Pakistan: Mpango wa Trump kuhusu Ghaza ni tofauti na ulioidhinishwa na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan Ishaq Dar amesema mpango wa amani wa vipengele 20 uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa ajili ya Ghaza sio ule ulioidhinishwa…