Wazee mil 1.2 wapewa vitambulisho matibabu bure
SERIKALI imefanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure na bima za afya kwa wazee 1,256,544 na inaendelea kutoa huduma za matunzo katika makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na serikali. Waziri…
SERIKALI imefanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure na bima za afya kwa wazee 1,256,544 na inaendelea kutoa huduma za matunzo katika makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na serikali. Waziri…
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu wa wananchi na kuondoa kero kila wanapotekeleza miradi ya ujenzi nchini, akisema huo ndiyo mwelekeo wa Serikali ya Rais Samia…
DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, amelitaka Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kulinda na kusimamia ushindani wa haki, ili kuondokana na vitendo vya ukiritimba, upangaji…
BEI ya dhahabu imepanda na kuvunja rekodi, ikiuza kwa zaidi ya dola 4,400 kwa gramu kwa mara ya kwanza katika historia ya soko hilo. Wachambuzi wa masoko wanasema ongezeko hilo…
MAMLAKA ya Kulinda Mazingira nchini Ethiopia imetangaza kuwa itaanza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Januari 31, 2026. Hatua hiyo inafuatia tangazo lililothibitishwa na Bunge mwezi Julai 2025.…
SERIKALI ya Kenya imesema kuwa imefanikiwa kuwaokoa raia wake 119 waliokuwa wamekwama nchini Myanmar. Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Kigeni, Katibu anayesimamia masuala ya raia wanaoishi ughaibuni…
TANZANIA inaungana na mataifa mengine duniani kufurahia Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa Desemba 25 kilamwaka, siku inayokumbusha kuzaliwa kwa Yesu Kristo, tukio lenye ujumbe mzito wa upendo, amani na matumaini kwa…
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri zimekubaliana kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii wa kitamaduni na mali kale kati ya nchi hizo mbili. The post…
TANZANIA imeihakikishia Malawi kuwa ipo tayari kuendelea kushirikiana katika biashara ya mahindi. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Dk Stephen Nindi…
KESHOKUTWA ni siku ya Mkesha wa Sikukuu ya Krismasi inayosherehekewa Desemba 25, 2025. Siku kama hiyo wiki ijayo; Alhamisi, Januari Mosi, 2026 ni Sikukuu ya Mwaka Mpya. Hizi ni sikukuu…
BADO takriban siku mbili Wakristo nchini waungane na wenzao duniani kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo yapata miaka milioni mbili iliyopita, yaani Noel; Sikukuu ya Krismasi itakayofuatiwa na mkesha…
SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha dhamira ya dhati ya maridhiano ya kweli tangu alipoingia madarakani. Alifungua mazungumzo ya kisiasa baina ya serikali na…
SERIKALI imemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya amsimamie mkandarasi anayejenga barabara ya Katumba–Lupaso wilayani Rungwe ili ujenzi huo usisababishe kukatika mawasiliano kwa wananchi. The post…
OFISI ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imesema itaendelea kushirikisha wadau wazielewe ripoti za ukaguzi na kuchangia katika kuimarisha uwajibikaji wa matumizi ya rasilimali za umma. Mchumi Mwandamizi wa NAOT, Emanuel…
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikitegemewa na wadau mbalimbali kuimarisha umoja baada ya kuhitimisha utekelezaji wa…
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza ametaja sumu tano zinazoua maridhiano. Amesema hayo wakati wa ibada ya ubarikio wa wachungaji na…
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema maridhiano ni mchakato unaohitaji uvumilivu, ustahimilivu, unyenyekevu na ushirikiano wa wadau wote. Aidha, amesema maridhiano ni chaguo gumu lakini ni…
SERIKALI ya Tanzania imetaja vipaumbele vya kuzingatiwa katika ushirikiano kati ya Afrika na Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ametaja vipaumbele…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza wakuu wa mikoa wote wapewe wataalamu watakaokagua miradi ya majengo kwa kutumia vifaa maalumu ili kuthibitisha kama imefanyika kwa usahihi. Dk Mwigulu ametoa agizo…
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kufanya upimaji wa siku mbili wa magonjwa ya moyo bure kwa waandishi wa habari na wahariri wa Mkoa wa Dar es Salaam…
KUTOKANA na mikoa ya Kaskazini kuongoza kwa matatizo ya magonjwa ya moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeamua kuendelea kufanya kambi maalum ya upimaji na matibabu mkoani Arusha…
TANGA: Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Pangani lililopo mkoani Tanga. Bodi hiyo imeeleza mradi huo unaendelea vizuri na…
INDIA; Serikali ya Tanzania na India zimesaini Hati ya Makubaliano kuhusu ushirikiano kwenye Sekta ya Afya katika kuendeleza tiba asilia (Ayurveda). Aidha, Tanzania imewakaribisha wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja…
DAR ES SALAAM: WATANZANIA watapata fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali ambazo zitabadili maisha yao msimu huu wa sikukuu baada ya Benki ya Akiba Commercial Bank Plc kuzindua kampeni maalumu ya…
