Samia aipa maagizo Mahakama Dira 2050
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza Mahakama ya Tanzania itekeleze mambo 12 kuchangia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050. Rais Samia aliyasema hayo kupitia hotuba yake iliyosomwa…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza Mahakama ya Tanzania itekeleze mambo 12 kuchangia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050. Rais Samia aliyasema hayo kupitia hotuba yake iliyosomwa…
DODOMA; MKUU wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametoa wito kwa wananchi wa vitongoji vitakavyonufaika na Mradi wa Kusambaza Umeme katika vitongoji 379 kujiandaa kwa kutandaza nyaya majumbani (wiring) mapema,…
TANZANIA imetajwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Zana Endelevu za Kilimo Afrika (Africa Sustainable Agricultural Mechanization), utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Februari 3 hadi 6, 2026, sambamba na uzinduzi…
WANAFUNZI wajasiriamali 20 kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wamepatiwa zaidi ya Shilingi milioni 70 kwa ajili ya kukuza biashara zao, baada ya kuibuka washindi katika shindano la uwasilishaji wa mawazo…
DODOMA; BAJETI ya Seikali kwa mwaka 2026/27, nakadiriwa kuwa Sh Tril 61, Bunge limeelezwa. – Hayo yamesemwa bungeni leo Februari 2, 2026 na Waziri wa Fedha, Balozi Khamisi Mussa Omar…
DODOMA; SERIKALI imesema Dhima ya Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2026/27 – 2030/31 ni mageuzi kwa ajili ya ukuaji wa uchumi jumuishi nau wa ajira.…
DODOMA; SERIKALI imesema uchambuzi wa awali uliofanywa unaonesha kuwa utekelezaji wa mpango na bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/26 na muda wa kati unaweza kuathiriwa na mabadiliko ya sera za…
DODOMA; SERIKALI imesema ufanisi wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2026/27 utajengwa katika misingi mbalimbali ikiwemo kuendelea kuwepo kwa demokrasia, amani, usalama na utulivu wa ndani…
DODOMA; SERIKALI imesema imeandaa mfumo wa ufuatiliaji na upimaji unaozingatia kupima matokeo na uwajibikaji. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof Kitila Mkumbo, ametoa kauli hiyo bungeni…
DODOMA; SERIKALI imesema gharama za utekelezaji wa Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano zinakadiriwa kuwa Sh trilioni 477. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na…
wa kukua kwa asilimia 5.9 mwaka 2025 na kuongezeka hadi asilimia 6.3 mwaka 2026 na asilimia 6.9 katika kipindi cha muda wa kati. “Mfumuko wa bei kuwa kwenye wigo wa…
DODOMA; SERIKALI imesema katika kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani, pamoja na hatua zingine, Mpango wa Mendeleo umeelekeza kuanzisha mfuko wa akiba wa Taifa (National Sovereign Wealth Fund). Waziri wa…
DODOMA; WIZARA ya Viwanda na Biashara imewaita wawekezaji wenye nia ya kuwekeza katika kiwanda cha kukoboa kahawa kilichopo Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa…
DODOMA; SERIKALI imesema hii ni mara kwanza kwa nchi Tanzania kuandaa dira na mpango elekezi kwa wakati mmoja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais…
DODOMA; MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye ameuliza bungeni serikali haioni haja ya kuanza upembuzi wa ujenzi wa reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Kusini kufuatia mradi wa LNG.…
DODOMA; SERIKALI imesema katika kipindi cha miaka minne jumla ya minara 1,041 imejengwa na inatoa huduma za mawasiliano kwa wananchi. Naibu Waziri wa Mwawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Switbert…
DODOMA; SERIKALI imefanya tathmini na kuainisha vituo vya afya kongwe 532 ambavyo vinahitaji kuongezewa na kukarabatiwa kwa miundombinu yake. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) anayeshughulikia afya, Dk Jafar…
WAZIRI wa Afya, Mohammed Mchengerwa amepiga marufuku madaktari wa hospitali za umma kuwaelekeza wagonjwa kununua dawa nje ya hospitali. Ametolea mfano daktari mmoja wa Hospitali ya Temeke mkoani Dar es…
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni utekelezaji wa Madini Vision 2030, imewezesha kuanzishwa kwa mradi wa ujenzi wa Kituo cha kisasa cha Teknolojia ya Madini pamoja na…
WAFANYABIASHARA katika masoko yaliyopo jijini Dodoma wamehimizwa kutosubiri kusimamiwa na viongozi katika uondoaji wa takataka kwenye maeneo yao. Msimamizi wa soko la Sabasaba eneo la miti mirefu Gaudence Temba amesema…
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amesema hana nia ya kuendelea kuwashitaki washitakiwa wawili kati ya 10 wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ha…
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimesema vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekithiri katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini. Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa, Sylivia Daulinge amesema…
MAHAKAMA ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani watu wawili wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha bangi aina ya skanka pakiti 20 za uzito wa kilogramu 20.03. Washitakiwa…
