Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza, Ukingo wa Magharibi
Wapalestina wawili, akiwemo kijana mmoja, wameuawa shahidi huku wengine wawili wakijeruhiwa kwa risasi baada ya vikosi vya Israel kufanya mashambulizi tofauti katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, katika ghasia…