Muuguzi mmoja Ujerumani ahukumiwa kifungo cha maisha
Mahakama moja mjini Aachen nchini Ujerumani, imemhukumu leo kifungo cha maisha jela muuguzi mmoja kwa mauaji ya wagonjwa 10 na jaribio la kuwaua wengine 27 kwa sindano za sumu.
Mahakama moja mjini Aachen nchini Ujerumani, imemhukumu leo kifungo cha maisha jela muuguzi mmoja kwa mauaji ya wagonjwa 10 na jaribio la kuwaua wengine 27 kwa sindano za sumu.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo imesema watu 40 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya waombolezaji huko Kardofan nchini Sudan. RSF imeendelea kuteka maeneo kadhaa kutoka kwa jeshi la…
Vikosi vya Urusi vinasonga mbele ndani ya mji wa Pokrovsk mashariki mwa Ukraine na kuharibu mifumo ya kijeshi iliyoundwa na vikosi vya Ukraine pamoja na kuzuia juhudi za Ukraine kujitoa…
Israel imethibitisha hivi leo kupokea mabaki ya mwili wa mwanajeshi wake mwenye uraia pia wa Marekani kutoka kwa wanamgambo wa Hamas, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha…
Hali ikirejea kuwa shwari Tanzania, wataalamu na wanasiasa mbalimbali katika mataifa ya kusini mwa Afrika wametoa angalizo kuwa hali yoyote ya ukosefu wa uthabiti wa kisiasa Tanzania utaathiri uchumi wa…
Madai ya Trump kuhusu mauaji ya halaiki ya Wakristo nchini Nigeria na vitisho vya mashambulizi ya kijeshi ni muenendo waliyozowea Marekani kwa kisingizio cha misaada kwa watu.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, amefunguliwa mashtaka ya ugaidi — siku chache baada ya ghasia za uchaguzi mkuu.
Mienendo ya wafanyabiashara kufunga maduka yao jijini Kampala nchini Uganda kama njia ya kugoma imeanza kuwa chukizo kwa wateja. Wafanyabiashara wanasema hatua hiyo ni kupunguza mzigo wa kodi inayotozwa na…
Zohran Mamdani,mwenye umri wa miaka 34 na anayejitambulisha kama msoshalisti, amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa New York.
Zohran Mamdani, kutoka chama cha Demokrat alichaguliwa kuwa meya wa Jiji la New York siku ya Jumanne, akimaliza ushawishi wa muda mrefu wa gavana wa zamani Andrew Cuomo aliyesimama kama…
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA chadai kuwa vikosi vya usalama vilikuwa vikitupa miili ya mamia ya waliouawa katika ghasia za uchaguzi.
Mabaki ya mateka yaliokabidhiwa kwa Israeli na kundi la Hamas jana jioni yametambuliwa kuwa ya mwanajeshi aliyetakwa nyara mnamo Oktoba 7, 2023. Haya yamesemwa mapema leo na jeshi la Israel.
Iran lazima iimarishe ushirikiano wake na wakaguzi wa Umoja wa Mataifa ili kuepuka kuzidisha mvutano na nchi za Magharibi.Haya yameripotiwa na gazeti la Financial Times lililomnukuu mkuu wa Shirika la…
Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya bado hazijafikia makubaliano kuhusu malengo muhimu ya uzalishaji wa hewa chafuzi kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa wa COP30 utakaofanyika wiki…
Vikosi vya usalama nchini Uganda vimesema kuwa vimemuua mganga mmoja kwa jina Christian Asuman Muganzi, anayedaiwa kuongoza mashambulizi ya kuratibiwa wikendi iliyopita dhidi ya vituo vya polisi na jeshi .
John Okoth Ogutu, Mkenya mwenye umri wa miaka 33 aliyeishi Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi, ameripotiwa kuuawa kwa risasi wakati wa machafuko yaliyotokea Dar es Salaam baada ya uchaguzi.
Winga wa Bayern Munich Luis Diaz alifunga mabao mawili ya kipindi cha kwanza na kuisaidia timu yake kuwalaza mabingwa watetezi Paris Saint Germain 2-1.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametoa mwito kwa Rais Viktor Orban wa Hungary kuacha kupinga ombi la nchi yake kujiunga na Umoja wa Ulaya.
Watanzania jana wamesambaza video mitandaoni zilizoonesha ukatili uliofanyika wakati wa maandamano ya siku kadhaa nchini humo kufuatia uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.
Marekani inashirikiana na mataifa mengine kusitisha mapigano yanayoendelea nchini Sudan.
Mgombea wa chama cha Democratic Zohran Mamdani ameshinda kiti cha meya wa jiji la New York huko Marekani.
Zohran Mamdani wa chama cha Democratic ashinda kura ya Meya wa New York huko Marekani//Marekani yasema iko katika majadiliano ya vita kusitishwa Sudan//Na Watanzania wasambaza video za ukatili uliofanyika nchini…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Watanzania jana wamesambaza video mitandaoni zilizoonesha ukatili uliofanyika wakati wa maandamano ya siku kadhaa nchini humo kufuatia uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita / Zohran Mamdani, kutoka…
Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya kuapishwa wa Samia Suluhu Hassan kama rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia ushindi wake wa kiti hicho katika uchaguzi wa Oktoba…
Serikali ya Tanzania inakabiliwa na shinikizo linaloongezeka kufuatia mauaji yaliyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita, huku chama cha upinzani CHADEMA kikivishutumu vikosi vya usalama.
