Pamba Jiji yazoa beki Namungo
PAMBA Jiji imeshamalizana na beki wa kushoto wa Namungo, Salehe Machupa, huku klabu hiyo ikimpa baraka zote.
Serengeti Boys gumzo AFCON
TAKWIMU za fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 (AFCON U17) zinazoendelea huko Morocco, ni uthibitisho wa ubora wa kitimu na mchezaji mmoja ambao…
Tegisi atamani kucheza na Fei Toto Azam FC
STRAIKA wa Pamba Jiji, Methaw Tegisi amesema moja ya ndoto zake katika soka la kulipwa nchini ni kuitumikia Azam, huku akibainisha anatamani kucheza sambamba na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’…
Seif Karihe afichua jambo Mashujaa
NYOTA wa Mashujaa, Seif Karihe amekiri kukutana na ugumu wa ligi msimu huu akitoa matumaini kwa mechi tano zilizobaki kufufuka, huku akisisitiza timu hiyo kutoshuka daraja.
Ratiba yamuibua kocha Muembe Makumbi
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi, Sheha Khamis, amesema ushindani wa msimu huu umekuwa mgumu zaidi ikilinganishwa na misimu iliyopita.
Malindi yahitaji miujiza kubaki ZPL
HALI iliyonayo Malindi hivi sasa inahitaji maombi kuona inasalia Ligi Kuu Zanzibar kutokana na kupoteza mechi mbili za karibuni dhidi ya Polisi (3-0) na Muembe Makumbi (3-1).
KVZ imepania kutoshuka kileleni ZPL
BAADA ya KVZ kushinda bao 1-0 dhidi ya Uhamiaji, kocha mkuu wa timu hiyo, Hababuu Ali, amesema watahakikisha hawashuki kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) hadi kumalizika msimu…
Dili iliyokufa – 4
““LINALETA ubishi. Tutakunyoosha, ondoa mikono yako” Nikaondoa mikono kwenye uso. “Naomba msinipige, Mimi ni mgeni” Nikawambia kwa sauti ya kusihi. “Tena linanuka pombe, linajifanya ni mgeni” “Ni mgeni kweli, nilikuja…
Ule utamu wa Championship sasa umefikia pazuri
UHONDO wa Ligi ya Championship umefikia hatua nzuri kwa sasa, ambapo leo Jumamosi itashuhudiwa mechi zote nane zikipigwa za raundi ya 27, huku ushindani ukiongezeka kwa timu zinazopigania kupanda Ligi…
Nani kuungana na Yanga, Simba CAF
Wakati Ligi Kuu ikiwa katika mapumziko ya wiki mbili kupisha michezo ya kalenda ya Fifa na timu za Taifa, hadi Yanga na Simba zimefuzu kushiriki mashindano ya CAF, lakini bado…
Azam yamwita mezani Himid Mao
MATAJIRI wa Chamazi, Azam FC wameanza mazungumzo na kiungo wao mkabaji Himid Mao kwa lengo la kuongezea mkataba baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa Simba wanyatia huduma yake.
Watatu waingia rada za Singida Black Stars
MABOSI wa Singida Black Stars wameanza mchakato wa kimya kimya wa kukisuka kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, ambapo kwa sasa inaangalia uwezekano wa kusajili wachezaji watatu wazawa, kwa…
Dili iliyokufa – 3
Jambo la ajabu lililotokea ni kuwa wakati yule dereva wa teksi anaiwasha ile teksi ili tuondoke kwenda katika hoteli nyingine ambayo hata sikujua iko wapi, fahamu zangu nazo zikazimika hapohapo.…
Wadau kikapu waipongeza Dar City
Dar City imetupwa nje katika robo fainali ya Kikapu Afrika (BAL) Play off, baada ya kufungwa jumla ya pointi 165-157 na Petro De Luanda ya Angola katika mechi mbili za…
Serengeti Boys kusaka fainali AFCON U17
TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ itaweka rekodi mbili ikiwa itapata ushindi katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa…
Mgunda akiri presha matokeo mabovu
KOCHA wa Namungo FC, Juma Mgunda amesema matokeo ambayo wamekuwa wakiyapata yamewaweka kwenye presha kubwa kutokana na kushindwa kufanya vizuri katika mechi za Ligi Kuu Bara.
Fei Toto ateseka na majeraha aking’ara Azam
NYUMA ya kile anachokifanya Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika kufunga mabao na kuasisti ndani ya Ligi Kuu Bara, hivi sasa kuna maumivu anakabiliana nayo lakini hana budi kuipambania timu kufikia…
Pointi za Simba zamliza beki Dodoma
BEKI wa Dodoma Jiji, Andy Bikoko, ameonekana kuhuzunishwa vikali jinsi kikosi hicho kilivyopoteza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kwa kufungwa bao 1-0.
