Samia akutana na Taifa Stars Dar
RAIS Samia Saluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kwa kufika 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), inayoendelea huko Morocco.
Rais Samia akutana na Taifa Stars Dar
RAIS Samia Saluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kwa kufika 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), inayoendelea huko Morocco.
Simba, Pamba wana jambo lao Mwanza
KESHOKUTWA kitawaka katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza ambapo mashabiki wa Simba na Pamba Jiji watapomenyana katika mchezo wa kirafiki ikiwa ni sehemu ya kunogesha sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Mtunisia Azam anukia Irak
KLABU ya Azam huenda ikaachana na winga Mtunisia Baraket Hmidi, baada ya mchezaji huyo kushindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkongomani Florent Ibenge tangu asajiliwe.
Tanzania Prisons yampigia hesabu Lyanga
MAAFANDE wa Tanzania Prisons wameanza mazungumzo na Singida Black Stars kwa ajili ya kupata saini ya Ayoub Lyanga kwa mkopo katika dirisha hili dogo la usajili ikiwa ni pendekezo la…
TRA yapiga hodi ikimtaka Mzamiru Simba
BAADA ya kuinasa saini ya Denis Nkane kutoka Yanga, TRA United imehamia Simba ikiwinda saini ya mkongwe Mzamiru Yassin ili kuongeza nguvu eneo la kiungo.
Lameck Kanyong ala kiapo Mashujaa
LICHA ya kukabiliana na ushindani mkali wa namba katika kikosi cha Mashujaa FC, kipa Lameck Kanyonga bado ana imani atapata nafasi ya kucheza na hawezi kuikimbia changamoto hiyo.
Rhino Rangers wanaitaka Championship
KUSHINDA mechi zote tatu za First League siyo bahati mbaya kwa maafande wa Rhino Rangers ya Tabora, kwani wamedhamiria kufanya vizuri na kupanda daraja kwenda Ligi ya Championship msimu huu.
Ukuta wa Singida unavuja, kocha atia neno
SINGIDA Black Stars imeondoshwa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku safu yao ya ulinzi ikionekana kutokuwa imara katika kujilinda.
Wachezaji watatu Azam watengwa
WAKATI bingwa wa kihistoria wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC ikijiandaa kuikabili Yanga katika fainali ya michuano hiyo, kuna nyota watatu wametengwa kwa kupewa programu maalumu.
Yanga yaichapa Singida BS, yaifuata Azam fainali Mapinduzi
YANGA imefuzu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 baada ya kuifunga Singida Black Stars bao 1-0 katika mechi ya nusu fainali iliyochezwa leo Januari 9, 2026 kwenye Uwanja wa New…
Naby Camara amebeba zote
MCHEZAJI mwenye uwezo wa kucheza safu nzima ya ulinzi na kiungo, Naby Camara amefanya kitu cha kipekee kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayokwenda kukamilika Januari 13, 2026 kwa…
Wawili Yanga watupwa nje, Mudathir arejea kikosini
JANA usiku Yanga ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya nusu fainali katika Kombe la Mapinduzi 2026 dhidi ya Singida Black Stars, huku taarifa njema zikiwa ni kurejea kwa kiungo Mudathir Yahya.
Duchu, Jusa na rekodi Mapinduzi
WAKATI tukisubiri kushuhudia fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 ipigwe Januari 13, 2026 pale Gombani kisiwani Pemba baada ya jana usiku kuchezwa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na…
Watano kuipa mzuka Bunda Queens
KOCHA Mkuu wa Bunda Queens, Alley Ibrahim amesema ili kukiongezea nguvu kikosi chao kwenye Ligi Kuu ya Wanawake, watawapandisha wachezaji wao watano kutoka kwenye kituo chao cha kukuza vipaji vya…
Geita Gold ugenini safi, nyumbani mmh!
GEITA Gold ni timu tishio msimu huu kwenye Ligi ya Championship ikiwa kileleni katika mbio za kupanda daraja, lakini licha ya makali yake hayo, uwanja wa nyumbani Nyankumbu umekuwa ukiwapa…
Kiungo Simba atua Mbeya City
KIUNGO wa Simba aliyekuwa anacheza kwa mkopo Mashujaa, Omary Omary amekamilisha usajili wa mkopo wa miezi sita kuitumikia Mbeya City.
