Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: PSG inamsaka Haaland Man City
Paris St-Germain yaonyesha nia ya kumsajili Erling Haaland, vilabu kadhaa vya Ulaya vinamtaka Bernardo Silva na Carlo Ancelotti ana nia ya kuongeza muda wake wa ukocha wa Brazil.
Paris St-Germain yaonyesha nia ya kumsajili Erling Haaland, vilabu kadhaa vya Ulaya vinamtaka Bernardo Silva na Carlo Ancelotti ana nia ya kuongeza muda wake wa ukocha wa Brazil.
Trump amemtaja RodrÃguez kuwa "mtu mzuri" ambaye amefanya naye kazi. RodrÃguez, kwa upande wake amesema wamekuwa na mawasiliano na Trump kwa njia ya "heshima" na "uangalifu".
Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol amepatikana na hatia leo Alhamisi, Februari 19, ya kuongoza uasi kwa kuweka sheria ya kijeshi kwa muda mfupi na kupeleka jeshi Bungeni…
DRC, Zambia, Msumbiji, Zimbabwe, na Botswana zimekubaliana kujenga kituo cha pamoja mpakani. Mradi huu ulikuwa lengo la mkutano wa kiufundi uliofanyika siku ya Jumatano, Februari 18, huko Dubai, Falme za…
Jumla ya Wakenya 1,000 wameajiriwa kupigania Urusi, kulingana na ripoti ya ujasusi ya Kenya inayoelezea mtandao wa maafisa wahalifu wanaodaiwa kushirikiana na makundi ya biashara haramu ya binadamu. Imechapishwa: 19/02/2026…
Mwanamfalme wa zamani Andrew, ambaye anatimiza miaka 66 siku ya Alhamisi, amekamatwa kufuatia madai ya “utovu wa nidhamu katika utendaji wa majukumu rasmi,” polisi ya Windsor imetangaza, kuhusiana na tuhuma…
Wakazi na wafanyabiashara wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),wanaomba mpaka na Burundi ufuguliwe tena. Mwezi mmoja baada ya waasi wa AFC/M23 kuondoka katika mji wa Uvira,…
Iwapo Manchester City, walio nyuma kwa alama tano katika nafasi ya pili watashinda mechi zao 12 zilizosalia, ikiwemo mchezo wao wa nyumbani Etihad dhidi ya Arsenal, basi watamaliza kileleni katika…
Iliwezekanaje hakuna aliyegundua kilichokuwa kinaendelea Je, kulikuwa na ushirikiano wa mtu wa ndani? Vipi mashine za kuchimba hazikusikika Na wezi walijuaje eneo halisi lenye hazina hiyo?
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano wametaka makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza yawe ya kudumu na wamekosoa juhudi za Israel za kupanua udhibiti…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio anapanga kusafiri kwenda Israel wiki ijayo kumjulisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu maendeleo ya hivi punde katika mazungumzo ya…
Balagué anaeleza kuwa badala ya soka kusherehekea bao la kipekee la VinÃcius, mchezo huo ulitawaliwa tena na mjadala wa ubaguzi wa rangi, kukanusha tuhuma, na visingizio.
Adhabu ya kifo, kifungo cha maisha, au msamaha dhidi ya uwezekano wowote? Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol atajua hatima yake leo Alhamisi katika kesi kuu inayohusiana…
Shutuma za Marekani dhidi ya China zinafufua mvutano kati ya mataifa yenye nguvu za nyuklia na kufufua mjadala kuhusu mustakabali wa udhibiti wa silaha, dhidi ya hali ya ushindani mkubwa…
Chombo kipya cha kimataifa kilichoitwa “Baraza la Amani” ambacho kilizinduliwa mwanzoni mwa mwaka na rais wa Marekani, kinakutana kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Februari 19, nchini Marekani. Lakini lengo…
Mkurugenzi Mkuu mtendaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Meta, zamani facebook, Mark Zuckerberg, amekuwa Mahakamani jijini Los Angeles nchini Marekani, kujibu tuhuma kuhusu namna matumizi ya mtandao hasa wa…
Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa amani ulioanzishwa katika msimu wa vuli wa mwaka 2024 kati ya Ankara na Chama cha Wafanyakazi cha Kurdistan (PKK): siku ya Jumatano, Februari…
Shambulio jipya linalohusishwa na kundi la jihadi limesababisha vifo vya watu kati ya 60 na 70 mashariki mwa Burkina Faso siku ya Jumamosi, Februari 14. Wakati huu, lililenga kambi ya…
Manchester United yajutia dili la Marcus Rashford Barcelona, ​​Marcos Senesi anataka kujiunga na Barcelona, huku Liam Delap akitarajiwa kuondoka Chelsea msimu huu wa joto.
