Mauaji yaliyofanywa na umati wa watu yaliyoishtua dunia
Takribani asilimia 9 ya watu milioni 174 wa Bangladesh ni wa makundi ya kidini ya wachache, wengi wao wakiwa Wahindu. Mahusiano na Waislamu walio wengi kwa muda mrefu yamekuwa yakikumbwa…
Takribani asilimia 9 ya watu milioni 174 wa Bangladesh ni wa makundi ya kidini ya wachache, wengi wao wakiwa Wahindu. Mahusiano na Waislamu walio wengi kwa muda mrefu yamekuwa yakikumbwa…
Mwaka 2021, wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19, akiwa na umri wa miaka 39 akiwa katika hali nzuri kiafya, lakini ghafla alipata mshtuko wa moyo. Kwa mujibu wa wataalamu…
Sukari inayopatikana kwa tende husaidia kuongeza viwango ya sukari mwilini kwa haraka ikilinganishwa na vyakula vingine ambavyo huchukua muda kumengenywa.
Nchini Burundi hapo jana Jumatatu, maelfu ya watu walihamasishwa mjini Bujumbura kumkaribisha Rais Évariste Ndayishimiye, akirejea kutoka Addis Ababa ambapo mwishoni mwa juma lililopita alikuwa amechukua urais wa mzunguko wa…
BBC Verify imethibitisha eneo la meli ya Marekani ya USS Abraham Lincoln karibu na Iran kwa kutumia picha za setilaiti.
Nchini Nigeria, wanajeshi 100 wa Marekani wapo nchini humo katika ushirikiano wa operesheni za kiusalama kupambana na makundi ya kijihadi na kigaidi katika taifa hilo la Afrika Magharibi. Imechapishwa: 17/02/2026…
Mamilioni ya faili mpya zinazohusiana na Epstein ziliwekwa hadharani na idara ya sheria ya Marekani mapema mwezi huu
Watu karibu thelathini wameuawa katikati ya nchi ya Sudan, baada ya ndege isiyokuwa na rubani kushambulia soko, katika eneo ambalo wanajeshi na wanamgambo wa RSF wameendelea kupambana. Imechapishwa: 17/02/2026 –…
Kamishena wa Ulaya anayehusika na Misaada ya Kibinadamu amewasili jijini Kinshasa ikiwa ni hatua ya kwanza katika ziara itakayompeleka katika nchi kadhaa katika eneo la Maziwa Makuu. Imechapishwa: 17/02/2026 –…
Man Utd inamtaka Alexis Mac Allister wa Liverpool, Man City haina nia ya kumuuza James Trafford, Nicolas Jackson kurejea Chelsea kutoka Bayern Munich.
Kutolewa kwa nyaraka zinazoonyesha kwamba vipande kadhaa vya pazia la Kaaba, eneo takatifu zaidi la Uislamu, vilitumwa kwa Jeffrey Epstein, mfadhili mashuhuri na mhalifu wa ngono, kumezusha wimbi la hasira…
Mkutano wa kimataifa kuhusu Akili Bandia (AI) umefunguliwa leo Jumatatu jijini New Delhi kujadili athari za mapinduzi yanayokuja, kuanzia ajira hadi ulinzi wa watoto, lakini washiriki wana shaka kwamba utatoa…
Ujerumani inaona juhudi za Ufaransa katika suala la ulinzi “hazitoshi.” Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul ameitaka Ufaransa “kuweka akiba,” hasa “katika nyanja ya kijamii,” ili “kuwa…
baada ya mechi za mwisho wa wiki za FA Cup na maamuzi mengi yaliyohusika ya utata, mjadala umeibuka kuhusu VAR. Ibaki au iondolewe? Uamuzi sahihi au kuharibu utamu?
Kufunga kwa wakatoliki hujikita sana kwa maisha ya kiroho na huruma ya mtu, kwa hivyo wakati wa kufunga si kubadilisha tu lishe,bali tabia na mienendo ya mtu.
