Azam yaifuata Yanga nusu fainali CRDB Federation Cup
AZAM imekata tiketi ya kucheza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ambapo itakutana na Yanga, baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa, mechi ya robo…
Mnoga ana kibarua Wembley
WAKATI winga wa Tanzania, Tarryn Allarakhia akifurahia kuipandisha daraja Rochdale AFC kutoka Ligi Daraja la Nne England maarufu National League kwenda League Two, bado Mbongo mwenzake, Haji Mnoga ana kibarua…
Serengeti Boys yafuzu Kombe la Dunia U-17
USHINDI wa mabao 3-0 ilioupata Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, leo Mei 17, 2026 dhidi ya Angola, kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya…
Mnunka: Simba Queens tunataka kurudi Afrika
KIUNGO mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka amesema lengo kubwa la timu hiyo msimu huu ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania na kurejea katika michuano ya kimataifa…
Raundi ya 17 WPL kinawaka leo
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania itaendelea leo Mei 18 kwa mechi za raundi ya 17, huku Simba Queens, Yanga Princess na JKT Queens zikitarajiwa kushuka dimbani kusaka pointi muhimu katika…
Mrwanda afanyiwa majaribio Yanga Princess
YANGA Princess imeanza mchakato wa kuboresha kikosi hicho mapema kwa ajili ya msimu ujao na inaelezwa inamfanyia majaribio mshambuliaji wa Kamonyi WFC ya Rwanda, Sandrine Mutuyimana.
‘Mitoko’ ya Alliance Girls yavutia mashabiki
Alliance Girls imeendelea kuvuta hisia za mashabiki wa soka nchini kwa mtindo wao wa kipekee wa kuingia uwanjani wakiwa wamevalia mavazi ya asili kama vitenge, madera na mavazi mengine yanayoakisi…
Dabi ya mjini yabeba mambo matatu ZPL
LEO Jumapili Mei 17, 2026, inapigwa Dabi ya Mjini itakayokamilisha mzunguko wa 25 wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kati ya Malindi dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Mlandege, kwenye…
Kigogo ashusha presha ujenzi Uwanja Yanga
KUMEIBUKA mjadala kwa baadhi ya wadau wa soka wakiona kama wamedanganywa hatua za kuanza kwa ujenzi wa Uwanja wa Yanga, sasa kigogo mmoja wa timu hiyo ameibuka na kutuliza presha.
Mchezaji Yanga achambua udhaifu safu ya ushambuliaji unavyoiangusha Yanga licha ya kuibajua JKT 2-0!
Serengeti Boys mzigoni tena AFCON U-17 TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo itakuwa na kibarua cha pili kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika kwa…
Yanga, Coastal zatinga nusu fainali CRDB Federation Cup
YANGA ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuichapa JKT Tanzania…
Chama sasa gari limewaka
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, ameendelea kuonyesha kiwango bora msimu huu wa 2025-2026, baada ya kuweka rekodi ya kuibuka mchezaji bora wa mechi mara nne mfululizo, akiongeza matumaini ya…
Serengeti Boys mzigoni tena AFCON U-17
TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo itakuwa na kibarua cha pili kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana (AFCON U-17) dhidi ya Angola…
Pointi 21… Pasua kichwa Simba, Yanga
VITA ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2025/26 imeingia katika hatua ya lala salama yenye presha na lawama huku tofauti ya pointi mbili pekee kati ya Yanga na Simba ikinogesha…
Azam TV yaweka rekodi, kuonyesha mechi zote 104 Kombe la Dunia
Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha mbashara mechi zote 104 za Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Canada, Marekani na Mexico.
Mgosi aipongeza Yanga, akiichapa Dar
KAIMU Kocha wa Simba Queens, Mussa Hassan 'Mgosi' amesema walijidhatiti tangu msimu uliopita na walifanya tathmini wapi wamekosa na wakarekebisha kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Bara.