Nafasi ya kocha huyo kwa sasa inachukuliwa na mzawa Miguel Gamondi, raia wa Argentina ambaye alikuwa akiifundisha Singida Big Stars ya nchini Tanzania.
Tawi la Kijeshi la Hamas limesema kuwa limeupata mwili wa mwanajeshi mmoja wa Israel katika Ukanda wa Gaza na linafanya mpango wa kuurejesha Israel.
Serikali ya Nigeria imepinga vikali vitisho vya kijeshi vilivyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu madai ya mateso dhidi ya Wakristo nchini humo.
Ujerumani na Ghana zataka kuimarisha mahusiano zaidi kwa maslahi ya pamoja kufuatia ziara ya rais Frank-Walter Steinmeier mjini Accra
Makamu wa rais wa zamani wa Marekani Dick Cheney amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Cheney alikuwa makamu wa rais wa 46, akihudumu chini ya rais Mrepublican George…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa mshikamano wa kitaifa, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na utulivu baada ya kuapishwa kwa muhula mpya wa miaka mitano. Katika…
Kansela wa Ujerumani Friedriech Merz amesema Wasyria hawana tena msingi wa kuomba hifadhi nchini Ujerumani kwa sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe vimemalizika nchini mwao.
Singapore inapanga kuwaadhibu walaghai wa mitandaoni kwa kuwacharaza viboko sita. Hayo yamesemwa bungeni na waziri mmoja, wakati taifa hilo likiimarisha vita vyake dhidi ya makundi ya ulaghai.
Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Guinea amewasilisha rasmi jina lake kugombea urais katika uchaguzi wa Disemba, akibatilisha ahadi yake ya awali kwamba hatagombea baada ya kuongoza mapinduzi miaka minne…
Nchini Tanzania hali imeanza kurejea kawaida licha baadhi ya maeneo kuarifiwa hali bado ni ya kusuasua tangu kulipofanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 29.
Urusi imeshambulia miundombinu ya nishati nchini Ukraine huku Ukraine ikishambulia viwanda ndani ya Urusi
Serikali ya Tanzania imewaonya watu kutosambaza picha na video ambazo huenda zikasababisha hofu. Serikali imesema kufanya hivyo kutapelekea wao kukabiliwa na mashtaka ya uhaini.
Baraza la ulinzi linaloungwa mkono na jeshi la Sudan linatazamiwa kukutana leo ili kujadili pendekezo la kusitisha mapigano linaloungwa mkono na Marekani.
Israel imeikabidhi miili 45 ya Wapalestina siku moja baada ya wanamgambo wa Hamas kurejesha miili ya mateka watatu wa Israel kutoka Ukanda wa Gaza.
Mlinda lango mkongwe wa Bayern Munich, Manuel Neuer, amesema timu yake inafahamu pale pa kuiumiza Paris Saint Germain kuelekea mechi ya Ligi ya Vilabu Bingwa kati ya miamba hao wawili…
Serikali nchini Tanzania inakabiliwa na shinikizo linaloongezeka kufuatia mauaji yaliyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita+++Ujerumani na Ghana zinataka kuimarisha mahusiano yao zaidi kwa kuendesha mashauriano ya kisiasa…
Kulingana na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, Ankara haipo tayari kuona ugaidi kwenye eneo lake wala kwa majirani zake.
Samia Suluhu Hassan alitangazwa mshindi katika uchaguzi wa urais wa Tanzania na kupata muhula mwingine licha ya ghasia zilizoshuhudiwa nchini humu.
Katika taarifa yake ya Jumatatu Novemba 3, ujumbe wa SADC umeainisha baadhi ya changamoto walizokutana nazo wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, nchini Tanzania.
Nchi mbalimbali zinajitahidi kuwasilisha malengo mapya ya hali ya hewa kwa mwaka 2035. Hata hivyo, licha ya hatua zinazopigwa, bado kuna wasiwasi kwamba kasi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi…
Nchi mbalimbali zinajitahidi kuwasilisha malengo mapya ya hali ya hewa kwa mwaka 2035. Hata hivyo, licha ya hatua zinazopigwa, bado kuna wasiwasi kwamba kasi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi…
Mabingwa wa Ligi Kuu ya kandanda ya Ujerumani Bayern Munich, watakuwa na kibarua kigumu siku ya Jumanne watakapomenyana na mabingwa watetezi Paris Saint-Germain.
Afrika Kusini taifa lenye idadi kubwa zaidi duniani ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI limeingia kwenye orodha ya nchi za kwanza kunufaika na chanjo ya kuzuia maambukizi ya virusi…
Kenya iliwakilisha vyema kwa mbio za Marathon za New York Jumapili, wakati Benson Kipruto alipomaliza kwa muda wa saa mbili dakika nane na sekunde tisa kwa wanaume huku Hellen Obiri…
Kenya iliwakilisha vyema kwa mbio za Marathon za New York Jumapili, wakati Benson Kipruto alipomaliza kwa muda wa saa mbili dakika nane na sekunde tisa kwa wanaume huku Hellen Obiri…