Makosa ya kifedha katika Krismasi, Mwaka Mpya
BADO takriban siku mbili Wakristo nchini waungane na wenzao duniani kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo yapata miaka milioni mbili iliyopita, yaani Noel; Sikukuu ya Krismasi itakayofuatiwa na mkesha…