Kilimo kuongoza ajenda mabadiliko ya uchumi
DODOMA:Serikali imesema itatoa kipaumbele kwenye sekta ya kilimo katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, ikiitaja kuwa miongoni mwa sekta zitakazochochea mageuzi ya uchumi, kuongeza uzalishaji na kufungua…