SUA kutekeleza miradi ya utafiti ya Sh bilioni 3.4
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanza utekelezaji wa miradi mipya 12 ya utafiti yenye jumla ya thamani ya Sh bilioni 3.4. Miradi hiyo ni yenye lengo la…
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanza utekelezaji wa miradi mipya 12 ya utafiti yenye jumla ya thamani ya Sh bilioni 3.4. Miradi hiyo ni yenye lengo la…
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga ameendelea kuunga mkono maendeleo ya wananchi baada ya kukabidhi mifuko 120 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Kituo cha Afya…
DAR ES SALAAM: WAKATI Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027, kampuni ya T9 imeibuka na mkakati wa kuhamasisha Watanzania kuzitumia fursa za kiuchumi zitakazoambatana na mashindano hayo…
Zanzibar. Sekta ya ukarimu na utalii visiwani Zanzibar imepata msukumo mkubwa wa mtindo wa maisha baada ya uliojikita kuandaa na kuuza vyakula vya asili ya Kijapani wa Maru Restaurant kuanza…
DAR ES SALAAM: Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameishauru Wizara ya Ujenzi kwa kuonyesha hamasa ya kuingia katika mfumo wa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP). Zungu…
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema serikali imeendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vya biashara visivyo vya kiushuru (NTBs) kati ya Tanzania na nchi jirani, hususan Kenya…
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema Tanzania ina jumla ya viwanda 1,604 vya kuzalisha mafuta ya kula, huku kati ya hivyo viwanda vikubwa ni 14 na kwamba…
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo mwaka 2026/27 ikiwa na vipaumbele saba. Akiwasilisha bajeti hiyo leo Mei 22, 2026, Waziri Kapinga…
NJOMBE: Mradi mkubwa wa uzalishaji wa kokoto uliopo mtaa wa Kambarage kata ya Njombe Mjini, unatarajiwa kuongeza upatikanaji wa kokoto na kuchochea shughuli za kiuchumi na kuongeza mapato ya Serikali…
DODOMA:MBUNGE wa Jimbo la Malinyi Dk Mecktridis Mdaku ameiomba Wizara ya Ujenzi kuendelea kuzingatia changamoto za kijiografia na mazingira katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu, akisema maeneo yenye mvua nyingi…
DAR ES SALAAM: Wadau wa maendeleo ya ujuzi wamepitia na kuthibitisha rasimu ya mwelekeo wa Uanagenzi Tanzania katika hatua inayolenga kuimarisha mfumo wa mafunzo ya vitendo ili kuendana na mahitaji…
DAR ES SALAAM:TANZANIA imeendelea kupiga hatua katika kujenga uchumi jumuishi unaowashirikisha watu wote, wakiwemo watu wenye ulemavu, kupitia uwekezaji katika huduma za afya, teknolojia saidizi, maji pamoja na mifumo ya…
SHINYANGA: WANAWAKE zaidi ya 26,000 wamejitokeza kwenye kampeni ya awamu ya pili ya msaada wa kisheria kati ya wananchi 46,400 waliojitokeza kwa kipindi cha siku 15 kilichofanyika kutoa elimu na…
TABORA: TANZANIA imeshika nafasi ya pili barani Afrika kwa ubora wa mazao ya nyuki hususani asali iliposhiriki maonesho yaliyofanyika Afrika Kusini 2025. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dk John…
NJOMBE: MKOA wa Njombe unatarajiwa kuwa kitovu kipya cha uchumi wa madini nchini kufuatia uwekezaji mkubwa katika miradi ya uchimbaji na uchakataji wa madini ya chuma inayolenga kufungua maelfu ya…
MBUNGE wa Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa (CCM), amesema sehemu kubwa ya miundombinu ya barabara imeanza kufikia muda wake wa mwisho wa matumizi, hivyo kuishauri serikali kuongeza nguvu katika ukarabati wa…
DODOMA; Serikali imesema meli za Mv Liemba na Mv Mwongozo zitaanza kutoa huduma za usafiri katika ziwa Tanganyika baada ya ukarabati wa meli hizi kukamilika. Kauli hiyo imetolewa na Naibu…
MAKETE: Zaidi ya vijana 160 wa Wilaya ya Makete walionufaika na msaada wa mbolea bure kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Mbolea (TFRA) wameanza kufurahia matunda ya mtaji waliouomba kutoka serikalini.…
DODOMA :Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya vipimo nchini ili kuongeza ushindani wa bidhaa za ndani katika soko la kimataifa, kukuza viwanda na kujenga uchumi wa kisasa unaotegemea sayansi na teknolojia.…
MTWARA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikisha malipo ya Sh milioni 87.3 za serikali katika sekta binafsi na umma. Yamejiri hayo leo Mei 20, 2026…
DODOMA: Serikali imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya…
DODOMA: Bibi Hellen Bugoye mwenye umri wa miaka 70 kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa…
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Tanzania (CMSA) imesema kuongezeka kwa imani ya wawekezaji katika masoko ya mitaji nchini, sambamba na mazingira mazuri yaliyowekwa na serikali,…
DAR ES SAAM: ZAIDI ya wadau 1,000 wanatarajia kushiriki Kongamano la 12 la wahandisi lenye lengo la kubadilishana uzoefu katika taaluma zao ambalo litafanyika tarehe 13 hadi 17 mwezi Septemba…
