Makalla akutana na Waziri wa Uchumi Urusi
ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumamosi Mei 16, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Serikali ya Shirikisho la Urusi ulioongozwa na Waziri…
ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumamosi Mei 16, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Serikali ya Shirikisho la Urusi ulioongozwa na Waziri…
SHINYANGA: WAKAZI wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Almas uliopo Mwadui Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameshukuru kuja kwa wataalamu wa msaada wa kisheria wa awamu ya pili ya…
MARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kuvuja makundi, kwani chama hicho hakihitaji makundi bali umoja, upendo na mahikamano na hakitovumilia kuchukua hatua kwa yeyote atakayekiuka misingi na taratibu…
MARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi kutokuruhusu siasa kuingia katika maendeleo akiwasisitiza walinde miundombinu inayopelekwa na serikali. Kihongosi…
KAGERA: Wadau wa kahawa mkoani Kagera kupitia kikao cha wadau wa zao hilo wamepongeza mabadiliko ya kimfumo ya ununuzi kwa njia ya mnada na kudai kuwa mfumo huo umeongeza uwazi…
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mkuu wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi David Kafulila amesema changamoto ya uzazi wa mpango ndiyo kikwazo kikubwa cha kiuchumi…
DAR ES SALAAM :WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka wahitimu Taasisi ya Uongozi kuwa waadilifu, wabunifu na uthubuti katika kazi…
TARIME: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi wa chama chao ni vikao, hivyo maamuzi yanayotolea katika vikao yanapaswa kuheshiwa.…
KAGERA: Mwekezaji wa kiwanda cha kuongeza thamani ya zao la kahawa mkoani Kagera, Amiri Hamza, ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuboresha diplomasia ya biashara nje ya nchi na…
Pemba. Uzinduzi wa NH Collection Pemba Wellness Resort utakaofanyika hivi karibuni unatarajiwa kuleta mapinduzi katika sekta ndogo ya utalii wa kifahari katika visiwa vya Pemba. Aina hii ya utalii unakuwa…
KAGERA: Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) kwa kushirikiana na taasisi za utafiti, wadau binafsi, inalenga kuongeza kiwango cha uzalishaji wa miche bora ya kahawa kutoka milioni 20 inayozalishwa kwa sasa…
MUSOMA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi ameelekeza suala la michango mashuleni likome, na kuhakikisha wananchi wanatendewa haki kwa kupata huduma…
DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira bora kwa wawekezaji katika usafirishaji, viwanda kilimo na huduma mbalimbali ili sekta hiyo Ibaki imara katika…
DAR ES SALAAM: Wataalamu wa afya wamewataka wanafunzi wa udaktari na madaktari wa watoto kujikita katika taaluma ya Rheumatology kwa watoto ili kupunguza uhaba mkubwa wa wataalamu wa magonjwa hayo…
LONDON, UINGEREZA: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni amesema maandalizi muhimu kuelekea mnada wa vitalu vilivyo wazi vya utafutaji wa gesi…
DAR ES SAAM: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Mbwasi amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 asilimia 70 inategemea sekta binafsi ikiwemo wafanyabiashara na wawekezaji,…
MUSOMA: Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi, amewasili leo Mei 14, 2026 mkoani Mara Region kwa ajili ya…
Dar es Salaam – Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah amesema Kampuni hiyo inaunga mkono Mfumo wa Kimkakati wa Uchumi wa Dijitali Tanzania (2024–2034), unaolenga kuiweka…
SHINYANGA: MKAZI wa Kijiji cha Bukamba Kata ya Lyabusalu Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Musa Mshindikwa (55) amepata suluhisho kwa kurudishiwa rasilimali zake zilizopotea baada ya kukosa maelewano kwa muda…
DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Malinyi Dk. Mecktridis Mdaku ametoa hoja Bungeni Jijini Dodoma kwa kuhoji kuhusu hatima ya wananchi wa Malinyi waliohamishwa kutoka katika maeneo yao ya kilimo(Ulanga na…
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza kulipa fidia ya Sh milioni 285 kwa wakazi wa mitaa ya Nyafula, Igalagala, Ilelako,Sangabuye…
ARUSHA: Vijana wameshauriwa kuwekeza katika soko la hisa ili kujenga uchumi kupitia uwekezaji wa kidijitali na kujikwamua kiuchumi huku wakijiandaa na maisha ya baadaye. Wito huo umetolewa leo jijini Arusha…
DODOMA: Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika kukuza upatikanaji wa ajira nchini, Sekta ya Uchukuzi imeendelea kutoa ajira 198,480 wakati wa ujenzi wa miundombinu pamoja na utoaji wa…
DODOMA: Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema kwa mujibu wa taarifa ya hali ya uchumi wa taifa ya mwaka 2024, sekta ya Uchukuzi ilikua kwa asilimia 4.2 na kuchangia…
KARAGWE: WANANCHI 280 wa kata nne za wilaya ya Karagwe iliyopo mkoani Kagera wameanza kulipwa fidia na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) baada ya kupisha mradi wa kusafirisha umeme wa…
