Bunge latoa neno kukwama kwa miradi PPP
DODOMA: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingilia kati kusuasua kwa miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), likionya kuwa kukwama kwa miradi hiyo…
DODOMA: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingilia kati kusuasua kwa miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), likionya kuwa kukwama kwa miradi hiyo…
MOROGORO: WANANCHI wa Kata ya Kinole, Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wameipongeza Serikali kwa ujenzi wa Kituo cha Afya Kinole kitakachotoa huduma bora za afya. Wametoa pongezi…
DAR ES SALAAM: ABSA Dar City Marathon imetoa msaada wa vifaa tiba kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Serikali…
DAR ES SALAAM: Mabadiliko yanayoendelea kufanyika katika mpango wa Marekani wa Food for Peace yameibua mjadala muhimu ambao Afrika haiwezi tena kuupuuza: utegemezi wa muda mrefu wa misaada ya chakula…
WABUNGE wamepongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuendelea kupanua wigo wa huduma za hifadhi ya jamii kupitia Skimu ya Hifadhi kwa Wananchi Waliojiajiri, wakisema mpango huo…
WABUNGE wamepongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuendelea kupanua wigo wa huduma za hifadhi ya jamii kupitia Skimu ya Hifadhi kwa Wananchi Waliojiajiri, wakisema mpango huo…
Katika kipindi cha miaka mitano, Serikali ilitenga zaidi ya Sh trilioni 228 kwenye bajeti zake huku Sh trilioni 76.3 zikielekezwa kwenye maendeleo. Je fedha hizo zimeleta matokeo gani katika maisha…
DAR ES SALAAM: Msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa mafuta ya kula yanayozalishwa kwa kutumia mbegu zinazozalishwa ndani ya nchi unatarajiwa kuongeza uwekezaji, ushindani wa viwanda vya…
Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za jenereta karibu kila kona. Maduka ya jumla, maghala, karakana, viwanda…
DODOMA: MBUNGE wa Gairo, Ahmed Shabiby, ameutaka Serikali kupitia upya mfumo wa utoaji wa leseni kwa waendesha bodaboda, akieleza kuwa gharama za mafunzo na upatikanaji wa leseni ni kubwa na…
KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuhifadhi mazingira, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeachana na matumizi ya kuni na mkaa katika…
Kutoka minara ya mawasiliano na Mkongo wa Taifa hadi ajira za mtandaoni, biashara za kidijitali na ubunifu wa vijana, Tanzania inaingia katika enzi mpya ambapo internet si tena chombo cha…
Je, ni namna gani uwekezaji wa Shilingi bilioni 200 unaweza kufungua ukurasa mpya wa ajira, ubunifu na ujasiriamali kwa mamilioni ya vijana wa Tanzania The post Sh Bil 200 na…
MBUNGE wa Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa, amesema biashara ndogondogo zinapaswa kuwekewa mikakati madhubuti na mazingira rafiki ili ziweze kustawi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa taifa. The…
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, ameziagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kufika mbele ya Kamati ya Bajeti ya Bunge…
Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za jenereta karibu kila kona. Maduka ya jumla, maghala, karakana, viwanda…
TANGA: Maofisa Sheria wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wanatarajiwa kuimarisha uwezo, maarifa na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao kupitia mafunzo maalumu yaliyoandaliwa na Mfuko huo…
DAR ES SALAAM; SAA 12 alfajiri, wakati taa za magari bado zinang’aa katika baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam na sehemu kubwa ya jiji ikiwa haijaamka, maisha tayari yameanza…
Mwaka 2021, Tanzania ilikuwa katika kipindi cha mpito. Dunia ilikuwa ikijinasua kutoka athari za janga la COVID-19 huku ushindani wa kuvutia uwekezaji, biashara, watalii na teknolojia ukiwa mkali zaidi kuliko…
DAR ES SALAAM; Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania, Iman Mtafya, amesema mazingira bora ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali katika sekta ya nishati ya mafuta na gesi imewezesha Oryx kuendelea…
DAR ES SALAAM; Rudisha fikra nyuma kwa Tanzania ya mwaka 2021 yenye vijana waliokuwa wanajiuliza maswali kuhusu suala la ajira ziko wapi? Maswali yalikuwa mengi zaidi ya majibu. wasiwasi ulikuwa…
WATAALAMU wa maabara nchini wametakiwa kuzingatia kwa umakini mkubwa maadili na viapo vya taaluma yao ili kulinda jamii dhidi ya madhara yanayoweza kusababishwa na utunzaji usio salama wa vimelea hatarishi…
“MWAKA jana nilikuwa nimepata chuo nikaomba mkopo lakini nilivyokosa, nikashindwa kwenda chuo,” anasema Singo Mrombo (20). Anaongeza: “Ninamtegemea mama yangu ambaye ndiye mzazi pekee, lakini na yeye hana uwezo wa…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imezitaka taasisi binafsi za elimu kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa mageuzi ya elimu yanayolenga kuimarisha ujuzi, sayansi na teknolojia, huku ikiipongeza Shule ya Kimataifa…
DAR ES SALAAM: Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) umeandika hatua mpya katika sekta ya usafiri wa anga baada ya kupokea rasmi safari za ndege za…