Wanajeshi wa Marekani wamekuwa Syria tangu mwaka 2015, kama sehemu ya kampeni ya kupambana na ugaidi ili kukabiliana na ushawishi wa Dola la Kiislamu (ISIS).
Serikali nchini Kenya imebaini kuwa raia wake 95 wamesajiliwa kwenye jeshi la Urusi, kwenda kupigana nchini Ukraine. Takwimu hizi zimetolewa na Wizara ya Mambo ya nje, kwa mujibu wa Gazeti…
Nchini Afrika Kusini, Kaimu Waziri wa Polisi amebainisha Bungeni siku ya Jumanne, Februari 17, kutumwa kwa jeshi ndani ya siku kumi kupambana na uhalifu, hasa vurugu za magenge. Hatua hii,…
Mataifa ya Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya, yamelaani vita vinavyoendelea nchini Sudan kwa karibu miaka mitatu sasa na kusema, kinachoendelea ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu. Imechapishwa: 19/02/2026…
Wachimbaji 38 wa madini waliuawa wakati gesi ilipolipuka kwenye shimo katika jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria, Wengine 27 walijeruhiwa katika mlipuko huo kwenye eneo la uchimbaji madini la Kampanin…
Kundi la kutetea haki za wanawake la Syrian Feminist Lobby (SFL) kinasema kilirekodi ripoti kutoka kwa familia, vyombo vya habari na vyanzo vingine, kuwa zaidi ya wanawake 80 hawajulikani waliko.
Mpango wa NATO wa Walinzi wa Arctic, uliotangazwa rasmi wiki iliyopita na Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte, uliibuka huku kukiwa na uhusiano mbaya kati ya Marekani na nchi za…
Mwezi mtakatifu wa Ramadhani unaanza katika ulimwengu wa Kiislamu Jumatano hii, Februari 18. Kwa Wapalestina, ni sherehe chini ya mazingira magumu sana katika Ukanda wa Gaza, ambapo watu milioni moja…
Ni kesi isiyo ya kawaida katika nchi ya John Paul II: askofu wa Poland amefika mahakamani siku ya Jumatano kwa kosa la kuficha unyanyasaji wa watoto uliofanywa na mapadri katika…
Iran na Urusi zitafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, huku mvutano na Marekani ukifikia kilele. Imechapishwa: 18/02/2026 – 13:50 Dakika 1 Wakati wa kusoma Na: RFI…
Nchini Msumbiji, kamanda wa zamani wa polisi Bernardino Rafael na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani Pascoal Ronda wamehojiwa siku ya Jumanne, Februari 17, na Mwanasheria Mkuu. Kesi hii…
Majadiliano kuhusu kuunda "NATO ya Kiislamu" imekuwa moja ya hoja kuu za mazungumzo katika vyombo vya habari vya Kiarabu.
Baadhi ya nchi zimetangaza kuuona mwezi na kuanza kufunga leo, huku nyingine zikisubiri kukamilika kwa siku 30 za Shaaban au uthibitisho wa muandamo wa mwezi katika anga zao kabla ya…
Ndege zisizo na rubani na silaha nyingine za kisasa zimekuwa zikitumika kwa wingi zaidi kadiri vita vinavyoendelea.