KAGERA: Utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala (ADR) umeendelea kutajwa kuwa suluhisho muhimu katika kuimarisha amani na mshikamano katika familia na jamii, huku wananchi wakihimizwa kutumia njia za mazungumzo na…
DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Mhe. Jackson Kiswaga, ameeleza kuwa licha ya Serikali kuwekeza kiasi kikubwa cha takriban Sh trilioni 4…
DAR ES SALAAM: Katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani, Mkurugenzi wa wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPC) David Kafulila amesema kuwa ubora wa…
IRINGA: Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamezindua kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Isimani kwa kumwaga sifa kwa mgombea wa chama hicho, Emanuela Kaganda Mtatifikolo, wakieleza kuwa anastahili kupewa…
London, Uingereza: Kampuni kubwa nishati kutoka Marekani, Chevron Corporation imeeleza utayari wake wa kuwekeza nchini Tanzania katika shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia, hatua inayodhihirisha kuendelea kuimarika kwa…
DAR ES SALAAM:MAKONGORO Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa Julius Nyerere, ameingia katika orodha ya washindi watatu wa droo ya kampeni ya Kombe la Dunia ya benki ya CRDB hatua…
IRINGA: Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 100 ya shule ya sekondari Tosamaganga, Mbunge wa Jimbo la Kalenga ilipo shule hiyo, Jackson Kiswaga, amekabidhi mifuko 200 ya saruji kwa shule hiyo…
USWISI – Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki ameongoza ushiriki wa Tanzania katika Maadhimisho ya 3 ya Siku ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ulimwengu Pepe ‘3rd UN…
DAR ES SALAAM: Katika hatua muhimu kwa sekta ya benki nchini na uongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, anatarajiwa kuzungumza katika…
KARAGWE: Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imezitaka sekta binafsi kuwekeza zaidi katika uzalishaji wa mbegu kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa kutokana na hali ya hewa…
DODOMA: Shirika la AGRA limeanza kutoa mafunzo maalum ya uchambuzi wa hatari za tabianchi kwa wadau wa sekta ya kilimo nchini, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kusaidia Tanzania kujenga…
SHINYANGA: Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Shinyanga, Leo Komba ametoa wito kwa wawekezaji pamoja na wananchi kuhakikisha wanalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kuendelea…
Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi…
DAR ES SALAAM: FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zinatarajiwa kuvunja rekodi mpya duniani baada ya idadi ya timu kuongezeka kutoka 32 hadi 48 huku mechi zikiongezeka kutoka 68 hadi…
SHINYANGA: TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeeleza kupokea malalamiko 29 ya aina mbalimbali kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid ambayo baadhi yake watakwenda kuyafanyia uchunguzi na…
DAR ES SALAAM: MBUNGE wa Jimbo la Mbagala, Burchard Kakulu amesema kampeni ya utoaji elimu ya usalama barabarani kwa waendesha bodaboda itakuwa sehemu muhimu ya maandalizi ya Tanzania kuelekea mashindano…
DAR ES SALAAM: MBUNGE wa Jimbo la Mbagala, Burchard Kakulu amesema elimu ya usalama barabarani inayotolewa kwa waendesha bodaboda ni muhimu katika kuokoa maisha ya wananchi pamoja na kuchochea maendeleo…
DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amezindua rasmi Mwongozo wa Kuratibu Ushiriki wa Wadau wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi…
DODOMA: JITIHADA za kukuza ushiriki wa wazawa kwenye Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) zimeendelea kuimarika, baada ya kuzinduliwa kwa mpango maalumu wa kuwajengea uwezo Watanzania…
DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, amefanya uteuzi wa wenyeviti, wajumbe…
DAR ES SALAAM: Mdau na mwekezaji katika sekta ya kilimo, Malebo Lucas wa kampuni ya Malebo Farm, ameishauri Serikali kupitia Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta…
IRINGA: Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea asubuhi ya leo eneo la Mseke, wilayani Iringa, baada ya basi la kampuni ya Classic…
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amepongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Kwa kuimarisha ulinzi na usalama. Mtanda alisema hayo Mei 9 katika maadhimisho ya Siku ya…
KIGOMA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameeleza kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma unaotekelezwa na kampuni ya DONGFANG Electric International…
GEITA: SERIKALI imekemea tabia ya ufugaji holela wa wanyama aina ya punda usiozingatia huduma, makazi na malazi stahiki kwa wanyama hao hali inayopelekea kuhatarisha afya, usalama na maisha ya punda…