Jan Eliasson: Kurudishwa vikwazo dhidi ya Iran ni hatua ya kurudi nyuma
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi amesisitiza kwamba Troika ya Ulaya imetokomeza uwezo wake wa kuwa na nafasi huru katika eneo la Asia Magharibi kwa kurejesha vikwazo…
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi amesisitiza kwamba Troika ya Ulaya imetokomeza uwezo wake wa kuwa na nafasi huru katika eneo la Asia Magharibi kwa kurejesha vikwazo…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekanusha vikali madai yaliyomo katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwamba harakati hiyo imekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano…
Jenerali Abdel-Fattah al Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kwa mazungumzo ya "kumaliza vita na kurejesha umoja na heshima ya nchi…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa Pakistan na Afghanistan zimekubaliana kusitisha mapigano mara moja katika mazungumzo yaliyofanyika Doha.
Chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kimesema kitaanzisha taratibu za kurefusha muhula wa Rais Emmerson Mnangagwa kwa miaka miwili zaidi, na hivyo kumfanya aendelee kukaa madarakani hadi 2030.
Rais Donald Trump wa Marekani amebadilisha ghafla msimamo wake wa kutuma makombora ya cruise ya Tomahawk kwenda Ukraine.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amelaani ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala ghasibu…
Iran, China na Russia zimemwandikia barua ya pamoja Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kuthibitisha kumalizika muda wa Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)…
Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimezindua makombora yaliyoboreshwa ya Emad na Ghadr katika miji ya makombora ya chini ya ardhi.
Tume Kuu ya Uchaguzi ya Libya (HNEC) imetangaza kuanza kwa uchaguzi wa serikali za mitaa katika manispaa 16 nchini kote. Uchaguzi huo ulipaswa kufanyika mwezi Agosti.
María Corina Machado, kiongozi wa upinzani wa Venezuela na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ametoa shukrani zake za dhati kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa maamuzi…
Mwanasiasa mkongwe na mashuhuri barani Afrika Raila Odinga atazikwa leo nyumbani kwake Bondo.
Mbunge mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah amesisitiza kuwa, vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea kwa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa haitajifunga moja kwa moja kukabidhi silaha na inatumai usitishaji vita na utawala wa kizayuni wa Israel utadumu kwa muda wa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa haitajifunga moja kwa moja kukabidhi silaha na inatumai usitishaji vita na utawala wa kizayuni wa Israel utadumu kwa muda wa…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imekataa ombi la utawala wa kizayuni wa Israel la kukata rufaa dhidi ya hati za kukamatwa waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa umoja huo ulioanzishwa miaka 80 iliyopita unaweza kufilisika ikiwa nchi wanachama hazitolipa michango yao kwa ukamilifu.
Wakati ripoti zikionyesha kuwa Pentagon inatayarisha machaguo ya kijeshi dhidi ya Venezuela, Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), ambayo inaundwa na zaidi ya nchi 120, imeonya…
Leo ni Jumapili 26 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria mwafaka na 19 Oktoba 2025 Miladia.
Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imetangaza kuwa, hakuna mgonjwa mpya wa Ebola aliyerekodiwa au kuthibitishwa kwa siku 20 katika kanda ya afya ya Bulape,…
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema katika barua rasmi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Mwenyekiti wa…
Shirika moja la Umoja wa Mataifa limesema Ufaransa "imekiuka pakubwa na kwa utaratibu" haki za watoto wahamiaji, na kuwaacha wengi wao wakinyimwa huduma za afya na kukosa makazi.
Tom Fletcher, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Misaada ya Kibinadamu, amesema kuwa, kiwango cha uharibifu katika Ukanda wa Gaza haikitasawariki kiasi kwamba, ni vigumu kuamini hali…
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikitangaza kumalizika muda wa Azimio nambari 2231.
Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kuwa, licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza, serikali ya Madrid itadumisha vikwazo vyake vya silaha dhidi ya Israel.
Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika makala yetu ya wiki hii ambayo tumewaandalia kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Vipofu na Fimbo Nyeupe Duniani; siku…
Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umepinga vikali madai ya mkuu wa Shirika la Ujasusi la Ndani la Uingereza (MI5) kwamba Tehran inataka kutishia usalama wa Uingereza,…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya karibuni ya anga ya Israel kusini mwa Lebanon, na kuzibebesha dhima nchi zilizodhamini makubaliano ya kusitisha vita yaani…
Vahid Yazdanian Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Anga cha Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kurusha satelaiti sita angani kila mwaka, sambamba na kupiga hatua kubwa katika teknolojia ya kurusha…
Vahid Yazdanian Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Anga cha Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kurusha satelaiti sita angani kila mwaka, sambamba na kupiga hatua kubwa katika teknolojia ya kurusha…
Chuo Kikuu cha Oxford cha nchini Uingereza, ambacho kwa muda mrefu kinajulikana kama kilele cha elimu duniani, kinachunguzwa vikali baada ya kubainika wazi kwamba kimefanya uwekezaji kwa njia isiyo ya…
Muungano mkuu wa upinzani nchini Guinea-Bissau na chama cha kihistoria cha PAIGC kilichoko ndani ya muungano huo havitashiriki kwenye uchaguzi wa uchaguzi wa rais na bunge wa mwezi Novemba mwaka…
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Msumbiji na Jamhuri ya Mali wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pambizoni mwa Kikao…
Wimbi la chuki dhidi ya utawala haramu wa Israel limeongezeka katika maeneo mbalimbali duniani sambamba na kupungua himaya na uungaji mkono kwa utawala huo nchini Marekani.
Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya jeshi la Madagascar kuchukua hatamu za uongozi wa nchi hiyo baada ya maandamano yaliyokuwa yakiishinikiza serikali ya Rais aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina.
Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuwa, miili mingi ya Wapalestina waliokabidhiwa na utawala wa Israel inaonyesha dalili za mateso makali, kunyongwa na kuporwa viungo vya mwili kama vile konea,…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kuhusiana na kumalizika muda wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Vizuizi vilivyowekwa juu…
Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.
Leo ni Jumamosi 25 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria Qamaria mwafaka na 18 Oktoba 2025 Miladia.
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesisitiza kuwa lengo la Marekani katika kuchagua chaguo la kijeshi kuhusu Venezuela ni kufanya uporaji katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesisitiza kuwa lengo la Marekani katika kuchagua chaguo la kijeshi kuhusu Venezuela ni kufanya uporaji katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Mediterania limetahadharisha katika taarifa yake kwamba, hatari ya njaa bado haijaondolewa huko Gaza, na kuendelea kupunguzwa kwa makusudi misaada ya kibinadamu kunadhihirisha kuwa…
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa: Jihadi ni nguzo muhimu na yenye kuleta mabadiliko katika dini ya Kiislamu ambayo inatilia mkazo ushirikiano na Muqawama…
Baada ya kusitishwa mapigano na utawala wa Kizayuni, vikosi vya Muqawama vya Ghaza vimeingia katika vita vipya vya kupambana na magenge ya mamluki wa shirika la kijasusi la Israel Shin…
Matayarishao ya maziko ya mwanasiasa mashuhuri wa Kenya Raila Odinga, aliyefariki dunia juzi Jumatano akiwa na umri wa miaka 80 alipokuwa anatibiwa nchini India, yanaendelea na tayari viongozi wa nchi…
Kanali wa kijeshi, Michael Randrianirina, ameapishwa leo Ijumaa kuwa rais wa Madagascar katika mji mkuu, Antananarivo huku umuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ikimteua Rais wa zamani wa…
Jeshi la Nigeria limetoa taarifa na kutangaza kuwa makumi ya waasi wameuawa na wengine 62 kukamatwa na vikosi vya serikali katika operesheni za nchi nzima kwenye kipindi cha wiki mbili…
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani amekutana na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow, na kumkabidhi ujumbe wa moja kwa moja kutoka kwa…
Watu wasiopungua 33 wamefariki dunia kutokana na homa ya Bonde la Ufa nchini Senegal na Mauritania tangu kuzuka kwa mripuko wa homa hiyo nadra mwishoni mwa Septemba, afisa wa Vituo…
Rais wa Russia, Vladimir Putin amemuonya Rais wa Marekani, Donald Trump katika mazungumzo yao ya simu kwamba, kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu ya Tomahawk kutaharibu zaidi uhusiano kati ya…