Mradi wa kidijitali uchunguzi saratani ya matiti waanza
Mradi huo unahusisha upigaji wa picha za matiti kwa kutumia ultrasound, uchunguzi wa chembe kwa...
Pantev aaga Gaborone njiani kutua Simba
Gaborone United imemuelezea Kocha Pantev kama mtu aliyeiletea maendeleo makubwa klabu hiyo na...
Bellingham atemwa England, Tuchel ataja sababu
Katika kikosi cha nyota 24 ambao Tuchel amewaita, jina la Bellingham halipo huku Tuchel akisema...
FIFA yazindua mpira wa Kombe la Dunia, sifa zake hadharani
Mpira huo unajulikana kwa jina la Adidas Trionda likimaanisha mawimbi matatu.
Taharuki yatanda wafanyakazi 216 kiwanda cha Chai Rungwe kufukuzwa kazi
Imeelezwa kuwa tangu kufungwa kwa kiwanda hicho Mei 9 mwaka huu, zaidi ya wakulima 15,000...
ACT Wazalendo kufuta leseni za wavuvi wakishinda uchaguzi
Mwanaisha Mdeme amewataka wananchi wa Kigamboni kumchagua ili akalete sauti yao bungeni na...
Bangi yamponza mtoto wa Mugabe, apandishwa kizimbani
Mtoto wa aliyewahi kuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare...
Simba yatoa kauli ishu ya kocha mpya
Ally amesema kuwa mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu mpya unaendelea hivyo mashabiki na wapenzi wa...
Elimu ya sheria kikwazo upatikanaji haki kwa wananchi
Ukosefu wa elimu ya masuala ya kisheria umetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia baadhi...
Mstaafu anapolazimika kuwa mganga wa kienyeji!
Huyu mstaafu alifanya kazi njema akiwa mwajiriwa kwa miaka 40 na hakusumbuliwa na maradhi...
Vyakula bora na hatari kwa afya ya uke
Kunywa maji mengi husaidia kudumisha unyevu ukeni. Pia, maji husaidia kuondoa sumu mwilini...
Jamii iwekeze kuutua mzigo wa magonjwa yasiyoambukiza
Ripoti ya WHO mwaka 2022 ilibaini kuwa ifikapo mwaka 2030, magonjwa yasiyoambukiza yatakuwa...
Siri iliyojificha utemaji wa mate
Kwa mtu mzima mwenye afya njema, mwili huzalisha kati ya nusu lita hadi lita moja na nusu ya...
HUSSEIN ALI MWINYI: Kuijaza Zanzibar shule za ghorofa na neema ya ajira
Rais akiwa madarakani anapoomba kuchaguliwa muhula wa pili, anachopaswa kwanza ni kueleza...
Moto waua watoto watatu Kibaha
Wakazi wa Mtaa wa Kitende Kwa Mfipa, Kibaha mkoani Pwani, wamegubikwa na simanzi baada ya...
Wawili kortini wakikabiliwa na mashtaka 57
Wafanyabiashara wawili Ibrahim Mohamed na Matei Joseph, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
Maswali saba kusuasua usafiri mwendokasi Dar
Ikiwa kuna jambo linaloshangaza jijini Dar es Salaam, basi ni wingi wa watu wanaohitaji huduma...
Wananchi Buhigwe waeleza matumaini yao baada ya kujengwa kwa ofisi ya Takukuru
Wananchi wa Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma wamesema kufunguliwa rasmi kwa ofisi ya Taasisi ya...
Miradi ya Sh4.15 trilioni inavyotimiza ndoto ya ‘kumtua ndoo kichwani’
Ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya ‘kumtua mama ndoo kichwani’ imekuwa alama ya mwelekeo mpya...
Chaumma yaahidi kuboresha usafiri, huduma za kijamii Dar
Kutokana na nafasi kubwa ya kiuchumi ya Jiji la Dar es Salaam, wingi wa watu na uwepo wa vitega...
CCM kurudisha mashamba ya Kili Flowers serikalini, kuingizwa BBT
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia...
Mgombea mwenza CCM aahidi watajenga meli kubwa ya mizigo Mtwara – Comoro
Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameahidi miradi...
Vyuo vikuu vitano vyaungana kukabiliana na mabadiliko tabianchi
Watafiti na wahadhiri kutoka vyuo vikuu vitano wamekutana mjini Morogoro kwa ajili ya kutafuta...
Hii hapa sababu kuteketea moto Soko la Kawe
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetaja chanzo cha moto ulioteketeza Soko la Kawe na hitilafu ya...
Wajasiriamali wahimizwa kutumia taasisi wezeshi
Wajasiriamali pamoja na wafanyabiashara wadogo mkoani Mara wametakiwa kutumia fursa za uwepo wa...
Mageuzi ya mifumo CRDB yanavyofungua fursa mpya
Dar es Salaam. Mageuzi ya mfumo mkuu wa kibenki ya CRDB yametajwa kuwa hatua kubwa ya kimkakati...
Vijana wapatiwa mafunzo ya kilimo biashara kujikwamua kiuchumi
Vijana takribani 83,000 kutoka mikoa saba nchini wamepewa mafunzo ya kuendesha kilimo biashara...
TRA yakusanya Sh8.97 trilioni kwa miezi mitatu
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya Sh8.97 trilioni kati ya Julai hadi...
Riba ya BoT kwa mabenki kubaki asilimia 5.75
Matokeo chanya yanayoonekana katika shughuli za kiuchumi yametajwa kuwa kichocheo cha kiwango...
Mwalimu aahidi kushusha kodi vifaa vya ujenzi
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi...
Dk Mwinyi: Msidanganyike kujitokeza siku ya kura ya mapema
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amewasihi...
Mfanyabiashara adaiwa kujinyonga Moshi, sababu yatajwa
Mfanyabiashara katika sekta ya utalii, Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai wilayani Moshi...
Tanzania yaanza afya kidijitali kuharakisha afya kwa wote
Maboresho mfumo utoaji leseni za madini kupunguza urasimu...
Maboresho mfumo utoaji leseni za madini kupunguza urasimu
Maboresho ya mfumo wa utoaji na usimamizi wa leseni za madini, yanatajwa kupunguza vitendo vya...
Dk Tulia aja na ahadi ya maboresho ya Tazara akitaja fursa muhimu kiuchumi
Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson amesema...