Waziri wa nchi anayehusika na sheria nchini DRC Guillaume Ngefa, amepiga marufuku kwa muda uandikishaji wowote mpya wa wafungwa katika gereza la Makala jijini Kinshasa. Imechapishwa: 16/02/2026 – 09:40Imehaririwa: 16/02/2026…
China inaahidi msaada mpya wa kibinadamu kwa Ukraine. Beijing inazungumzia haswa wakati diplomasia kuhusu vita ikiwa katika hali tete zaidi. China imetoa msaada wa dharura wa kibinadamu (chakula, dawa) kwa…
Nchini Ethiopia, wakati mvutano huko Tigray ukiongezeka, serikali ya shirikisho inapoteza nguvu katika eneo la Amhara. Katika vita na serikali kwa miaka mitatu, waasi katika eneo la Amhara, pia wanajulikana…
Cameroon ni mojawapo ya nchi kuu za asili ya wapiganaji wa Kiafrika wanaohudumu katika jeshi la Urusi nchini Ukraine, kulingana na matokeo ya uchunguzi uliofanywa na kundi la All Eyes…
Ghana itawasilisha azimio kwa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Machi ili kutaja biashara ya utumwa barani Afrika kama “uhalifu mbaya zaidi dhidi ya binadamu,” Rais wa Ghana John…
Mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika sasa umekamilika. Kwa siku mbili, wakuu wa nchi na serikali, wanachama wa Umoja wa Afrika, walijadili migogoro mikubwa inayoathiri bara hilo. Rais wa…
Mataifa yaliyo kusini mwa ikweta yatashuhudia mfungo wa muda mfupi.
Mtoto wa Shah aliyeondolewa madarakani, Reza Pahlavi, ametoa wito tena kwa Donald Trump kwa kuingilia kati kijeshi “haraka” nchini Iran na akarudia pendekezo lake la kuhakikisha “mpito” wa kisiasa nchini…
Nchini Kenya, mpasuko wa kisiasa ndani ya chama cha siasa cha ODM umeendelea ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita, pande mbili zinazovutana kuhusu kumuunga mkono rais William Ruto, ziliandaa mikutano ya…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa wito siku ya Jumapili kwa “kuvunjwa” kwa uwezo wa urutubishaji wa uranium wa Iran, wakati wa hotuba mbele ya Mkutano wa viongozi wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameondoka Tehran Jumapili, Februari 15, kwenda Geneva kwa ajili ya duru ya pili ya mazungumzo na Marekani, yanayosimamiwa na Oman, ili kuzuia mashambulizi…
Nchini BurkinaFaso, mji wa Titao, ambao hapo awali uliokolewa kutokana na mashambulio ya kigaidi, ulivamiwa na kundi la washambuliaji siku ya Jumamosi, Februari 14, 2026. Walishambulia na kupora kambi ya…
Netanyahu alisema ana mashaka kuhusu makubaliano lakini lazima yajumuishe kuondolewa kwa nyenzo zilizorutubishwa nchini Iran.
Sumu, epibatidine, inaweza kupatikana kwa vyura porini Amerika Kusini au kutengenezwa katika maabara.
