Ligi Kuu Bara kuanza Agosti 14
WAKATI ikisubiriwa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2026-2027 itangazwe ili kila timu ifahamu inaanzia wapi, taarifa kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) zinasema ligi hiyo…
WAKATI ikisubiriwa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2026-2027 itangazwe ili kila timu ifahamu inaanzia wapi, taarifa kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) zinasema ligi hiyo…
KIUNGO wa zwa Singida Black Stars, Khalid Aucho, baada ya kumaliza mkataba wake, imeelezwa amepata ofa kutoka timu mbili za Kenya.
AZAM FC inaendelea kuboresha kikosi kimya kimya kwa ajili ya msimu ujao na sasa imetua Ubelgiji kuinasa saini ya beki wa kati, Henri Braham Stanic anayecheza Stellenbosch FC ya Afrika…
AZAM inahaha kumrudisha kundini mshambuliaji wake, Jephte Kitambala ambaye amebakiza hatua chache kumalizana na Singida Black Stars iliyomchukua kwa jeuri ya fedha.
AZAM inahaha kumrudisha kundini mshambuliaji wake, Jephte Kitambala ambaye amebakiza hatua chache kumalizana na Singida Black Stars iliyomchukua kwa jeuri ya fedha.
KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima, anatarajiwa kuhusika katika uchezeshaji wa droo ya michuano Kagame inayotarajiwa kufanyika Ijumaa ya Julai…
ALIYEKUWA beki wa kulia wa Mtibwa Sugar, Datius Peter, amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Geita Gold, baada ya kikosi hicho alichokitumikia misimu miwili kushuka daraja kutoka Ligi Kuu Bara…
TIMU ya Wembe iliyopanda daraja kushiriki Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2026-2027, ipo katika mazungumzo na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohamed 'Mani Gamera' kwa lengo la kuinoa timu…
Recent enforcement actions against derivatives platforms for inadequate risk controls highlight a reality most beginners overlook: leverage trading risk management isn't optional — it's structural. Leverage amplifies gains and losses…
MABIGWA wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu wa 2025-2026, KVZ, imeanza mazoezi rasmi ya kujinoa kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup 2026).
NAHODHA na mshambuliaji tegemeo wa timu ya taifa ya Tanzania maarufu Taifa Stars, Mbwana Samatta, ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu hiyo baada ya kuitumikia kwa takribani miaka 15.
BARABARA zinazoelekea katika Mji wa AFCON uliopo Fumba, zinatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu kwani mradi huo unategemewa kufungua fursa za kiuchumi kisiwani hapa.
WAKATI Leonard Thadeo akivunja ukimya baada ya kutangazwa kuwa rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Anthony Mtaka amesema anasubiri ripoti ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC).
BAADA ya beki wa kati wa Namungo FC, Hussein Kazi kuweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyecheza dakika nyingi za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025-2026, amezungumzia kitu kikubwa alichojifunza…
KIUNGO mshambuliaji wa Coastal Union, Bakari Selemani Msimu, amesema Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025-2026, ilikuwa bora na imemjenga kiushindani.
UONGOZI wa Azam FC, uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa winga raia wa Uganda, Hassan Mubiru kutokea SC Villa ya Uganda, baada ya nyota huyo kuridhia kujiunga…
UONGOZI wa Dodoma Jiji unatarajia kuanza mazungumzo mapya hivi karibuni na kocha mkuu wa kikosi hicho, Amani Josiah kwa ajili ya kuongeza mkataba, baada ya ule wa awali kukaribia kufikia…
BAADA ya kubeba ubingwa wa Iber Cup nchini Ureno, Kocha wa TDS Akademi, Adam Mubesh amesema ushindani walioupata kwenye mashindano hayo umewapa wachezaji nafasi ya kujifunza mitindo mbalimbali ya kiuchezaji.
STAA wa zamani wa Simba, Meddie Kagere, amesema klabu hiyo imeanza kurejea katika mstari wa kunyakua mataji, lakini inabidi isajili wachezaji wengine wa kuongeza nguvu msimu ujao wa 2026-2027.
Mabao ya Said Naushad na Hijja Shamte yametosha kuiweka mazingira mazuri Mbeya City kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa mtoano 'Play Off' mkondo wa kwanza…
RAIS wa Heshima wa Simba na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji 'Mo', amesema mafanikio ya kutwaa Kombe la CRDB yanapaswa kuwa chachu ya kuipeleka timu hiyo kwenye mafanikio makubwa…
OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally, amefichua kuwa basi lao jipya la kisasa aina ya Iriza lililozinduliwa rasmi leo wakati wa paredi ya ubingwa wa Kombe la CRDB, limegharimu Sh1.5…
NAHODHA wa Simba, Shomary Kapombe amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa kujitokeza kwa wingi leo Jumapili katika paredi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB, huku akisema sapoti hiyo…
MSHAMBULIAJI wa Malaysia FC, Said Khamis Jr, amesema malengo yake msimu wa 2026-2027 ni kufunga zaidi ya mabao 20 na kuweka rekodi mpya ya ufungaji bora.
