RSF wakubali makubaliano ya amani ya kibinadamu
Wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces RSF nchini Sudan wamekubali pendekezo la kusitisha vita katika makubaliano ya kibinadamu yatakayotoa nafasi ya misaada kupelekwa katika maeneo inakohitajika.