Bocco aanza kazi rasmi Simba
SIKU chache baada ya Mwanaspoti kuripoti kuwa John Bocco atarejea Simba, nyota huyo tayari ametambulishwa na kuanza rasmi kazi ya kocha wa timu ya vijana wa timu hiyo, ikielezwa amewekwa…
SIKU chache baada ya Mwanaspoti kuripoti kuwa John Bocco atarejea Simba, nyota huyo tayari ametambulishwa na kuanza rasmi kazi ya kocha wa timu ya vijana wa timu hiyo, ikielezwa amewekwa…
BAADA ya Mwanaspoti kuripoti taarifa kwamba mshambuliaji Abdallah Idd ‘Pina’ alikuwa ameachana na Pamba Jiji aliyoitumikia kwa miezi sita na kurejesha majeshi yake Zanzibar kujiunga na Muembe Makumbi, nyota huyo…
KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kuachana na beki wa kati wa kikosi hicho, Mghana Daniel Amoah, baada ya kudaiwa benchi la ufundi la kikosi hicho haliko…
LICHA ya maafande wa Mashujaa kuachana na beki wa kati, Abdulmalik Zakaria aliyejiunga Singida Black Stars, uongozi wa kikosi hicho umeweka wazi kuondoka kwa mchezaji huyo si pengo tofauti na…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji, Waziri Junior anatarajiwa kuanza kuitumikia timu hiyo kupitia dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari Mosi, 2026 baada ya awali nyota huyo kwenda kucheza soka…
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa Alhamisi mabosi wa Fountain Gate wameanza mazungumzo ya kupata saini ya mshambuliaji nyota wa kikosi cha Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi ya Championship, Boniface…
BAADA jana Jumapili michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kufunguliwa kwa kuchezwa mechi moja tu kati ya Mlandege na Singida Black Stars, leo Jumatatu zinapigwa mbili ikiwamo ile ya wageni…
TIMU ya Kagera Sugar imeweka rekodi mpya katika Ligi ya Championship msimu huu, baada ya kikosi hicho kinachonolewa na Juma Kaseja kushinda mechi tisa mfululizo, ikifuatiwa na Geita Gold na…
KLABU ya Stand United 'Chama la Wana', imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Idd Nassor 'Cheche', ikiwa ni baada ya kuiongoza timu…
KOCHA Mkuu wa Gunners ya jijini Dodoma, Juma Ikaba, amesema kwa sasa wanapambana kuwaingiza wachezaji wapya tisa katika mfumo pindi dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari Mosi 2026, baada ya…
BEKI wa kati wa Geita Gold, Ally Ally, amesema ubora na upana wa kikosi hicho ndio sababu ya kufanya vizuri msimu huu, licha ya kukiri ushindani umekuwa mkubwa, kutokana na…
WAANDAAJI wa mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2026, wameitangaza Benki ya NMB kuwa mdhamini mkuu kwa kipindi cha miaka mitano, huku Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikipongeza.
WAKATI leo Desemba 28, 2025 michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inafunguliwa kwenye Uwanja wa New Aman Complex uliopo Unguja, itapigwa mechi moja pekee badala ya mbili kama ilivyopangwa awali,…
Ukweli unaonekana wazi katika ulimwengu wa michezo Tanzania: mashabiki wa mpira wanaendelea kugundua jackpot za casino. Ni maendeleo ya kawaida mashabiki wanaobeti mechi za Simba SC dhidi ya Young Africans…
KWA namna waandaaji wa Kombe la Mapinduzi 2026 walivyopanga ratiba ya ufunguzi ni wazi waliangalia mambo mawili.
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema hautakurupuka kufanya usajili katika dirisha dogo, lakini moja ya nafasi zitakazofanyiwa kazi ni eneo la ushambuliaji ukilenga kushusha straika mmoja wa kimataifa anayejua kufunga mabao…
KMC inayoburuza mkia Ligi Kuu Bara inadaiwa ipo katika mawindo ya kumnasa winga wa zamani wa Fountain Gate, Mghana Nicholas Gyan kupitia dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Januari Mosi…
MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Abdallah Idd ‘Pina’ amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Muembe Makumbi City ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), baada ya kushindwa kuwika Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi…
HAKUNA kingine kinachohitajika kwa Taifa Stars leo ila ni ushindi tu. Kila Mtanzania bila kujali imani yake, anapaswa kuomba dua njema ili Stars itoboe mbele ya Uganda The Cranes.
MSIMU mpya wa michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2026 inatarajiwa kuanza kesho Jumapili kwa klabu 10 ikiwamo Mlandege zitaanza mshikeshike wa wiki kama mbili kusaka taji hilo.