BEKI wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Julietha Singano, yupo mbioni kujiunga na Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia kutokana na kiwango chake alichokionyesha akiwa Mexico.
Summary. , Mwananchi imakongoro@tz.nationmedia.com Dar es Salaam. Hali ya sintofahamu imeibuka kwenye uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) baada ya mwenyekiti wa uchaguzi kutangaza matokeo yaliyogomewa na wajumbe. Awali…
TANZANIA imeendelea kuwa moja ya nchi zinazotajwa kuwa na vipaji vikubwa vya soka baada ya nyota wake kusajiliwa timu mbalimbali za Ulaya.
DAKIKA 40 tu zimetosha kubadilisha hali ya hewa ya Jangwani jijini Dar es Salaam, baada ya Simba kufanya paredi la kusherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB ambapo msafara…
MAELFU ya mashabiki wa Simba wamefurika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam wakisubiri kwa hamu kuwasili kwa msafara wa timu hio unaosherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB,…
JIJI la Dar es Salaam limegeuka kuwa jekundu na jeupe baada ya maelfu ya mashabiki wa Simba kufurika katika mitaa mbalimbali kushuhudia paredi ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho…
SHABIKI mmoja wa Simba amekuwa kivutio katika eneo la Karume wakati msafara wa timu hiyo wa kusherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB ukisubiriwa kupita, baada ya kufanya vitendo…
WAKATI msafara wa Simba wa kusherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB ukiendelea katika mitaa mbalimbali ya Dar es Salaam, bado haijajulikana utakavyopita eneo la Jangwani baada ya njia…
SHANGWE za paredi la ubingwa wa Simba zilivurugwa kwa dakika chache baada ya kiungo wa timu hiyo, Elie Mpanzu, kunusurika kuibiwa simu yake ya mkononi katika tukio lililotokea wakati wa…
WAO si walipanda fuso? Ndilo lilikuwa swali lililotawala midomoni mwa maelfu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kuipokea timu hiyo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar…
BAADA ya kusubiri kwa miaka minne hatimaye Simba imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kuichapa Azam kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba Zanzibar.
LICHA ya kushindwa kutwaa Tuzo ya Ufungaji Bora katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025-2026, straika wa Namungo, Fabrice Ngoy amesema kwake ni mafanikio kuvuka rekodi ya mabao ya…
STRAIKA wa Dodoma Jiji, William Edgar, anafanya mazungumzo na Azam FC ili kufanya naye kazi msimu ujao wa 2026-2027 wakiamini anaweza akawa na mchango katika kikosi chao.
VITA ya kuisaka tiketi ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2026-2027, inaendelea tena leo kwa mechi ya pili ya Play-Off, kati ya maafande wa kikosi cha Polisi Tanzania dhidi…
CHAMA cha Gofu cha Wanawake Tanzania (TLGU), juzi kilizindua rasmi Dira ya Rais pamoja na Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2026-2030), huku kikitangaza mashindano ya The Lady President’s Golf Cup…
KLABU za Namungo FC, JKT Tanzania, Kagera Sugar na Dodoma Jiji zimeanza kumfuatilia kipa wa Mtibwa Sugar, Toba Kutisha kwa ajili ya kupata saini yake, baada ya nyota huyo kudaiwa…
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema moja ya ahadi kubwa iliyobaki kuitimiza katika klabu hiyo ni kukamilisha ujenzi wa uwanja katika eneo la Twiga na Jangwani, jijini Dar es…
NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Ali Abdulgulam Hussein, amesema gharama za kutumia viwanja vya michezo vinavyojengwa nchini ni miongoni mwa changamoto zinazowakwamisha vijana kunufaika na miundombinu…
BAADA ya kumalizika kwa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026, kati ya mambo yaliyoitikisa ligi hiyo ni upangaji wa matokeo jambo ambalo limeonekana kuichafua ligi hiyo.
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said ameibua shangwe katika mitaa ya Msimbazi wakati timu hiyo ikiendelea na paredi la ubingwa wa Ligi Kuu Bara iliochukua kwa mara ya tano mfululizo.