Syria wamewataka raia kuondoka katika maeneo yanayozozaniwa ya mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria.
Waasi wa AFC/M23 wamefanya mazishi ya miili ya watu 22 waliofariki katika mashambulizi yaliyofanywa na droni za serikali ya Kinshasa katika kipindi cha zaidi ya miezi miwili.
Marekani imesema Rais Donald Trump anatafakari njia kadhaa ikiwemo hatua za kijeshi za kuichukua Greenland licha ya Denmark kuonya vikali kwamba shambulio lolote litaashiria kuvunjika kwa muungano wa kijeshi wa…
Zoezi la kuondolewa watu wa kabila la Wamaasai kutoka kwenye ardhi ya mababu zao Tanzania, kwaajili ya kuwavutia watalii kwenye eneo la kuvutia la Ziwa Natron linawaweka hatarini baadhi ya…
Zikiwa zimesalia siku sita kwa uchaguzi mkuu kufanyika Uganda, homa ya kisiasa inayoshuhudiwa yaweza kuelezewa kuwa ni kinyang’anyiro cha uongozi kati ya vijana na wazee.
Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru Marekani ijiondoe kutoka mashirika 66 ya kimataifa, akisema hayahudumii tena maslahi ya kitaifa ya Marekani.
Taarifa ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia imesema, Kiongozi wa upande wa Kusini mwa Yemen unaotaka kujitenga, Aidaros Alzubidi amekimbilia Umoja wa Falme za Kiarabu.
Mashambulizi ya Urusi ya katika eneo la Dnipropetrovsk nchini Ukraine yamewaacha zaidi ya watu milioni moja bila maji na umeme.
Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani wamewakemea vikali viongozi wa Somalia kufuatia madai ya wizi wa msaada wa chakula na kusitisha programu zote zinazoendelea za msaada wa…
Timu ya taifa ya Morocco inaendelea na dhamira ya kutwaa taji la Kombe la Mataifa ya Afrika wakiwa nyumbani, lakini inakabiliwa na shinikizo kubwa kabla ya robo fainali dhidi ya…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela Diosdado Cabello amesema watu 100 waliuawa katika shambulio lililofanywa na Marekani nchini Venezuela, ambalo lilimwondoa mamlakani aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amechukua hatua kubwa katika sera ya kimataifa kwa kuamuru Marekani ijiondoe kwenye mashirika 66 ya kimataifa, akisema kuwa hayahudumii tena wala kukidhi maslahi ya kitaifa…
Kiongozi wa kundi la waasi (STC) nchini Yemen Aidaros Alzubaidi amekimbilia Umoja wa Falme za Kiarabu.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela, Diosdado Cabello amesema watu 100 wameuawa katika shambulio la Marekani la Jumamosi lililomuondoa Rais Nicolás Maduro madarakani.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo wa 14, anaendelea na mkutano wake wa dharura wa makadinali wote wa Kanisa Katoliki duniani ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe…
Umeme umerejeshwa katika makazi na maeneo ya biashara mjini Berlin baada ya kukatika kwa siku kadhaa kufuatia shambulio la uchomaji moto lililodaiwa kufanywa na wanaharakati wa mrengo wa kushoto.
Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Antonio Costa, amesema kuwa Umoja wa Ulaya utaiunga mkono Greenland na Denmark inapohitajika na hautakubali ukiukaji wa sheria za kimataifa popote pale unapotokea.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland, Radosław Sikorski, amesema Warsaw iko tayari kwa uwezekano wa kupokea wanajeshi wa Ujerumani nchini Poland kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha usitishaji wa…