Kilomita 985 barabara ya Nyang’hwale zaidhinishwa
GEITA: SERIKALI imeidhinisha mtandao wa barabara mpya zenye urefu wa Km 985.28 katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita zitakazohudumiwa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA). Meneja wa TARURA…