Leo ni Ijumaa tarehe 19 Disemba 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 28 Jamadithani 1447 Hijria sawa na 19 Disemba 2025.
Leo ni Ijumaa tarehe 28 Jamadithani 1447 Hijria sawa na 19 Disemba 2025.
Usafirishaji wa bidhaa kote duniani unatazamiwa kuwa wa gharama nafuu zaidi, unaofanyika kwa kasi zaidi na kwa urahisi mkubwa, kufuatia kupitishwa makubaliano mapya yanayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ambayo…
Vyombo vya habari vya Israel vimetangaza kuwa, Qatar imefanya mazungumzo na Marekani kuhusu kununua nchi hiyo ya Kiarabu ndege za kisasa za kivita za Marekani aina ya F-35.
Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ametangaza kuwa, serikali yake imeidhinisha makubaliano makubwa ya uuzaji wa gesi asilia kwa Misri yenye thamani ya karibu dola bilioni…
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International tawi la India, vyama vya siasa vya upinzani na wanaharakati mbali mbali wa ndani na nje ya nchi hiyo…
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limeunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiainishia hatima na mustakabali wao.
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametangaza kwamba nchi yake haitarudi nyuma na wala haitaachana na misimamo yake kuhusu Gaza.
Ripoti iliyotolewa Alkhamisi na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema zaidi ya raia 1,000 waliuawa wakati kundi la waasi wa Sudan lilipotwaa udhibiti wa kambi ya…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Rouhullah Khomeini (MA) alikuwa mjumbe wa umoja na mshikamano miongoni mwa watu, akisisitiza kwamba mataifa ya Waislamu yanapaswa…
Dhoruba na baridi kali zimesababisha vifo vya Wapalestina 17 katika Ukanda wa Gaza tangu mwanzoni mwa mwezi huu, kwa mujibu wa serikali za mitaa Gaza, huku Israel ikishadidisha vikwazo vikali…
Waziri Mkuu wa Qatar ameonya kwamba, ukiukaji unaofanywa kila siku wa Israel wa makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza unatishia mchakato mzima wa mapatano hayo, huku akitoa wito wa kutekelezwa haraka…
Rais wa Russia, Vladimir Putin amepuuzilia mbali madai ya Magharibi kuhusu shambulio 'tarajiwa' kutoka Moscow na kuyaeleza kuwa "uongo na upuuzi," akisisitiza kwamba kauli hizo zinatolewa kwa makusudi ili kushadidisha…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kulaani vitisho vya Marekani kwamba itaiwekea vikwazo vya baharini Venezuela na kuitaka hatua hiyo kuwa uharamia unaofadhiliwa na serikali.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kulaani vitisho vya Marekani kwamba itaiwekea vikwazo vya baharini Venezuela na kuitaja hatua hiyo kuwa uharamia unaofadhiliwa na serikali.
Waasi wa kundi la M23 hawajaondoka katika mji wa Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya mapema wiki hii kutangaza kuwa wataondoka katika mji huo.
Takriban watu 12 wameuawa na wengine watatu kutekwa nyara baada ya watu wenye silaha kushambulia eneo la uchimbaji madini katika kijiji cha Atoso katika jimbo la Plateau nchini Nigeria.
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu "kurejesha mikononi mwa nchi hiyo" ardhi na mafuta ya Venezuela yamefichua nia na sura halisi…
Polisi nchini Uhispania Jumatano waliwafurusha mamia ya wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi katika jengo la shule lililotelekezwa katika mji wa Badalona unaopakana na mji wa Barcelona kaskazini-mashariki mwa Uhispania.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia umeingia “hatua mpya na ya kasi zaidi” kufuatia kutiwa saini kwa ramani…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia umeingia “hatua mpya na ya kasi zaidi” kufuatia kutiwa saini kwa ramani…
Mtafiti mmoja kutoka Iran ametwaa medali ya dhahabu katika Tamasha la Kimataifa la Uvumbuzi la Silicon Valley (SVIIF) 2025 huko California, Marekani kufuatia utengenezaji wa dawa bunifu inayochangia katika matibabu…
Wahamiaji thelathini na wawili wa Bangladesh wameokolewa baada ya boti yao kuzama katika pwani ya mji wa Al-Haniya wa kaskazini mashariki mwa Libya.
Kituo kimoja nchini Afrika Kusini kinachoshughulikia maombi ya visa za Marekani kimevamiwa na maafisa wa uhamiaji wa Afrika Kusini na kuwatia mbaroni raia saba wa Kenya waliokuwa wanafanya kazi nchini…
Russia imefanya mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani dhidi ya Ukraine kwa muda wa masaa kadhaa ambapo miripuko mikubwa imesikika huko Kyiv na miji mingine ya nchi humo.
