CCM yaonya watakaokwamisha huduma kwa wananchi
KILIMANJARO: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitakuwa tayari kuvumilia mtumishi yeyote wa chama au serikali atakayekwamisha jitihada za utoaji huduma kwa wananchi, kikisisitiza kuwa hatua zitachukuliwa bila kuangalia cheo, umaarufu…