TANZANIA imepanda na kustawisha miti 691,523,763 katika kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2020-2024 kupitia kampeni ya upandaji miti nchini. The post Miti milioni 691 yapandwa kampeni ya upandaji miti…
SERIKALI imesema imeimarisha huduma za msaada wa saikolojia na unasihi katika siku 100 za uongozi wa kipindi cha pili cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita. Waziri wa Maendeleo…
MOROGORO: MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro, Lucy Kombani amewashauri wanafunzi wa vyuo vikuu kuzingatia ulaji wa vyakula vyenye lishe bora kwa ajili ya kujenga afya zao ili waepukane…
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imepokea Sh bilioni 10.5 kwa ajili ya kutoa mikopo ya masharti nafuu na imeshatoa Sh bilioni 1.3 kwa wafanyabiashara 588.…
SHINYANGA: DIWANI wa Kata ya Malunga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Ahamed Haruna ametoa miezi sita kwa wananchi waliofunga mikataba kwenye eneo la soko kwa ajili ya ujenzi wa vibanda…
ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Hamad Hassan Chande amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana kuimarisha…
GEITA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Profesa Riziki Shemdoe amewataka viongozi na watendaji wa Serikali kuacha kufanya kazi kwa mazoea hali inayorudisha nyuma kasi ya utekelezaji wa…
DODOMA: Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameitaka jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa ukoma na kujitokeza wanapobaini viashiria vya ugonjwa huo ili kurahisisha jitihada za Serikali kutokomeza…
GEITA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Sh Zaidi ya…
MWANZA: MKURUGENZI wa Bodi ya Utalii nchini (TTB), Ephraim Mafuru, amesema Tanzania inaendelea kuweka historia katika uwekezaji wa miundombinu ya usafiri, usafirishaji na utalii barani Afrika, kufuatia uzinduzi wa meli…
SHINYANGA: NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameridhishwa na kazi zinazotekelezwa na makandarasi wazawa waliokuwa wakijenga madaraja matatu yaliyogharimu zaidi ya Sh billioni 13.5 fedha kutoka ufadhili wa Benki…
SHINYANGA: BAADHI ya wakazi wa kata ya Ubagwe na Ulowa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameeleza historia kabla ya kujengwa daraja la Ubagwe lenye urefu wa mita 60…
MARA: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imeendelea kutoa wito kwa Watanzania na wawekezaji kwa ujumla kuwekeza katika sekta ya uvuvi, hususan uvuvi wa vizimba (cage…
TUNISIA; MAUMIVU kwa mashabiki wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea msimu huu wa mwaka 2025/25, baada ya leo timu hiyo kufungwa bao 1-0 na Espérance de Tunis ya…
ARUSHA; WAZIRI MKUU, Dk Mwigulu Nchemba, amemwakilisha Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, katika ibada ya kumuaga aliyekuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Edwin Mtei,…
IRINGA:Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameagiza kufanyika kwa maboresho ya haraka katika Soko la Mnada wa Mitumba Orofea, lililopo Kata ya Mshindo, Manispaa ya Iringa, ili kulifanya…
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili – Mloganzila imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kuondoa mawe kwenye figo kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya laser ambapo tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo Septemba…
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kutoa huduma za kibingwa bobezi katika kambi maalum ya matibabu ya siku nne ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa wananchi wa Zanzibar.…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), marehemu Mzee Edwin Isaac Mtei, Nyumbani kwa marehemu Tengeru (Chama),…
RUVUMA: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza rasmi maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Peramiho, lililokuwa likiongozwa na aliyekuwa Mbunge, Jenista Mhagama, huku ikisisitiza kuwa…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Januari 24, 2026 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu…
Serikali imelenga waziwazi kundi maalum la kidini, ikilita “madhara ya kijamii” na “hatari” huku ikihamasisha mamlaka ya serikali kwa njia ya kulipiza kisasi. Vitendo kama hivyo ni ukiukwaji mkubwa wa…
DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amekoshwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake akisema wataendelea kupambana kushinda na kulinda heshima ya rangi zake. Kauli hiyo inakuja baada…
GEITA: TANZANIA imefanikiwa kusajili jumla ya miradi 1,828 ya uwekezaji yenye thamani ya Dola za Kimarekani bilioni 20.31 sawa na Sh trilioni 50.37 kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2024 hadi…
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki wa kushoto Nikson Kibabage, akisisitiza kuwa ni mchezaji mwenye…
ZIWA Victoria linaendelea kurejea katika nafasi yake kama nguzo kuu ya mfumo wa usafiri na biashara nchini Tanzania. Hii inatokana na uwekezaji mkubwa unaofanyika katika miundombinu ya bandari, usafiri wa…
DAR ES SALAAM – KIKUNDI cha kijamii cha Tufanikishe Pamoja kimeungana na uongozi wa Kituo chaThe Valentine Home, kilichopo Kata ya Buza, Wilaya ya Temeke, katika jitihada za kusaidia watoto…