Murillo anawaniwa na vilabu vya soka vya London, mchezaji mwenzake wa Nottingham Forest Morgan Gibbs-White huenda akaelekea Manchester City, na Everton inafukuzia Harry Wilson Fulham
Wakati usitishaji mapigano ukitarajiwa kuanza siku ya Jumatano, Februari 18, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapigano makali yanayoambatana na mashambulizi ya mabomu yanaendelea katika nyanda za juu…
Ugonjwa wa kipindupindu unaenea ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kufikia gereza kubwa zaidi nchini humo la Makala, jijini Kinshasa. Vifo vimeripotiwa katika gereza hilo. Wagonjwa kadhaa wamethibitishwa miongoni…
China itafuta ushuru kwa nchi zote za Afrika, isipokuwa Eswatini, kuanzia Mei 1, Rais wa China Xi Jinping ametangaza siku ya Jumamosi, kulingana na vyombo vya habari vya serikali. Imechapishwa:…
Kwa mara ya kwanza katika miaka 17, Libya ilitoa vitalu vya mafuta kwa makampuni ya kigeni Jumatano, Februari 11, 2026. Kampuni ya Marekani Chevron, kampuni ya Uingereza BP, kampuni ya…
Kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Niger, Jenerali Abdourahamane Tiani, amehutubia taifa kwa zaidi ya saa tatu katika ujumbe uliofuatwa na mahojiano marefu yaliyorushwa kwenye RTN – redio na televisheni…
Mkutano wa 39 wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika (AU) umefunguliwa Jumamosi, Februari 14, huko Addis Ababa, Ethiopia. Katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Tume ya AU, Mahamoud Ali Youssouf,…
Iran iko tayari kufikiria maafikiano ili kufikia makubaliano ya nyuklia na Marekani ikiwa Wamarekani watakuwa tayari kujadili kuondoa vikwazo, waziri wa Iran ameiambia BBC.
Erik Prince, mfuasi wa Rais wa Marekani Donald Trump, amewatuma wanamgambo wa kampuni yake binafsi ya kijeshi kusaidia kulinda mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),…
Miaka miwili baada ya uzinduzi wa “Mpango wa Mattei” huko Roma, Giorgia Meloni ametumia fursa ya ziara yake yake kwenda Addis Ababa siku ya Ijumaa, Februari 13, kando ya mkutano…
Je, ungekuwa mtu tofauti iwapo ungekulia mahali pengine?
Kuachana kimapenzi ni ngumu. Kutoka wakati mmoja hadi mwingine, unapoteza mtu ambaye ulishiriki naye kila kitu. Lakini kudumisha urafiki na mpenzi wako wa zamani kunaweza kuumiza vile vile.
Wanaume hunusa harufu ya mwili wa wanawake kuwa ya kuvutia zaidi wakati wa kipindi cha rutuba katika mzunguko wa hedhi, na isiyovutia sana wakati wa hedhi. Hali hii huenda iliwasaidia…
Kundi la Boko Haram, wapiganaji wa Islamic State West Africa Province (ISWAP) na makundi mengine, yameongeza mashambulizi yao kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Anthony Gordon anaweza kurejea Merseyside huku Mohamed Salah akionekana kuwa tayari kuondoka Liverpool, Arsenal inamlenga Castello Lukeba, huku Manchester United wakiwachunguza wachezaji wawili kwenye mechi ya Serie A.
Wafanyabiashara hujipatia pesa haraka, wakiuza maua ambayo ndio tu yametoka mashambani, hasa ukizingatia kuwa Kenya ni mojawapo ya wazalishaji wakuu wa maua duniani.
Jaji wa Shirikisho Patti Saris alizuia uamuzi wa utawala wa Trump siku ya Alhamisi, Februari 12, 2026, wa kukomesha ulinzi wa muda dhidi ya kufukuzwa kwa wakimbizi wa Sudan Kusini.…
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO, unaendelea na maandalizi yake ya kuanzishwa kwa utaratibu wa ufuatiliaji wa uwezekano wa kusitisha mapigano ambao unaweza kufuata mipango ya hivi karibuni…
Mtalii, raia wa Ufaransa, amepatikana amekufa katika oasisi (chemchemi) ya Bachikélé, yapata kilomita 100 kutoka Amdjarass, mji mkuu wa jimbo la Ennedi Mashariki nchini Chad. Mstaafu huyo mwenye umri wa…
Bunge la Ulaya limepitisha azimio kuhusu hali ya baada ya uchaguzi nchini Uganda. Siku ya Alhamisi, Februari 14, 2026, Wabunge wa Umoja wa Ulaya walipiga kura kuunga mkono nakala inayolaani…
Mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika unafunguliwa leo Jumamosi asubuhi, Februari 14, huko Addis Ababa, Ethiopia. Wakuu wa nchi na serikali zaidi ya hamsini wanashiriki. Wakati wa sherehe ya…