Kafulila azungumzia uchumi mataifa ya nje
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP)…
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP)…
DAR ES SALAAM: Matumizi ya dawa za antibiotiki kiholela yamepungua kwa 80%, hivyo kupelekea pia kupunguza vifo kwa 14% vitokanavyo na usugu wa vimelea dhidi ya dawa kwa binadamu. Aidha,…
KIGOMA: Mama na Baba lishe wanaofanya wanaouza chakula kwenye hotelini na kwenye migahawa wamejipanga kutumia fursa ya mikopo na uwezeshaji kutoka serikalini na wadau wa maendeleo kupitia Umoja wa Mama…
DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya CCBRT imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya uchangishaji fedha yenye lengo la kukusanya Sh bilioni 3 ili kugharamia matibabu ya watoto wanaozaliwa na changamoto mbalimbali…
DAR ES SALAAM; Taasisi ya Tanzania Generation Care imetoa msaada wa mifuko ya saruji, bati pamoja na matofali kwa ajili ya kumsaidia mlemavu wa macho, Paulo Lupita, mkazi wa Tabata…
SHINYANGA: WAKAZI zaidi ya 20,000 kutoka kata za Imesela na Bukene Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameanza kunufaika na mradi wa maji safi baada ya shirika lisilo la kiserikali la…
MANYARA: ZAIDI ya wananchi 16,000 wakiwemo wachimbaji wa madini na wadau mbalimbali wa shughuli za kiuchumi wanatarajiwa kunufaika na Zahanati Mpya inayojengwa katika eneo tengefu la Mgodi wa Mirerani wilayani…
MANYARA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Kenani Kihongosi amewataka viongozi wa chama na serikali kutambua kuwa mamlaka wanayopewa na wananchi ni dhamana ya…
MANYARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wamiliki wa vitalu na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji na biashara za madini wanakamilisha kikamilifu dhana ya uwajibikaji kwa jamii(CSR), kikisisitiza fedha hizo si hisani…
SHINYANGA: ZAIDI ya wanafunzi 600 wa shule za msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wamenufaika na huduma ya miundombinu ya mazingira baada ya Shirika la Water for Good kujenga…
ZANZIBAR: Mfumo wa Pamoja wa Uondoshaji wa Shehena Maeneo ya Forodha Zanzibar unatarajiwa kuleta ahueni kwa wafanyabiashara kwa kurahisisha mazingira ya biashara na kupunguza urasimu uliokuwa ukiwakabili. Kupitia mfumo huo,…
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amefungua rasmi Wiki ya Utafiti, Ubunifu na Huduma kwa Jamii iliyoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), akisisitiza umuhimu wa…
DODOMA: Wizara ya Kilimo pamoja na taasisi zake zimeendelea kushiriki Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyoanza jijini Dodoma mnamo Juni Mosi na kutarajiwa kufungwa rasmi Juni 6, mwaka huu.…
MANYARA: UBORESHAJI wa miundombinu ya huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara umechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza vifo vinavyotokana na ajali za barabarani na dharura mbalimbali,…
DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said baada ya kutiwa…
MANYARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara kuwa makini wanapowapokea wageni katika maeneo…
DAR ES SALAAM: MRADI wa Pamba na Kazi Bora unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Serikali za Tanzania na Brazil umeendelea kuonesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya ajira za watoto,…
MAFIA: Awamu ya Pili ya mradi wa “Wezesha Wasichana Tabasamu Mpaka Mwisho” uliofadhiliwa na C-Weed Mwani, CEAMSA na Cargill, uliozinduliwa na Shirika la Harakati na Uwezeshaji wa Mazingira Tanzania (TEEMO)…
ARUSHA: SERIKALI imesema kuwa zaidi ya asilimia 70 ya fedha zinazohitajika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 zinatarajiwa kutoka sekta binafsi, huku Mfuko wa Kukuza Ukuaji wa Uwekezaji Tanzania…
KWA muda mrefu, Kiswahili kilijulikana kama lugha ya mwambao wa Afrika Mashariki. Kilisikika katika mitaa ya Dar es Salaam, masoko ya Zanzibar, vijiji vya Pwani na maeneo mbalimbali ya Kenya,…
IRINGA: Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, ameibuka mshindi kwa ushindi wa kishindo baada ya kupata kura 70,905, sawa…
DODOMA: Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Centre, David Kafulila, anatarajiwa kuwa na Mhadhara Maalum wa Umma Chuo Kikuu cha Dodoma kesho ukijikita katika nafasi ya ubia kati ya Sekta ya Umma…
WAKATI mataifa mengi duniani yakitafuta njia za kukuza uchumi, kuimarisha diplomasia na kuunganisha wananchi wake, Tanzania inaendelea kunufaika na hazina kubwa ya lugha ya Kiswahili ambayo sasa imekuwa alama ya…
DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amewapongeza viongozi na wanajamii wa Kimasai wanaoishi jijini humo kwa kuendeleza misingi ya uaminifu, uadilifu…
MANYARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza Viongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mkoa wa Manyara kuhakikisha pikipiki zilizokamatwa kutoka kwa wananchi zinarejeshwa mara moja kwa wahusika ambao…
