Kocha Fountain Gate avamia Championship
FOUNTAIN Gate imeibuka na hesabu tofauti, wakati wengine wakisaka mastaa kutoka Ligi Kuu Bara na nje ya Tanzania, yenyewe imekimbilia Ligi ya Championship kuangalia nyota wa kuimarisha kikosi chao.
FOUNTAIN Gate imeibuka na hesabu tofauti, wakati wengine wakisaka mastaa kutoka Ligi Kuu Bara na nje ya Tanzania, yenyewe imekimbilia Ligi ya Championship kuangalia nyota wa kuimarisha kikosi chao.
KOCHA Abdallah Mohammed ‘Baresi’ ni kama ameanza kazi kimyakimya KMC kwani hivi sasa kuna jambo analifanya chini kwa chini na akikamilisha tu, basi atatangazwa rasmi.
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa kwenye mapumziko kupisha Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 zinazofanyika Morocco, makipa Erick Johora wa Mashujaa, Omary Gonzo (JKT Tanzania) na Costantine Malimi…
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amekiri hali ya hewa ya baridi nchini Morocco ni changamoto kwa baadhi ya wachezaji wa kikosi hicho.
KIUNGO wa timu ya taifa ya Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ana imani kikosi hicho kitafikia malengo katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco.
BEKI wa kimataifa wa Afrika Kusini, Rushine De Reuck, amekiri kuondoka kwa kocha Fadlu Davids ndani ya Simba kumempa wakati mgumu yeye na Neo Maema aliyowavuta Msimbazi.
TANGU yalipotangazwa makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 iliyoanza juzi huko Morocco, mashabiki na wapenzi wa soka nchini wamekuwa na kihoro kwa timu ya taifa,…
MABOSI wa TRA United bado hawajakata tamaa juu ya kumnasa winga Denis Nkane anayeitumikia Yanga, baada ya sasa kuwasilisha maombi rasmi ya kutaka iwepe mchezahi huyo.
KOCHA msaidizi wa Singida Black Stars, David Ouma amesema michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 wanaibeba kwa ukubwa kwa kuitumia kwa ajili ya kuiweka timu katika ubora tayari kwa michuano…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Pamba Jiji, George Mpole ametaja sababu ya washambuliaji wa ndani kushindwa kuwa na mwendelezo wa ubora, huku akiweka wazi nyota wa kigeni wanabebwa na viongozi na…
KIUNGO wa Yanga, Salum Abubakar 'Sure Boy' amesema mabonanza yanayofanywa na wachezaji kipindi cha mapumziko ya Ligi Kuu Bara ni chachu ya kuboresha ushindani na kuwakutanisha pamoja.
UNAWEZA kusema winga Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ gari limewaka akiwa kwao DR Congo kufuatia kasi yake aliyonayo ya upachikaji mabao.
KOCHA wa maafande wa Tanzania Prisons, Mkenya Zedekiah ‘Zico’ Otieno, ameanza mipango ya kuisuka upya timu hiyo katika dirisha dogo litakalofunguliwa Januari Mosi, 2026, huku akimfuatilia aliyekuwa mshambuliaji wa Pamba…
KIUNGO mshambuliaji wa maafande wa Mashujaa, amesaini mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2027, hivyo, kuzikaushia JKT Tanzania na Namungo ambao walikuwa wanamfuatilia dirisha hili dogo la Januari…
BEKI wa kati wa Coastal Union, Christopher Oruchum amesema kikosi chao kwa sasa kimeimarika na kinacheza soka la kuvutia, tofauti na hali ilivyokuwa awali kabla ya ujio wa benchi jipya…
WAKATI ikielezwa uongozi wa Singida Black Stars unaweza ukaachana na winga nyota wa timu hiyo, Ayoub Lyanga anayewindwa na Mbeya City, mabosi wa kikosi hicho wameanza mazungumzo na kiungo mshambuliaji…
UONGOZI wa Pamba Jiji umefungua mazungumzo ya kupata saini ya kipa wa Mbeya City, Hashim Mussa, baada ya kudaiwa nyota huyo anatafuta changamoto sehemu nyingine, kutokana na kutopata nafasi ya…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege, imetozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la mashabiki wa timu hiyo kufanya vurugu kwa kurusha chupa uwanjani wakati mechi ikiendelea.
