Serikali kujenga kiwanda cha chakula cha samaki Mwanza
SERIKALI imesema kuwa itajenga Kiwanda cha Kutengeneza chakula cha samaki jijini Mwanza kwa lengo la kuwapunguzia gharama wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ili kuongeza uzalishaji wa samaki nchini.…