Mjumbe wa Ikulu ya White House Steve Witkoff amepongeza leo Jumatano, Februari 18, “maendeleo makubwa” yanayowakilishwa na mazungumzo yanayowaleta pamoja wajumbe wa Urusi na ule wa Ukraine ili kujaribu kupata…
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesimama nchini Ethiopia siku ya Jumanne, Februari 17, ziara yake ya kwanza tangu miaka 11 ilitopita. Yeye na Waziri Mkuu Abiy Ahmed walisaini mikataba…
Kenya na Ghana ni mfano wa matukio ya kurekodiwa kwa kamera za siri kutokana na kisa cha raia wa Urusi ambaye alidaiwa kurekodi wanawake bila idhini yao, kisha kuchapishwa video…
Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika siku ya Jumanne, Februari 17, Mwendesha mashtaka wa umma, Ibrahim Ndoye, amesema kwamba mwanafunzi huyo kutoka Chuo Kikuu cha Cheikh Anta Diop cha…
Wakati wa ziara ya Hadja Lahbib, Kamishna wa Ulaya anayehusika na Usawa, Maandalizi na Usimamizi wa Migogoro jijini Kinshasa, EU imetangaza Jumanne, Februari 17, kutolewa kwa euro milioni 81.2 milioni…
Mwezi mmoja baada ya waasi wa M23/AFC kuondoka kwenye mji wa Uvira jimboni Kivu Kusini, Mashariki mwa DRC, maisha ya kawaida yameanza kurejea taratibu, huku utawala wa Kinshasa ukirejea. Imechapishwa:…
Mamlaka Kuu ya Mawasiliano ya Gabon (HAC) imeamua Jumanne jioni, Februari 17, 2026, kuzima mara moja mitandao ya kijamii kote nchini hadi hatua nyingine itakapochukuliwa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji…
Kama ilivyo huko Ukraine, Sudan na kwenye eneo la Sahel, matumizi ya ndege zisizo na rubani yameendelea kuonesha nguvu ya misuli ya mataifa na sasa hivi kwenye eneo la mashariki…
Mpango wowote unaoitaka Ukraine kutoa eneo ambalo Urusi haijaliteka katika eneo la mashariki mwa Donbas utakataliwa na Waukraine ikiwa utapigiwa kura ya maoni.
Muungano wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Kenya (KAWU) umesitisha mgomo wake ulioanza Jumatatu baada ya maafikiano na Wizara ya Uchukuzi. Imechapishwa: 18/02/2026 – 04:35 Dakika 1 Wakati wa…
Kenya na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wao katika miradi ya maendeleo na miundombinu ya maji, ikiwemo ujenzi wa mabwawa, katika juhudi za kukabiliana na athari za ukame unaoendelea kuathiri mamilioni…
Katika safari yake ya siasa Rahman ametuhumiwa na wapinzani wake kuwa na mapendeleo, ufisadi, na kuishi uhamishoni baada ya kuuawa kwa babake.
Mchungaji wa Marekani Jesse Jackson, mtetezi mwenye bidii wa haki za Wamarekani Weusi na mshirika wa karibu wa Martin Luther King Jr., amefariki akiwa na umri wa miaka 84, familia…
Operesheni kubwa iliyofanywa mwishoni mwa wiki iliyopita na Idara ya Uhamiaji ya Zambia katika jiji la Ndola ilisababisha kukamatwa kwa zaidi ya raia 80 wa Kongo, ambao baadhi yao walifukuzwa…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewasili siku ya Jumatatu jioni, Februari 16, nchini India kwa ziara rasmi ya siku tatu inayolenga kuimarisha ushirikiano wa karibu ambao tayari upo, huku kukiwa…
Takribani asilimia 9 ya watu milioni 174 wa Bangladesh ni wa makundi ya kidini ya wachache, wengi wao wakiwa Wahindu. Mahusiano na Waislamu walio wengi kwa muda mrefu yamekuwa yakikumbwa…
Mwaka 2021, wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19, akiwa na umri wa miaka 39 akiwa katika hali nzuri kiafya, lakini ghafla alipata mshtuko wa moyo. Kwa mujibu wa wataalamu…