BEKI wa kushoto wa Bigman, Adeyum Saleh, amesema siri ya timu hiyo kufanya vizuri ni kwa sababu ya wachezaji kuelewana aina ya uchezaji, hali ambayo ilikuwa ngumu kwao mwanzoni mwa…
UONGOZI wa TMA unatarajia kukutana wiki hii na kocha wa kikosi hicho, Habibu Kondo ili kuzungumzia mambo mbalimbali ya timu hiyo, hususani wachezaji wa kuwaongeza katika dirisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa…
MSHAMBULIAJI wa Songea United, Raymond Lulendi, amesema licha ya kushirikiana na wachezaji wenzake kuipambania timu hiyo kumaliza nafasi nne za juu, ila malengo yake binafsi ni kuhakikisha pia anakuwa mfungaji…
ALIYEKUWA Kocha wa Fountain Gate, Khalid Adam, amejiunga na kikosi cha African Sports 'Wanakimanumanu' cha mjini Tanga, baada ya hivi karibuni timu hiyo kuachana na Sharifu Joseph Ndokezi, kutokana na…
MWANARIADHA maarufu nchini, Alphonce Simbu, ameendelea kuonyesha kiwango cha juu kimataifa baada ya kumaliza nafasi ya pili katika mbio za Kolkata zilizofanyika leo Jumapili huko India.
ILE SIKU NDO LEO! Afcon 2025 kinawaka, Morocco v Comoros utamu uko hapa HAYAWI hayawi yamekuwa. Baada ya kungoja kwa miaka, miezi, wiki na sasa ile siku imewadia na utepe…
Kisa mashabiki, Mlandege yatozwa faini Sh1 milioni MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege, imetozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la mashabiki wa timu hiyo kufanya vurugu kwa kurusha…
KLABU ya Namungo 'Wauaji wa Kusini', imeanza mazungumzo ya kumsajili beki wa kati wa KMC, Salum Athuman 'Stopper', kwa ajili ya kwenda kuchukua nafasi ya Abdallah Mfuko, anayedaiwa yuko katika…
WAKATI fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 zikitarajiwa kuanza leo Jumapili nchini Morocco, kikosi cha Taifa Stars kitashuka dimbani Desemba 23, 2025 kucheza dhidi ya Nigeria, huku nyota…
KOCHA Mkuu wa Mashujaa Queens, Ally Ally amesema kikosi chake kimefikia asilimia 80 ya ubora anaoutaka msimu huu kwenye Ligi Kuu ya Wanawake, huku akijipa mechi tano kukamilisha asilimia 20…
SINGIDA Black Stars imeelekeza nguvu zake kwa beki wa kimataifa wa DR Congo, Henock Inonga, kama chaguo la kwanza kwa ajili ya kuimarisha ukuta wa kikosi hicho dirisha dogo la…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya waamuzi 17 waliopata beji za Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA) kwa mwaka 2026.
Mchezaji wa zamani wa Simba, Kariakoo Lindi, na timu ya taifa ya vijana, Mnenge Suluja, amefariki dunia saa 5 usiku wa kuamkia Desemba 20, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali…
KLABU ya Stellenbosch kutoka Afrika Kusini, imetoa tamko ikithibitisha kuwa, Steve Barker amejiuzulu nafasi yake ya Kocha Mkuu ili kuchukua jukumu jipya la kuinoa Simba SC ya Tanzania.
KLABU ya Simba, leo Ijumaa, Desemba 19, 2025 imemtangaza Steve Barker kutoka Afrika Kusini kuwa Kocha Mkuu mpya.
KLABU kongwe za Simba na Yanga zimepangwa kuanza vita ya kuwania Kombe la Mapinduzi 2026 Januari 3 na 4, wakati pazia la michuano hiyo likifunguliwa na watetezi Mlandege dhidi ya…
KIKOSI cha Azam FC kipo mapumziko kwa sasa baada ya Ligi Kuu Bara kusimama kupisha fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zitakazoanza kesho huko Morocco, lakini benchi…
BEKI wa zamani wa Coastal Union na Simba, Abdi Banda anayekipiga kwa sasa Dodoma Jiji, ameshindwa kujizuia na kuweka bayana kinachoigharimu timu katika Ligi Kuu, huku akichekelea kupatikana kwa vibali…
UONGOZI wa KMC unaendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya atakayerithi nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo, huku mabosi wa kikosi hicho wanaangalia uwezekano wa kuipata saini ya kiungo mshambuliaji wa…
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa Januari Mosi, 2026 uongozi wa Mbeya City uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya kiungo wa Namungo, Abdallah Mfuko ikiwa ni pendekezo pia…
RAUNDI ya 11 ya Ligi ya Championship inaendelea tena wikiendi hii, huku macho na masikio ya wapenzi wa soka yakielekezwa katika mechi ya kesho Jumapili kati ya Geita Gold na…
RATIBA ya Kombe la Mapinduzi 2026 imewekwa hadharani ikionyesha Mlandege na Singida Black Stars zitafungua dimba la michuano hiyo Desemba 28, 2025.
WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ikitarajiwa kuanza Desemba 28, 2025 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kisiwani Unguja, imeelezwa kwamba fainali itapigwa Pemba.
MSHAMBULIAJI na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, John Bocco ‘Adebayor’ ametajwa kurudishwa tena Msimbazi kwa lengo la kuongeza nguvu benchi la ufundi la timu…