‘Hakikisheni maeneo yanayotambuliwa yanapatiwa hati’
NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar Mmuya amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha maeneo yaliyotambuliwa wananchi wake wanapatiwa hati milki ya ardhi. Mmuya ametoa…