MOROGORO: SERIKALI kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) kupitia ufadhili wa Pandemic Fund imeendelea kutoa mafunzo maalumu ya kuijengea uwezo timu ya kitaifa ya magonjwa ya dharura na…
Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au matibabu ya kibingwa mara nyingi alilazimika kusafiri kilomita 326 kwenda Mbeya au zaidi ya kilomita 1,100 hadi Dar…
MWANZA: WATALAAMU wa Maendeleo ya Jamii nchini wanatarajia kukutana katika mkutano mkuu wa mwaka kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ikiwemo mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinisa.…
ARUSHA: SERIKALI itaendelea kuongeza nguvu katika uhifadhi wa wanyamapori aina ya faru ambao wapo haratini kutoweka kwa kuimarisha Mradi wa Kimkakati wa Uhifadhi wa Faru Weupe ili kuongeza chachu ya…
DAR ES SALAAM: Serikali imeanza safari ya kuondoa uchimbaji wa kubahatisha nchini baada ya kuweka mfumo utakaowezesha asilimia 10 ya makusanyo ghafi ya mapato ya madini kubaki kwenye Sekta ya…
KATAVI; Wananchi wa Mkoa wa Katavi wamepongeza hatua ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN) kuweka kambi maalumu ya huduma za afya bure, wakisema imewasaidia…
GEITA: SERIKALI mkoani Geita imetangaza mpango rasmi wa kupokea taarifa za wauguzi na watumishi wa afya wanaofanya vitendo visivyo vya kiungwana kwa watu wanaohitaji huduma ya matibabu. Mpango huo pia…
DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuunga mkono juhudi za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, za kuharakisha maendeleo ya wananchi huku kikisisitiza kuwa amani, umoja na mshikamano ni msingi…
DODOMA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kuendelea kulinda amani, umoja na mshikamano wa taifa, akidai wana taarifa za kuaminika…
KIGOMA;YANGA wakitaka lao usilete mdomo! Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Mashujaa ya Kigoma na Yanga ya Dar es Salaam uliomalizika muda…
DODOMA: Wataalamu wa tiba asili hapa nchini wameiomba serikali kuendelea kuchukua hatua za makusudi za kuhamasisha utunzaji wa mazingira ili kuendelea kulinda maliasili na uoto wa asili. Wamesema kuendelea…
MUSOMA: MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (TAA) imefanya majaribio ya kutua na kuruka katika Viwanja vya Ndege vya Musoma na Shinyanga. Majaribio hayo yamefanyika jana Juni 12,2026 na kufanywa kutumia…
DAR ES SALAAM: Bodi ya Mikopo a Elimu ya juu (HESLB) imetoa tuzo kwa taasisi 11 zinazofanya vizuri katika kutoa taarifa za wanufaika wa mikopo hali inayoongeza kasi ya ukasanyaji…
MAREKANI: Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu wa kuongeza upatikanaji wa vifaa na teknolojia saidizi ili kuwawezesha…
MTWARA: MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imesema hadi sasa tanzania imeshagundua kiasi cha gesi asilia futi za ujazo trilioni 57.54 katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo…
DODOMA; JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetoa fursa nyingine ya siku nne kwa vijana ambao bado kuripoti kwenye makambi waliyopangiwa kufanya hivyo katika kambi yoyote iliyokaribu. Wito huo umetolewa na…
DAR ES SAAM: Shirikisho la Vyama Vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kilimanjaro Blind Trust Africa imehimiza waajiri nchini kuwapa fursa za mafunzo na ajira…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wakandarasi wenye nia ya kwenda kuomba kazi katika wilaya hiyo kuhakikisha wana uwezo wa kufanya kazi hizo na kutimiza…
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Africa Global Logistics (AGL) imetekeleza kwa mafanikio mpango wake wa “Plastic-Less” unaolenga kupunguza matumizi ya chupa za plastiki za maji zinazotumika. Hatua hiyo ni sehemu…
ZAIDI ya wanawake 100,000 kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kunufaika na mradi wa miaka mitatu wa uwezeshaji wa wanawake kiuchumi kupitia teknolojia ya kidijitali, unaolenga kuwawezesha katika masuala ya teknolojia,…
JUMLA ya wagonjwa 823 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho katika kambi maalum ya madaktari bigwa iliyowekwa na Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya 'Helen Keller International' na wadau…
SERIKALI imezindua Kituo cha Kuchajia Vyombo vya Usafiri Vinavyotumia Umeme jijini Dodoma, katika hatua inayolenga kuharakisha matumizi ya nishati safi na kupunguza gharama za usafiri nchini. The post Ndejembi azindua…
Wasanii wanne wa Tanzania ambao ni Turakella Editha Gyindo, Amani Abeid, Lazaro Samuel na Valerie Asiimwe Amani, wameipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Maonesho ya 61 ya Kimataifa ya Sanaa…
DODOMA:Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kimeshuka hadi asilimia 6.2 mwaka 2024 kutoka asilimia 8.7 mwaka 2020/21, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo,…
DODOMA:Serikali imepanga kuongeza ushiriki wa sekta binafsi katika kugharamia na kutekeleza miradi ya maendeleo, ikisema hatua hiyo ni muhimu katika kuharakisha ukuaji wa uchumi na kuongeza fursa za ajira nchini.…