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameendelea kuonyesha dhamira ya kuwawezesha wananchi kiuchumi kwa kuratibu mafunzo maalumu ya ujasiriamali awamu ya pili yanayowakutanisha zaidi ya wajasiriamali 400…
DAR ES SAALAAM :MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amewahamasisha wakazi wa Tandale na Kinondoni kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kushangilia timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka…
MANYARA: Upatikanaji wa Maji katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara sasa umefikia asilimia 97, huku zaidi ya wananchi 35,000 wilayani humo wanatajwa kunufaika na huduma ya maji kupitia mradi Mradi…
MANYARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi mkuu wa chama chao ni kusikiliza wananchi na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa…
MANYARA: Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza zaidi ya Sh bilioni 5.8 katika ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara mradi unaotarajiwa kuleta mapinduzi…
MBEYA: Watu wanne wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea mkoani Mbeya baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka katika eneo lenye kona kali…
TANGA: Uongozi wa Mkoa wa Tanga umeunda timu maalumu kwa ajili ya kufuatilia kwa kina tukio la ubomoaji wa nyumba 67 katika eneo la Kigombe,katika kijiji cha Msakangoto, kilichotokea Mei…
DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema kuwa takwimu zinaonesha kupungua kwa matukio ya ukatili wa kingono nchini, ingawa wanawake bado wanaendelea…
MANYARA: KATIBU wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi leo Juni Mosi,2026 amewasili katika Mkoa wa Manyara kwa ajili ya kuendelea na ziara…
IRINGA: Serikali imetangaza mpango wa kuunganisha Bodi ya Maziwa na Bodi ya Mifugo ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa sekta ya mifugo na maziwa nchini, hatua inayotarajiwa kuleta mageuzi katika…
TANGA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tanga, Rajab Abdulrahman amekabidhi Sh milioni 500 kwa ajili ya umaliziaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba 36 za watumishi wa chama…
ARUSHA: Uwekezaji katika Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kwa vijana ni hatua muhimu ya kuongeza ushindani wa taifa katika soko la kimataifa na kuchangia uchumi wa ajira kupitia miradi…
IRINGA: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Migoli, huku viongozi wa chama wakionesha imani kubwa ya…
DAR ES SALAAM: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utendaji kazi ambao unaiwezesha kuvuka malengo ya makusanyo ya kodi waliyowekewa na Serikali…
DAR ES SALAAM: VIJANA wametakiwa kusoma masomo ya sanaa kwa kuwa ni nyenzo muhimu katika kuitangaza nchi, pamoja na kutoa ajira na kuongeza mahusiano na utamaduni wa nchi nyingine. Hayo…
DODOMA: Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga, amewataka wanaume nchini kuacha tabia ya kutelekeza watoto wenye ulemavu na…
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeahidi kuwa kuwa itandelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukabiliana na ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini…
MOSHI: UJENZI wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kimataifa cha Ngangamfumuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro unatajwa kuwa chachu ya kuibadilisha Manispaa hiyo na kuwa kitovu kipya cha shughuli…
MOSHI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kutokubali kuwakabidhi watu wasio na sifa na uzoefu wa uongozi dhamana ya kuongoza nchi, kikisisitiza kuwa uongozi wa taifa si jambo la majaribio…
KILIMANJARO: ZAIDI ya Mitungi 3000 ya Oksijeni imezalishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi katika kipindi cha miezi sita tangu, hali iliyosaidia kuondoa changamoto ya upatikanaji wa hewa tiba…
Unguja. Zanzibar imeanza mchakato wa kuboresha sekta ya usafiri wa teksi kupitia mpango wa kuanzisha mfumo wa kidijitali wa malipo na upimaji wa nauli unaolenga kuongeza uwazi, ufanisi na urahisi…
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Maendeleo Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania limesaini Hati za Makubaliano (MoUs) na taasisi tisa za elimu ya juu nchini, hatua inayolenga kuimarisha ujuzi wa vitendo,…
KIGOMA: Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dk Damas Kayera ameihamasisha jamii kujenga utamaduni wa kuchangia damu mara kwa mara ili kusaidia kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo katika…
ARUSHA: UZINDUZI wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha ni hatua muhimu ya kuongeza fursa za ajira, kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa wasafirishaji na…
DAR ES SALAAM: WAKILI wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa, ameliomba Jeshi la Polisi kushirikiana na viongozi wa jamii ya Kimasai jijini Dar es…