Leo ni Alkhamisi tarehe 27 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria sawa na tarehe 18 Disemba 2025.
Gazeti la Al-Akhbar limeandika katika ripoti yake kwamba, kuongezeka kwa mashinikizo ya kisiasa ya Marekani dhidi ya Baghdad kumeufanya mchakato wa kuunda serikali mpya ya Iraq kuwa tata zaidi.
Kiongozi wa harakati ya Muqawama ya Ansarullah nchini Yemen amelaani vikali kitendo cha hivi karibuni cha kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu kilichofanywa na mwanasiasa wa Marekani huku akiwataka Waislamu kote duniani…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema vitisho vipya vya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran ni sehemu kubwa ya vita vya kisaikolojia, akisisitiza kuwa majaribio ya…
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, ameitaja Iran kuwa mfano bora duniani katika kutetea sheria za kimataifa, akishukuru Jamhuri ya Kiislamu kwa msimamo wake thabiti wa kuiunga mkono Caracas wakati ambapo…
Takribani watu 30, wengi wao wakiwa walimu, wamefariki huku kadhaa wakiripotiwa kupotea baada ya boti kuzama katika mto ulioko jimbo la Kwilu, magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani jinai zinazoendelea kufanywa na Israel huko Ghaza na mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, na amezitaka nchi za ukanda huu na…
Kwa uchache raia 104 wameuawa katika mashambulizi ya droni, ndege zisizo na rubani katika eneo la Kordofan nchini Sudan tangu Desemba 4 mwaka huu. Hayo yametangazwa na Kamishna Mkuu wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitizia azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kutetea haki zake za kisheria za nyuklia kulingana na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji…
Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ameushutumu utawala wa kizayuni wa Israel kwa ukiukaji mkubwa na uliopangwa wa makubaliano ya kusitisha vita, akionya kwamba kuendelea…
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese ametembelea Hospitali ya St. George kusini mwa Sydney ili kumjulia hali Ahmed Al Ahmed, Mwislamu aliyehatarisha maisha yake kwa kumvamia na kumpokonya bunduki mmoja…
Mamlaka za nchini Ureno zimemtia nguvuni na kumfungulia mashtaka mke wa rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi kuhusu madai ya utakatishaji fedha. Hayo yameelezwa na polisi ya…
Mkuu wa wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani White House Susie Wiles ametamka kuwa, mashambulizi ya jeshi la Marekani dhidi ya boti zinazodaiwa kuwa ni za madawa ya kulevya yanayofanywa katika…
Mkuu wa wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani White House Susie Wiles ametamka kuwa, mashambulizi ya jeshi la Marekani dhidi ya boti zinazodaiwa kuwa ni za madawa ya kulevya yanayofanywa katika…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa utafiti katika kutatua changamoto na matatizo ya kitaifa.
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, hali ya maisha kwa watoto katika Ukanda wa Gaza ni mbaya mno.
Duru za habari ndani ya Sudan jana ziliarifu kuwa takriban raia 2,000 wameyaacha makazi yao katika mji wa Heglig wa magharibi mwa Sudan huko Kordofan Magharibi baada ya safari ngumu…
Bunge la Zambia limepasisha kwa wingi wa kura mswaada wa kurekebisha vifungu vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambavyo upinzani unadai vitamsaidia Rais Hakainde Hichilema katika uchaguzi wa mwaka ujao.
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) waliokutano huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria, wamelaani wimbi la mapinduzi ya kijeshi katika eneo hilo na…
Leo ni Jumatano tarehe 26 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 17 Disemba 2025.
Tunisia imeitangaza kadhia ya Palestina kuwa ni jeraha kubwa zaidi la mfumo wa haki duniani.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani jinai zinazoendelea kufanywa na Israel huko Ghaza na mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, na amezitaka nchi za ukanda huu na…
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko Ghaza hadi hivi sasa zimeshaharibu asilimia 90 ya mahema wa wakimbizi wa ukanda huo tena wakati huu wa kukaribia kuingia kwenye msimu wa baridi kali.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kwamba, Iran haijawahi kwenda kinyume na ahadi zake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, akisema kwamba Marekani ndiyo iliyoyachana na kuyatupa…
Kundi la waasi la Harakati ya Machi 23 (M23) lilitangaza jana Jumatatu kwamba limeamua lenyewe tu kuondoa vikosi vyake katika mji wa Uvira wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Mmoja wa viongozi waandamizi wa harakati ya HAMAS amemtaka rais wa Marekani Donald Trump kuachana na sera ya Washington ya Israel Kwanza, akisema kuwa, hata wafuasi wa Trump kama vile…