Nyota Azam FC huyoo Namungo
UONGOZI wa Namungo uko katika hatua za mwisho za kuipata saini ya beki wa kati wa Azam FC, Ali Hassan Chamulungu kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu, baada ya…
Simba v JKT Queens hakuna mbabe WPL
HATIMAYE mechi ya malkia wawili, JKT Queens na Simba Queens imemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam. Mechi hiyo ya raundi ya saba…
Ngoja tuone!
WATU wanajiuliza itakuwaje mechi ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo Ijumaa katika nusu fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi 2026 itakayochezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa…
Yanga vs Singida BS utamu upo hapa
WATU wanajiuliza itakuwaje mechi ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo Ijumaa katika nusu fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi 2026 itakayochezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa…
Dili zikitiki Tanzania Prisons kazi mnayo!
VIONGOZI wa timu ya Tanzania Prisons wanaendelea na vikao vya tathmini mkoani Dodoma, ili kupata picha ya kipi wakifanye katika usajili wa dirisha dogo litakalofungwa Januari 30, lakini kama michongo…
Vaibu la mapokezi ya Taifa Stars
KULIKUWA na vaibu la aina yake jana wakati wa tukio la kuwasili kwa kikosi cha Taifa Stars kilichorejea kikitokea nchini Morocco lilikoenda kushiriki Fainali za 35 za Kombe la Mataifa…
Mapinduzi Cup yaiamsha ZFF
OFISA Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Mohamed Kabwanga, amesema kilichotokea katika maandalizi ya Kombe la Mapinduzi 2026, kimewapa chachu ya kuboresha Ligi Kuu Zanzibar.
Shauri atamani kuvunja rekodi binafsi riadha
MWANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Magdalena Shauri amesema anataka kuvunja rekodi yake ya taifa ya marathoni kwa wanawake akilenga kukimbia chini ya saa 2:18 katika mashindano yajayo ya kimataifa.
KMC yakomba noti usajili wa Pipino
KMC imeingiza zaidi ya Sh70 milioni baada ya aliyekuwa kiungo wa kikosi hicho, Ahmed Bakari Pipino kuvunja mkataba wa miaka miwili uliobaki, huku akikamilisha taratibu za kujiunga na Singida Black…
Yanga Princess yaiadhibu Mashujaa Queens WPL
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imeendelea leo zikipigwa mechi tano ikiwemo ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa ambapo Wananchi hao waliondoka na ushindi wa mabao 4-1 Uwanja wa Azam Complex…
Mboni; Mshambuliaji aliyepewa maujanja Simba, akaja kuitungua Mapinduzi
SIMBA katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayofanyika Zanzibar, ilianza hatua ya makundi na clean sheet ikishinda 1-0 dhidi ya Muembe Makumbi City, lakini ikajikuta ikishindwa kulinda lango lake…
Mzizima Derby… Mechi ya kisasi
UMEPITA mwezi mmoja tu tangu ilipopigiwa Dabi ya Mzizima Ligi Kuu Bara, ambapo ilishuhudiwa Simba ikipasuliwa kwa mabao 2-0 na Azam FC.
Said Zanda atua JKT Tanzania
UONGOZI wa JKT Tanzania uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji nyota Said Zanda ‘Ronaldo’ kutoka Bigman inayoshiriki Ligi ya Championship baada ya pande mbili kufikia makubaliano.
Azam yajifungia na mashine
AZAM FC ipo katika mazungumzo na mshambuliaji Ben Malango ambaye kocha Florence Ibenge anatamani uzoefu wake uongeze nguvu ndani ya timu.
JKT Queens, Simba Queens kazi ipo WPL
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
JKT, Simba kazi ipo WPL
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
Yanga yaichapa TRA, yaifuata Singida BS nusu fainali Mapinduzi
YANGA imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TRA United katika mechi ya kuhitimisha hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026.
Stars kutua kesho baada ya kuweka historia
TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ leo Jumatano inatarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA), Dar es Salaam ikirejea nyumbani baada ya kuweka historia katika…