BAADA ya jana kupigwa mechi mbili za raundi ya 12 za Ligi ya Championship, msako mwingine wa kuwania pointi tatu muhimu unaendelea leo Jumamosi na kesho Jumapili, huku ushindani kwa…
ULE msimu wa raha kutoka visiwa vya marashi ya karafuu sasa umefika, mashabiki, wapenzi na wadau wa soka ndani na nje ya Zanzibar wamekaa mkao wa kula wakisubiria kushuhudia burudani…
ULE msimu wa raha kutoka visiwa vya marashi ya karafuu sasa umefika, mashabiki, wapenzi na wadau wa soka ndani na nje ya Zanzibar wamekaa mkao wa kula wakisubiria kushuhudia burudani…
MSIMU wa 20 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi unatarajiwa kuanza rasmi kesho wakati timu za Kundi A zitakazopokuwa zikikata utepe wa mwaka 2026 katika msako wa taji la michuano…
UONGOZI wa Fountain Gate uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji, Saleh Masoud Abdallah 'Tumbo', baada ya mchezaji huyo kudaiwa kufikia uamuzi huo…
SIMBA inatarajiwa kuupokea ugeni mzito wa kocha mpya, Steve Barker na wasaidizi wake wikiendi hii kabla ya kuanza safari ya kwenda Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026, lakini…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema inajivunia kuwa mwenyeji wa mashindano ya Africa Sports Federation ambayo yanafanyika visiwani hapa kwa mara ya kwanza.
HUTOKEA mara chache sana kwa wachezaji kupigiana chapuo na hiki kimedhihirishwa na nyanda wa Coastal Union, Wilbol Maseke aliyemtaja kipa wa Pamba Jiji, Yona Amosi kuwa anapaswa kutazamwa kwa jicho…
SIKU chache baada ya kufahamika kuwa mabosi wa KMC wameafiki kuamuajiri aliyekuwa kocha wa Zimamoto ya Zanzibar, Abdallah Mohamed ‘Baresi’ ili kwenda kuchukua nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo…
UONGOZI wa Pamba Jiji umekubali yaishe kwa kuafikiana na aliyekuwa beki wa kati wa kikosi hicho, Abdallah Kheri ‘Sebo’, ili kwenda kujiunga rasmi na Singida Black Stars kwa ajili ya…
KIKOSI cha Singida Black Stars kinaondoka leo Ijumaa kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya mechi ya kwanza ya ufunguzi ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege itakayopigwa Jumapili ya Desemba…
MASHABIKI wa Yanga someni hii itawapa raha. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kupitia Kamati ya Nidhamu, imeishushia rungu zito AS FAR Rabat ya Morocco, uamuzi ambao utawabeba Mabingwa hao wa…
RAUNDI ya pili ya mechi za makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 inaendelea leo Ijumaa kwa mechi nne zinazojumuisha timu za Kundi A na B ambazo…
KATI ya nyota 25 kutoka Ligi Kuu Bara wanaoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 zinazoendelea nchini Morocco, wale wa Yanga wameonekana kuanza na namba nzuri wakiongozwa na…
Klabu ya TMA Stars FC kupitia kwa Katibu wake Mkuu, Mbwana Hamad Mbwana umetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Habibu Kondo pamoja na wasaidizi wake.
MSHAMBULIAJI Prince Dube amefunga bao flani la kihistoria wakati timu ya taifa ya Zimba-bwe ikilala kwa mabao 2-1 mbele ya Misri katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025…
KLABU ya TRA United imeanza harakati za kuimarisha kikosi chake katika dirisha dogo la usajili linalota-rajiwa kufunguliwa Januari Mosi 2026 baada ya kuonyesha nia ya kuhitaji huduma ya beki wa…
KIUNGO mshambuliaji Mtanzania aliyekuwa anacheza Ligi Kuu ya Oman katika klabu ya Fanja, Enock Jiah amerejea nchini na kwa sasa anasikilizia klabu za Ligi Kuu Bara itakayomvutia kimasilahi ili ajiunge…
BAADA ya Mwanaspoti kuripoti beki wa kati wa Mashujaa, Abdulmalik Zakaria yupo mbioni kujiunga na Singida Black Stars, mwenyewe amefichua ni kweli ameshamalizana na maafande wa Mashujaa na kwamba mipango…
KOCHA Mkuu wa KMC, Abdallah Mohamed ‘Baresi’ amesema timu haiwezi kufunga bila ya kuwa na washambuliaji wenye ubora wa kuona lango, hivyo mpango wa kwanza ndani ya timu hiyo ni…
BAADA ya kiungo wa Azam, Adolf Mtasingwa kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi minane akiuguza majeraha ya kifundo cha mguu, nyota huyo amerejea na kuungana na wachezaji wenzake, ikiwa…
HAIKUWA kinyonge. Nigeria wenyewe wameukubali mziki wa Taifa Stars katika mechi ya kwanza ya fainali za mataifa ya Afrika huko Morocco kwa namna ilivyotoa upinzani licha ya kikosi cha Super…
Ni dakika mbili tu zilizoyeyusha uwezekano wa Taifa Stars kuishtua Afrika kwa kutoka sare na Nigeria katika mchezo wa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 uliochezwa kwenye Uwanja wa…