Beki Mzenji aziingiza nne vitani
WAKATI beki wa kati wa Coastal Union, Haroub Mohamed, akibakisha miezi sita katika mkataba wake na kikosi hicho cha jijini Tanga, tayari timu mbalimbali zimeanza kuiwinda saini yake zikiwamo za…
Hatma ya kiungo Mnigeria ipo kwa Maxime
UONGOZI wa Mbeya City huenda ukaachana na mpango wa kumtema kiungo Mnigeria, Paschal Onyedika Okoli katika dirisha dogo la Januari mwakani, baada ya awali nyota huyo kudaiwa hana furaha kutokana…
Noela avunja mkataba, sasa kutimkia Lithuania
BEKI kisiki wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Noela Luhala amevunja mkataba na klabu ya 1207 Antalya Spor ya Uturuki kwa makubaliano ya pande mbili na kwa sasa…
Malindi upepo umekata visiwani
ULE upepo mzuri ilioanza nao Malindi katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), umekata baada ya kucheza mechi saba mfululizo sawa na dakika 630 bila kuonja ushindi, huku ikielezwa tatizo ni kutimuliwa…
Azam FC yatua kwa Mkongomani
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa rasmi Januari Mosi, 2026, uongozi wa Azam unaangalia uwezekano wa kuipata saini ya beki wa kulia wa AS Vita Club, Mkongomani Henoc Lolendo…
Ndayiragije apewa faili la Nkane TRA United
MABOSI wa TRA United zamani Tabora United, wanaangalia uwezekano wa kumpata kwa mkopo nyota wa Yanga, Denis Nkane, baada ya mchezaji huyo anayecheza nafasi mbalimbali uwanjani kushindwa kupenya kikosi cha…
Blanco apeleka mabao Colombia
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Azam FC, Jhonier Blanco amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na timu ya Llaneros ya kwao Colombia, baada ya kutokuwa na timu yoyote tangu alipoachana na wanalambalamba aliowatumikia…
Wawili Ceasiaa kuiwahi Simba Queens
CEASIAA Queens imetaja sababu ya nyota wake wawili wa kigeni, Anita Adongo na Diana Cherono kutoonekana uwanjani huku changamoto ya vibali ikiwa mojawapo.
Kipigo cha 6-0 chailiza Bilo Queens
BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 6-0 kutoka kwa JKT Queens, kocha wa Bilo Queens, Ibrahim Humba, amesema ugeni wa Ligi Kuu na uzoefu mdogo wa mashindano ni kati ya…
Gaucho na rekodi tamu dhidi ya Yanga
MABAO aliyofunga juzi Ijumaa na mshambuliaji wa Tausi FC, Mwanahamis Omary ‘Gaucho’ yamemfanya mkongwe huyo kuwa na rekodi tamu ya mchezaji aliyeifunga Yanga Princess mabao mengi zaidi akifikisha 16 kwa…
Ramadhan Chomelo kutimkia Depsas Enerji
KUNA asilimia kubwa kwa kiungo mshambuliaji wa zamani wa Konya Amputee inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu Uturuki, Ramadhan Chomelo akatimkia Depsas Enerji ya nchini humo.
Mtanzania mwingine atimka Dispas
WINGA Mtanzania, Kassim Mbarouk aliyeitumikia Sauti Parasports amejiunga na Dispas SC ya Uturuki kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Chama la kina Lunyamila linakwama hapa
CHAMA la Watanzania wawili, Julietha Singano na Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ wanaokipiga FC Juarez inayoshiriki Ligi ya Wanawake Mexico bado lina changamoto kwenye eneo la ushambuliaji.
Mabula atamani rekodi mpya Azerbaijan
KIUNGO wa Shamakhi FC inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijan, Alphonce Mabula amesema anatamani kuvunja rekodi yake binafsi ya msimu uliopita baada ya kufikisha mabao matatu na asisti tatu alizochangia 2024-25.
Hersi kushiriki kongamano la FIFA, Qatar leo
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), limemchagua Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA), Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa wataalam watakaofundisha…
TFF yazipiga rungu Tausi, Bunda Queens kwa kushindwa kufika uwanjani
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa adhabu ya kuwapokonya pointi tatu klabu za Bunda Queens na Tausi baada ya kushindwa kufika uwanjani kwenye mechi za kwanza za Ligi…
Maximo atoa ya moyoni
ALIYEKUWA Kocha wa KMC, Mbrazil Marcio Maximo amesema hajutii uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa timu hiyo wa kusitisha mkataba wake kutokana na mwenendo mbovu wao katika Ligi Kuu Bara msimu…
Singida yaingia mazima kwa Lanso
BAADA ya Singida Black Stars kumrudisha Joseph Guede aliyekuwa anaichezea Al-Wehdat SC ya Jordan kwa mkopo, kwa sasa inaelezwa mabosi wa kikosi hicho wamemalizana na beki wa kulia wa KMC,…
Mbeya City yarudi kwa kiungo wa Yanga
BAADA ya mabosi wa Mbeya City kumkosa kiungo wa Yanga, Farid Mussa dirisha kubwa la usajili lililopita, kwa sasa vigogo hao wamerudi upya kuihitaji saini yake, ikiwa ni harakati za…
Mrundi aziingiza vitani Pamba Jiji, TRA United
LICHA ya beki wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi kubakisha mkataba wa miezi sita na kikosi hicho, ila timu mbalimbali zimeanza kuiwinda saini yake dirisha dogo la Januari…
Chico Ushindi afariki dunia, kigogo athibitisha
TAARIFA mbaya kwa klabu Yanga ni kwamba, kiungo wao wa zamani Chico Ushindi amefariki dunia leo Desemba 13, 2025 akiwa kwao DR Congo.
Simba, Yanga kukutana Mapinduzi Cup 2026, bingwa kulamba Sh150 milioni
KLABU nane zitashiriki Kombe la Mapinduzi 2026, baada ya msimu uliopita mashindano hayo kushirikisha timu za taifa na Zanzibar Heroes kuwa bingwa ilipoichapa Burkina Faso mabao 2-1, kwenye Uwanja wa…
Mwalimu achukua nafasi ya Sopu AFCON
WAKATI kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kikiendelea na maandalizi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025), kocha mkuu wa kikosi hicho, Miguel Gamondi…
Wagosi wa Kaya waitana kujadili ripoti ya kocha
MABOSI wa Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ wanatarajia kufanya kikao keshokutwa Jumatatu pamoja na kocha mkuu wa timu hiyo, Mohammed Muya kwa nia ya kujadili ripoti ya usajili unaotarajiwa kufunguliwa…
Winga Stand Utd aibebesha zigo TFF
KIUNGO mshambuliaji wa Stand United ya Shinyanga, Raymond Masota amelibebesha mzigo Shirikisho la Soka nchini (TFF) kukomalia programu za kuandaa wachezaji chipukizi (TDS) ili kusaidia kutibu changamoto ya muda mrefu…
Pamba Jiji yataka mashine moja tu dirisha dogo
PAMBA Jiji kwa sasa ipo katika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, lakini hiyo haina maana kama benchi la ufundi la timu hiyo limeridhika, kwani limesema lipo…
Brayson: Mbinu zimetubeba JKT Tanzania
BEKI wa JKT Tanzania, David Bryson amekimwagia sifa kikosi cha timu hiyo kilichoanza kwa kasi kubwa msimu huu katika Ligi Kuu, huku akifichua kilichowabeba ni mbinu za kocha Ahmad Ally…
Kivumbi kesho, daraja la kwanza Ligi ya Kikapu Dar
KESHO ni vita katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam kati ya timu ya Veins BC na Dar Kings.