Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Barcelona wataka kumsajili Marc Guehi
Barcelona wanamtaka Marc Guehi, Aston Villa wanataka kumjumuisha tena Emiliano Martinez, Manchester United wamweke Carlos Baleba kwenye orodha yao fupi na mustakabali wa wachezaji watatu wa Everton haujulikani. Source link