Jumatatu, 29 Disemba, 2025
Leo ni Jumatatu 8 Rajab 1447 Hijria mwafaka na 29 Disemba 2025.
Leo ni Jumatatu 8 Rajab 1447 Hijria mwafaka na 29 Disemba 2025.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran ametangaza kwamba mawimbi ya kwanza ya satelaiti zote tatu zilizobuniwa na kutengenezwa ndani ya Iran zinazoitwa "Zafar 2", "Paya" na "Kowsar"…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu nchini Lebanon ya Hizbullah amesema: "leo, Lebanon iko katikati ya dhoruba na mvurugiko wa utulivu kutokana na sera za Marekani na adui…
Utafiti uliofanywa na kampuni ya Infotrak unaonyesha kuwa, endapo uchaguzi wa urais wa Kenya ungefanyika hivi leo, Rais William Ruto angeibuka mshindi; hata hivyo uchaguzi huo ungelazimu kuingia katika duru…
Utafiti uliofanywa na kampuni ya Infotrak unaonyesha kuwa, endapo uchaguzi wa urais wa Kenya ungefanyika hivi leo, Rais William Ruto angeibuka mshindi; hata hivyo uchaguzi huo ungelazimu kuingia katika duru…
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza imetangaza kuwa, Angola na Namibia zimekubali kuruhusu kurejeshwa katika nchi hizo wahamiaji wasio rasmi na wahalifu baada ya serikali ya Uingereza kutishia kutoa…
Wizara ya Elimu ya Korea Kusini imetangaza kuwa, skuli 4,008 za msingi, za kati na sekondari zimefungwa kote nchini humo kutokana na kupungua kwa kasi idadi ya wanafunzi, huku mamia…
Wizara ya Elimu ya Korea Kusini imetangaza kuwa, skuli 4,008 za msingi, za kati na sekondari zimefungwa kote nchini humo kutokana na kupungua kwa kasi idadi ya wanafunzi, huku mamia…
China, katika ukosoaji ulio wazi dhidi ya Marekani, imetangaza kuwa Washington, kwa ajili ya kulinda ubabe wake wa kijeshi, inajihusisha na mbinu za kutia fitna, kugawa na kutawala.
Satelaiti tatu za Iran zilizoundwa ndani ya nchi , ‘Paya’, ‘Zafar 2’ na ‘Kowsar’, leo zimerushwa katika anga za mbali kwa kutumia roketi ya kubeba satelaiti aina ya Soyuz kutoka…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) zimepanga kufanya mikutano tofauti wiki hii kujadili matokeo ya hatua ya Israel ya kulitambua rasmi…
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa watu zaidi ya 200, wakiwemo wanawake na watoto wameuawa katika mashambulizi ya kikabila yaliyofanywa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF)…
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Qatar wamezungumza kwa njia ya simu na kubadilishana mawazo kuhusu matukio ya kikanda hususan matukio ya karibuni huko Yemene. Wamesema kuwa ipo…
Rais wa Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa Moscow iko tayari kutumia nguvu za kijeshi kufikia malengo ya operesheni yake maalumu ya kijeshi iwapo Ukraine itaendelea kuchelewesha mazungumzo ya amani.
Raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wameelekea kwenye masanduku ya kura katika zoezi la uchaguzi mkuu huku Rais Archange Touadéra akiwania kiti cha…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameonya kwamba, kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kitakabiliwa na jibu la haraka na la kuumiza zaidi, akisisitiza utayarifu wa Vikosi vya…
Nchi za dunia na taasisi mbali mbali za kimataifa zimeendelea kulaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutambua eneo la Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kwamba, Moscow ingali inaunga mkono suuala la kuanzishwa kwa taifa huru la Palestina.
Unywaji wa pombe unasababisha vifo vya watu zaidi ya 800,000 kila mwaka barani Ulaya, na kusababisha kifo kimoja kati ya kila vifo kumi na moja, kwa mujibu wa ripoti ya…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika Msikiti wa Imam Ali ibn Abi Talib (AS) katika…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kukiukaji wazi mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya…
Somalia imeitaka Israel kubatilisha hatua yake ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili. Somalia imelaani hatua hiyo na kuitaja kuwa…
Guinea Conakry leo Jumapili inatarajiwa kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa urais tangu baada ya mapinduzi ya kijeshi mwaka 2021. Zoezi hili linayoashiria hatua muhimu katika kipindi cha uongozi wa…
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine hana mpango wowote hadi yeye Trump aidhinishe.
China imeyawekea vikwazo makampuni 20 ya ulinzi ya Marekani na watendaji wake 10 wakuu kutokana na shehena kubwa zaidi ya mauzo ya silaha za Marekani kwa Taiwan.
