Naibu Meya Kigamboni afagilia vipaji masumbwi
DAR ES SALAAM; NAIBU Meya wa Manispaa ya Kigamboni, Elizabeth Kimambo amefurahishwa na wadau walioandaa mapambano ya ngumi na kusema kuwa wataiheshimisha manispaa hiyo. Kimambo alisema hayo alipokuwa mgeni rasmi…