Fikiri apania heshima Coastal
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Fikiri Elias amesema licha ya mwanzo wake mzuri na kikosi hicho tangu alipojiunga nacho, kwa sasa sio muda wa kuangalia suala la mkataba mpya, bali…
Ibenge anahesabu nne tu Azam
HESABU za kocha wa Azam FC, Florent Ibenge ni kukusanya alama nne kuanzia sasa akibakisha mechi tano za Ligi Kuu Bara kwani anaamini zinamtosha kukata tiketi ya kushiriki mashindano ya…
Singida BS ilivyoipitisha tanuru la moto Mbeya City
PAMOJA na kubaki na pointi tatu nyumbani, Singida Black Stars imeweka rekodi na historia kwa Mbeya City kwa kuvuna mabao 13 katika michezo mitatu waliyokutana msimu huu.
Prisons yakusanya ‘kijiji’ kubaki salama Ligi Kuu
USHINDI wa mabao 3-2 walioupata Tanzania Prisons dhidi ya Pamba Jiji umeonekana kuwapa matumaini na nguvu mpya wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki wa timu hiyo, wakitamba kuwa haijaisha hadi…
Dili iliyokufa -2
Tulipokubaliana na afisa huyo ndipo tukaenda katika ukumbi ilikoandaliwa sherehe ya kukabidhiwa hundi yangu. Hapo watu walikunywa soda na keki na kucheza mziki kidogo kisha nikakabidhiwa hile hundi. Baadaye nikapeana…
Dili iliyokufa – 1
Ullikuwa mwaka 1980. Wakati huo nilikuwa bado mshamba ninayeishi kijijini. Nilikuwa ninaishi katika kijiji cha Kibanda kilichoko wilaya ya Muheza, mkoa wa Tanga.
Singida yaichelewesha KMC kushuka ikiichapa Mbeya City
SINGIDA Black Stars imefanikiwa kulinda heshima yake nyumbani, ikitoa kipigo kikali cha mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Mei 25, 2026 kwenye…
Nyota Fountain Gate ataja yanayowabeba Ligi Kuu
WAKATI mashabiki na wadau wa soka nchini wakishangaa na matokeo waliyonayo hivi sasa Fountain Gate na kiwango bora cha wachezaji, kiungo wa timu hiyo, Ismail Aziz Kader ameeleza sababu za…
Mwajanga aipa Prisons pointi tatu, Pamba Jiji ikiloa Kirumba
BAO la dakika ya 90+4 la mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Oscar Mwajanga, limetosha kuipa timu hiyo ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Pamba Jiji, katika mechi ya Ligi Kuu Bara…
Dodoma Jiji imewashikia hapa vigogo
KOCHA wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amesema anapokutana na klabu zenye viwango vya juu kama Simba na Yanga, benchi la ufundi linakuwa limefanya uchambuzi wa kina kujua ubora na udhaifu…
Paul Peter anogewa kutupia Ligi Kuu
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Paul Peter amefanikiwa kufikia idadi ya mabao aliyofunga msimu uliopita ndani ya Ligi Kuu Bara na sasa ni kama amenogewa kufunga huku akisema anataka kuzitikisa nyavu…
Risasi yaanza vizuri ligi ya kikapu Shinyanga
RISASI imeendeleza ubabe wake kwa Kahama Sixers baada ya kuifunga pointi 87-60, katika Ligi ya kikapu ya Mkoa wa Shinyanga, kwenye Uwanja wa Risasi.
JKT yazinduka BDL
JKT imezinduka katika Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL), baada ya kuifunga Veins BC kwa pointi 57-56 kwenye Uwanja wa Donbosco, Upanga.
Baada ya kichapo, Reel Dream yarudisha mzuka
BAADA ya Reel Dream kuifunga Ukonga Queens kwa pointi 70-54, katika Ligi ya kikapu Dar es Salaam (WBDL), nyota wa timu hiyo Maria Boniventura amesema ushindi wao huo umerejesha morali…
Jesca anaendelea alipoishia WBDL
NYOTA wa JKT Stars, Jesca Ngisaise ameendelea kudhihirisha ubora wake wa kutupia, baada ya kufunga pointi 94 katika mechi mbili za Ligi ya kikapu Dar es Salaam kwa Wanawake (WBDL).
Timu za taifa zapigwa tafu miaka miwili
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya usambazaji vinywaji baridi, Watercom kwa ajili ya timu zote za Taifa.
Azam FC, Simba katika vita nyingine kwa Chilambo
UKIACHANA na vita iliyopo ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara, imeibuka nyingine ikizihusu Azam na Simba juu ya kuipata saini ya beki wa kulia, Nathaniel Chilambo ambaye mkataba wake…
Uhamiaji mechi 6 bila ushindi zamuibua kocha
UHAMIAJI ni miongoni mwa timu zilizoanza msimu wa 2025-2026 kwa kasi zaidi lakini upepo umegeuka ghafla baada ya kucheza mechi sita bila ushindi, huku kocha wa kikosi hicho, Abdul Saleh…
Ratiba Ligi Kuu Zanzibar yapanguliwa
KAMATI ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar, imefanya mabadiliko madogo ya ratiba ya ligi hiyo kwa sababu ya kupisha Sikukuu ya Eid El Hajj.