Leo ni Jumapili mwezi 7 Rajab 1447 Hijria mwafaka na 28 Disemba 2025 Miladia.
Bunge la utawala ghasibu wa Israel (Knesset) limelipa idhini baraza la mawaziri la utawala huo kufunga kanali za televisheni za kigeni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kwa muda wa miaka…
Kazem Jalali, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amekutana na kufanya mazungumzo na Albir Hazrat Krganov, Mufti wa Moscow na Mwenyekiti wa Baraza la Kiroho la Waislamu…
Harakati ya Kiislamu ya kupigania ukombozi wa Palestina (Hamas) imetangaza leo Jumamosi upinzani wake dhidi ya tangazo la utawala uliojitenga na Somalia katika eneo la "Somaliland" la kutambuana rasmi na…
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema shirika hilo limefanikiwa kupeleka ujumbe wa tathmini huko El Fasher, mji mkuu wa Jimbo la Darfur Kaskazini…
Katika ujumbe wake kwa mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Jumuiya za Wanafunzi wa Kiislamu barani Ulaya, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Taifa la Iran kwa kutumia…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema kwamba Marekani inafuata "sheria ya mwituni" badalaya ya diplomasia, ikitumia nguvu na vikwazo ili kuendeleza maslahi yake.
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema mashambulio makubwa ya jeshi la Marekani na mwanaharamu wake katika eneo la Magharibi mwa Asia yalishindwa kutokana na ubunifu, ushujaa…
Chama cha Waandishi wa Habari cha Palestina kimeulaani utawala wa Israel kwa kufuata sera ya kimfumo ya kuwalenga waandishi wa habari, kikisema ukatili unaofanywa dhidi ya vyombo vya habari umeongezeka…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ameitaka serikali ya Guinea kukomesha mara moja vitendo vya vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu kabla ya…
Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kutambua eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.
Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kutambua eneo la Somalia la 'Somaliland, ambalo limejitangazia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.
Wataalamu wametilia shaka lengo la Rais wa Marekani, Donald Trump, katika mashambulizi ya kijeshi nchini Nigeria kwa kisingizio cha kupambana na magaidi wa kundi la DAESH (ISIS/ISIL) kaskazini-magharibi mwa nchi…
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, alisema Ijumaa kwamba serikali ya nchi hiyo haitakubali kupelekwa kwa vikosi vya kimataifa katika mchakato wowote wa amani ujao, ingawa imekubali uwepo wa uangalizi…
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema taifa hilo linaendelea kujiandaa usiku na mchana kwa duru ijayo ya vita visivyoweza kuepukika dhidi ya Marekani na Israel, akiahidi kuwa harakati…
Asasi mbili za Kipalestina yametangaza kwamba, zaidi ya mateka na wafungwa 9,300 wa Palestina wanaoshikiliwa katika magereza na vituo vya kuzuiliwa vya Israel wanakabiliwa na "mateso yaliyopangwa."
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu nchini Ethiopia, la Human Rights First limeishtaki serikali ya Ethiopiia kwa kile lilichodai hatua ya serikali ya Addis Ababa ya kuwatelekeza wakimbizi.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya Waislamu katika Msikiti wa Imam Ali ibn Abi Talib (AS) katika Mkoa wa Homs nchini Syria…
Ripota maalum wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kukuza nidhamu ya kidemokrasia na uadilifu kimataifa amesema kuwa, kauli za Waziri wa Vita wa Israel kuhusu kuanzishwa kwa vitongoji vipya…
Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Shiraz katika Mkoa wa Fars, Iran, kimechukua hatua kubwa za kubadilisha jiji hili kuwa kitovu cha utalii wa matibabu katika Asia Magharibi kwa…
Leo ni Jumamosi mwezi 6 Rajab 1447 Hijria mwafaka na 27 Disemba 2025 Miladia.
Asasi mbili za Kipalestina yametangaza kwamba, zaidi ya mateka na wafungwa 9,300 wa Palestina wanaoshikiliwa katika magereza na vituo vya kuzuiliwa vya Israel wanakabiliwa na "mateso yaliyopangwa."
Ripoti mpya ya Shirika la Haki za Kimsingi la Umoja wa Ulaya (FRA) ya mwaka wa 2025 imefichua sura isiyo ya kawaida ya kuenea chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, uwezo wa makombora wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utaendelea kuwepo na kwamba: "Maadui watakumbana na usiku wa…
Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa ameissitiza kuwa mashambulizi ya adui dhidi ya raia na makazi ya watu wakati…