Shikangwa: Tulijua mabeki Yanga ni wazito, watachanganyikiwa
MFUNGAJI wa mabao mawili kwenye mechi ya dabi ya wanawake, Jentrix Shikangwa wa Simba Queens amesema walijua Yanga ina udhaifu eneo la mabeki na huchanganyikiwa dakika 15 za mwanzo wakipelekewa…
Simba Queens yaichapa Yanga Princess, yalinda rekodi yake
MABAO mawili ya mshambuliaji wa Simba Queens raia wa Kenya, Jentrix Shikangwa aliyofunga dhidi ya Yanga Princess, yameendelea kuiweka timu hiyo kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu…
Tanzanite Queens yapewa Brazil, England Kombe la Dunia Wanawake U-20
UPANGAJI wa makundi na ratiba kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 20, umeifanya Tanzanite Queens kuangukia Kundi B lenye timu za Brazil, England…
Wikiendi iliyobeba hatma ya Yanga, Simba
NI wikiendi spesho katika ulimwengu wa soka kuanzia ndani ya Tanzania, nje ya mipaka ya nchi hii lakini hapahapa Afrika, pia kule Ulaya napo hapatoshi. Siku hizi mbili kwa maana…
Soka kuamua wikiendi, vigogo mzigoni Afrika na Ulaya
NI wikiendi spesho katika ulimwengu wa soka kuanzia ndani ya Tanzania, nje ya mipaka ya nchi hii lakini hapahapa Afrika, pia kule Ulaya napo hapatoshi. Siku hizi mbili kwa maana…
Maabad amvaa Fei Toto
WAKATI Kiungo wa Azam, Feisal Salum 'Fei Toto' akifikisha mabao 11 na kuendelea kuongoza katika orodha ya wafungaji bora katika Ligi Kuu Bara, straika wa Coastal Union, Maabad Maulid amesema…
Nsajigwa aanza mikwara Tanzania Prisons
BAADA ya kukosa ushindi katika michezo tisa aliyosimamia, hatimaye Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa ameonja pointi tatu za kwanza Ligi Kuu Bara tangu ajiunge na timu hiyo Februari…
Dakika tatu zamuumiza Baraza
KOCHA wa Pamba Jiji, Francis Baraza, ameonyesha kuumizwa na matokeo ya mchezo dhidi ya Azam baada ya kikosi chake kupoteza umakini katika dakika tatu za mwisho zilizokwenda kuamua mshindi.
Erick Mwijage katika rada za Pamba Jiji
MABOSI wa Pamba Jiji wameanza kuweka mikakati ya mapema ya kujiimarisha kwa msimu ujao wakimuweka kwenye rada winga wa KMC, Erick Mwijage huku wakisubiri hatma ya timu hiyo kwenye mbio…
Jarida la Time lamtaja Mo Dewji wahisani bora 100
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji, ametajwa katika orodha ya TIME100 Philanthropy 2026 inayotolewa na jarida maarufu duniani la TIME, ikiwa ni kutambua mchango wake kwa jamii kupitia taasisi ya Mo…
Beimbaya apata matumaini mapya B19 FC
LICHA ya ushindani uliopo katika Ligi ya Championship hadi sasa, ila Kocha wa B19 FC, Twaha Beimbaya amesema timu hiyo ina nafasi kubwa ya kuepuka kucheza mechi za 'Play-Off' ya…
Masoud aomba muda Songea United
KOCHA Mkuu wa Songea United ya Songea, mkoani Ruvuma, Juma Masoud amesema anahitaji muda zaidi kwa ajili ya kutengeneza timu ya ushindani, licha ya kutojua hatima yake kwa sasa baada…
Pointi tatu zamtibulia hesabu Guardiola
BAADA ya Hausung FC kupokwa pointi tatu na mabao matatu, ila kocha wa kikosi hicho, Selemani Kitunda Simota 'Guardiola' amesema bado hawajakata tamaa ya kupambana ili kukitoa kikosi hicho mkiani,…
Jumanne Challe akubali yaishe KenGold
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe amesema ni ngumu kwa timu hiyo kushika nafasi nne za juu zitakazoiwezesha kucheza mechi za 'Play-Off' ya kupanda Ligi Kuu msimu ujao, kutokana na…
Uwanja mpya wa Yanga kukamilika ndani ya mwaka na nusu
Uwanja mpya wa Yanga unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 18 hadi 24, baada ya kutangazwa rasmi kwa kuanza kwa mradi huo katika eneo la Jangwani jijini Dar es…
Tanzania yajiandaa kutangaza Utalii Kombe la Dunia 2026
Wizara ya Maliasili na Utalii, imepanga kutumia Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico kuanzia mwezi ujao, kutangaza vivutio vya utalii hapa nchini.