DODOMA; Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega leo Mei 20 2026, amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa na vipaumbele sita. Ametaja…
DODOMA; Kampuni ya Smart Sports imedhamini vifaa vya michezo kwa timu ya Bunge SC ya michezo mbalimbali, ikiwa sehemu ya maandalizi ya mashindano mbalimbali ya michezo yakiwemo ya Jumuiya ya…
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameiagiza Halmashauri ya jiji la Mwanza kulipa fidia ya ardhi ya thamani Sh milioni 111 kwa wakazi 26 wa mitaa wa Luchelele…
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewataka wakazi wa kata ya Luchelele pamoja na viongozi wa Halmashauri wa Jiji la Mwanza kumaliza migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikiathiri…
DODOMA; WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuiongezea wizara hiyo Sh bilioni sita kwa ajili ya kulipa kifuta jasho na kifuta machozi…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali ina mpango wa kufanya mapitio ya sheria zinazohusiana na uhifadhi kwa lengo la kuimarisha mahusiano kati ya maeneo ya hifadhi na jamii zinazozunguka…
WAKALA wa Vipimo (WMA) umesisitiza kuendelea kufanya ukaguzi wa matumizi ya vipimo sahihi kwenye maeneo ya uzalishaji, maghala yanayouza bidhaa kwa ujumla na masoko ili kukuza uchumi imara, jumuishi na…
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana CMSA, imezitaka taasisi za kifedha zinazotoa huduma ya uwekezaji wa hisa kupitia hatifungani ambazo zinatolewa na taasisi hizo kufuata muongozo…
Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 halikuenda kikamilifu kwa Tanzania, lakini timu hiyo haikudhihirika vibaya hata kidogo. Walionyesha heshima kubwa dhidi ya baadhi ya wapinzani wakali zaidi barani Afrika, wakionesha…
SINGIDA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kujenga kiwanda kipya na uwekaji mitambo ya kisasa kwa ajili ya kuchakata mazao ya nyuki ili kuwezesha kukidhi mahitaji ya soko…
DODOMA; WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), imesema inatambua vema mchango wa michezo kwa ustawi wa wanajeshi. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 19, 2026 na Waziri…
DODOMA; SERIKALI imesema hali ya usalama ya mpaka wa Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wenye urefu wa kilometa 554 ni shwari. Hata hivyo, imesema mpaka huo unakabiliwa…
DODOMA; Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Rhimo Nyansaho amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ikiwa na…
DAR ES SALAAM: CHUO cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA-ITA), kimeanza mchakato wa kuanzisha Shahada ya Uzamili ya Kodi (Masters Degree in Taxation), itakayolenga kuzalisha wataalamu wenye ujuzi…
DODOMA; Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa…
DODOMA; Mbunge wa Tanga Mjini, Kassim Mbaraka amehoji bungeni ni lini ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Bandari ya Tanga – Kilimanjaro – Arusha – Singida hadi Musoma yenye…
DODOMA; Serikali imesema inatambua umuhimu wa kuwashirikisha wabunge wote, wakiwemo wa Viti Maalum, katika utoaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 katika halmashauri. Kauli hiyo imetolewa na Niabu Waziri…
DAR ES SALAAM: Wadau wa maendeleo ya ujuzi nchini wameeleza kuwa kuimarishwa kwa mfumo wa uanagenzi (apprenticeship) unaozingatia mwongozo wa kimataifa wa mafunzo ya uanagenzi wa Shirika la Kazi Duniani…
DAR ES SALAAM: WADAU wa sekta ya bima nchini wameendelea kutoa elimu kwa wanafunzi kupitia mashindano ya “Bima Debate” yaliyoandaliwa ikiwa ni sehemu ya kuelekea maadhimisho ya Siku ya Bima…
BUNDA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema siasa zitumike kuunganisha watu, zilete upendo na umoja na wazikatae siasa za chuki na wanasiasa wanaotafuta umaarufu wa kisiasa kwa kutumia matukio mbalimbali kuchochea…
BUNDA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ameweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Kitega uchumi na Ofisi ya CCM Tawi la…
DAR ES SALAAM: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre) kimetoa mafunzo kwa maafisa wa madawati ya PPP kutoka mamlaka mbalimbali za serikali kwa lengo…
BUNDA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitahakikisha kinatoa msukumo kwa serikali ili kuhakikisha mradi mradi wa maji kutoka Butiama hadi Nyamuswa unakamilika kwa wakati ili kutimiza azma ya Rais Samia…
MOROGORO:WIZARA ya Maji imeitaka Bodi mpya ya 10 ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), kuanza kazi kwa kusimamia mapambano dhidi ya mivujo ya maji ili…
RUVUMA: Wananchi wa Kitongoji cha Ndecha Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wameanza kushuhudia mwanga wa matumaini baada ya kuzinduliwa mradi wa umeme uliogharimu zaidi ya Sh bilioni 4.17 unaotekelezwa na…
MARA: KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi amesisitiza mradi wa barabara ya Tarime hadi Mugumu ujengwe ukizingatia ubora ili kuepusha uharibifu…