DAR ES SALAAM; WAHITIMU wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW), wametakiwa kuwa wabunifu na kubadilisha elimu ya huduma za ustawi kuwa biashara ili kujiajirI wenyewe, huku lengo kuu ni…
MBEYA; Baraza la Ushindani (FCT) limefanya semina ya elimu kwa wadau kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu majukumu, mamlaka na huduma zinazotolewa na baraza hilo, pamoja na kuimarisha matumizi ya…
BURUNGA, Burundi: TIMU ya Kombaini ya Wilaya Makamba mkoa Burunga nchini Burundi imeibuka kuwa mabingwa wa mashindano ya Ujirani Mwema kwa mwaka 2025 baada ya kuifunga kombaini ya Wilaya Kigoma…
SERIKALI mkoani Geita imeelekeza tathimini mpya ifanyike kufanikisha ukamilishaji wa uwanja wa mpira wa miguu katika Manispaa ya Geita ambao umeshindwa kukamilika kwa wakati. Mkataba wa mradi wa ujenzi wa…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekagua maendeleo ya ujenzi wa madaraja na ukarabati wa barabara kuu ya Marendego-Nangurukuru-Lindi-Mingoyo. Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dk Mwigulu amewaambia wakazi wa Somanga mkoani…
Nairobi, Kenya: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake zote za EABL na umiliki wake katika kampuni ya vinywaji vikali ya…
IRINGA: Mradi wa NBS–USANGU umeendesha mafunzo ya siku tano kwa Kamati za Kushughulikia Malalamiko za Vijiji katika maeneo ya utekelezaji wa mradi huo, kwa lengo la kuimarisha haki, uwazi na…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar ina fursa nyingi za kiuchumi, hususan katika sekta ya Uchumi wa Buluu na uwekezaji, hivyo…
NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew amezitaka Bodi za Mabonde ya Maji nchini kufanya tathmini ya kina ya vyanzo vyote vya maji ili kubaini hali yake. Amesema itahusu kujua…
Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Munde akikabidhi tuzo maalumu kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Soter Salema katika Mkutano wa 16…
ARUSHA; MKURUGENZI Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Soter Salema amesema kampuni hiyo inajivunia safari ya mageuzi ya teknolojia ikiwemo utunzaji wa nyaraka, kumbukumbu…
OFISI ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) imewakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo kujadili na kutoa maoni kuhusu rasimu ya Mpango Mkakati wa Ofisi hiyo…
WIZARA ya Fedha imewataka wataalamu wa Ununuzi na Ugavi kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 ili kuimarisha utawala bora. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa…
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Mpango wa Elimu kwa Umma Kuhusu Muungano utakuwa endelevu ili kuhakikisha elimu hiyo inamfikia…
BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu (WRBWB) imeeleza kuwa hali ya wingi wa maji katika Mto Ruvu inaendelea kuimarika kufuatia ongezeko kubwa la maji linalotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika…
BAADA ya Tanzania Bara wakati huo ikiitwa Tanganyika kupata uhuru katika miaka ya 1961, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alianzisha vita dhidi ya maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini.…
MAKUMBUSHO ya Dk Rashidi Mfaume Kawawa ni makumbusho yanayoelezea hali halisi ya maisha yake, maisha ya kawaida na maisha ya kiuongozi. Kiuongozi yanaelezea nyadhifa mbalimbali alizokuwa amezishika katika serikali ya…
KAULI ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, aliyotoa wakati wa kikaokazi cha kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na maofisa habari wa serikali kilichofanyika Dar es Salaam, ni…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza Mkandarasi Mohammedi Builders Limited wa Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu…
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo (pichani) amesema nauli ya Sh 1,000 inayotumika katika mabasi yaendayo haraka ni ya mpito. Akizungumza na waandishi wa habari…
MISRI: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi wamefanya mazungumzo na Naibu…
SERIKALI ya Awamu ya Sita inatarajia kufufua miradi ya kimkakati iliyokwama kwa muda mrefu, ikiwemo miradi ya chuma na makaa ya mawe ya Mchuchuma na Liganga. The post Miradi ya…
SERIKALI imesema mauzo ya bidhaa za Tanzania katika Soko la Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) yameongezeka kwa asilimia 40. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema hadi mwaka…
WADAU wa siasa na diplomasia wameeleza matarajio na imani yao kwa Tume Huru ya Uchunguzi ya vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu. The…
IRINGA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuboresha miundombinu katika hifadhi za taifa na vivutio vya utalii nchini, hatua inayolenga kuongeza…
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 imefanya mahojiano na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila,…