Kamwe: GSM hana tamaa kwenye uwekezaji wa uwanja
Ofisa Habari wa Yanga Ally Kamwe amerusha jiwe gizani akisema mfadhili wa klabu hiyo Ghalib Said Mohammed 'GSM' hana tamaa katika uwekezaji wa uwanja wa klabu hiyo.
Hersi: Yanga, mwekezaji uwanja Yanga 50/50
RAIS wa Yanga injinia Hersi Said amesema mradi wa ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo, utawafanya kumiliki asilimia 50 huku mwekezaji akimiliki 50.
Kigogo Super Falcon kuja kivingine
ALIYEKUWA Mdhamini Mkuu na Rais wa timu ya Super Falcon, Hafidh Nassor 'Hafidh Julian' ameliambia Mwanaspoti kuwa, bado ana mpango wa kurudi kuwekeza kwenye Ligi Kuu Zanzibar.
Polisi yapewa pointi 3, KMKM yapigwa faini ya Sh3 milioni
KOCHA wa makipa wa timu ya Polisi, Ali Masoud, amesema kikosi hicho kipo tayari kwa michezo iliyosalia Ligi Kuu Zanzibar ili kujinusuru kushuka daraja msimu huu.
Watakaocheza ‘Ndondo’ Zanzibar faini Sh100,000
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), imesema mchezaji yeyote wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) atakayecheza mashindano ya ndondo, ataadhibiwa kwa kufungiwa michezo mitano ya ligi msimu unaofuata na kutozwa…
Mikakati ya Muembe Makumbi Ligi Kuu Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi, Sheha Khamis, amesema ushindani wa Ligi Kuu Zanzibar unazidi kupamba moto kutokana na kila mmoja kuwa na uhitaji wa kujiweka sawa kwenye nafasi nzuri, huku…
Serengeti Boys yaanza AFCON U-17 na ushindi, yaongoza kundi
TANZANIA imeanza vyema kampeni yake ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2026 (AFCON U-17) baada ya kuifunga Msumbiji mabao 3-0 katika…
Fei Toto, Kitambala waibeba Azam jioni, ikiichapa Pamba
Mabao mawili yaliyofungwa katika dakika za mwisho yametosha kuipa ushindi Azam FC wa mabao 2-0 dhidi ya Pamba Jiji, leo usiku.
UCHAMBUZI: Yanga hawakuwa bora katika idara ya ulinzi
Iran hatarini kukosa Kombe la Dunia 2026 Mkuu wa Shirikisho la Soka la Iran, Mehdi Taj, ametangaza kuwa hadi sasa hakuna kibali cha kuingia nchini Marekani (visa) hata kimoja kilichotolewa…
UCHAMBUZI: Simba wawe makini wasishangilie matokeo ya Yanga wana mchezo mgumu dhidi ya Mashujaa
Iran hatarini kukosa Kombe la Dunia 2026 Mkuu wa Shirikisho la Soka la Iran, Mehdi Taj, ametangaza kuwa hadi sasa hakuna kibali cha kuingia nchini Marekani (visa) hata kimoja kilichotolewa…