Mwigulu: Waliopora mali za wananchi warudishe
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema watu wote waliopora mali za wenzao ikiwemo ardhi warudishe wenyewe kabla hawajafikiwa na mkono wa serikali. Aidha, amewataka wananchi kutoa taarifa katika mamlaka zinazohusika…