UN yataka kutekelezwa azimio la kusitisha mapigano mashariki mwa DRC
Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alisema jana Jumanne kwamba, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mapigano mashariki…