Yusuf Chippo akalia kuti kavu Mtibwa Sugar
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, uko katika hatua za mwisho za kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Yusuf Chippo ikidaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa kiuchezaji wa kikosi hicho…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, uko katika hatua za mwisho za kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Yusuf Chippo ikidaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa kiuchezaji wa kikosi hicho…
IKIWA ipo mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikikusanya pointi tisa baada ya mechi 21, KMC sasa inaingia kwenye vita ya mwisho ya kujiokoa isishuke daraja zikisalia mechi tisa…
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, wametangaza rasmi kuhama kutoka Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni na kuhamishia michezo yao ya nyumbani kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es…
KLABU ya Yanga, imetangaza kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves ikiwa imepita takribani miezi mitano na siku 19 tangu atambulishwe kikosini hapo, huku nyuma ya uamuzi…
KLABU ya Yanga, imetangaza kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves ikiwa imepita takribani miezi mitano na siku 19 tangu atambulishwe kikosini hapo, huku nyuma ya uamuzi…
DAR City inatarajiwa kucheza na Petro de Luanda ya Angola katika mechi ya robo fainali ya Basketball African League (BAL) ikitajwa itakuwa vita ya kisasi.
PENGINE utakuwa ukijiuliza mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake, Stumai Abdallah wa JKT Queens yuko wapi, kwani mara ya mwisho alicheza dhidi ya Yanga Princess, Januari 18 mwaka huu.
BEKI wa Dodoma Jiji, Abdi Banda amesema kitendo cha kila timu Ligi Kuu Bara kupiga hesabu kali za kumaliza msimu huu ikiwa nafasi nzuri, Kimeongeza ushindani na presha.
Mkurugenzi wa Mashindano ya Fahari Supercup, Wilbert Mweta, ameiomba serikali kutoa mikopo kwa wadau wanaoendesha mashindano ya michezo katika ngazi za chini ili kukuza vipaji vya wachezaji chipukizi.
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Yanga, wameendelea kuweka hai matumaini yao ya kupigania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya leo Jumatano…
KUNA mambo mawili yanayomuhusu mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa la Ivory Coast, Didier Drogba, katika ziara yake ya siku tatu hapa nchini huku akielezea utayari wake…
USHINDI wa Yanga wa bao 1-0 dhidi ya KMC, umeacha gumzo kwa mashabiki, sio tu kwa matokeo bali pia uamuzi wa benchi la ufundi la timu hiyo yaliyobadili mwelekeo wa…
Dakika chache baada ya Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC, uongozi wa timu hiyo leo Jumatano, Mei 6, 2026 umetangaza kumfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo,…
WAKATI Kajuna FC na Kahama Madini zikipanda First League, Rhino Rangers na Bandari zimefuzu kucheza Ligi ya Championship kwa msimu ujao baada ya kufikisha pointi ambazo haziwezi kufikiwa na wapinzani.
TANZANITE Queens imeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya marudiano dhidi ya Cameroon, huku Kocha Mkuu, Bakari Shime, akiamini timu hiyo bado ina nafasi kubwa ya kupindua matokeo…
NYOTA wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa la Ivory Coast, Didier Drogba, ameweka wazi dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya michezo nchini baada ya kufanya mazungumzo na viongozi…
DAKIKA 90 za mechi baina ya KMC dhidi ya Yanga itakayochezwa leo Jumatano saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, zinaweza kutumika kwa mambo mawili kama…
WAKATI Tanzania Prisons ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, huku kocha mkuu wa kikosi hicho, Shedrack Nsajigwa akitoa matumaini, hesabu zinaingia na kutoka kwenye mkakati wa…
KOCHA wa Mashujaa, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ushindi walioupata dhidi ya TRA United ni kichocheo kitakachowarudishia ari ya kujiamini wachezaji, akiamini wanaanza kurejea kwenye kiwango baada ya kupitia kipindi kigumu…
WAKATI Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ikitarajiwa kuanza Mei 16, mwaka huu, wachezaji 42 wa kimataifa wamesajiliwa katika timu tofauti, huku 23 wakiwa Wakongomani.
ACHANA na matokeo ya ushindi walioupata Mbeya City juzi dhidi ya Tanzania Prisons, kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amesema bado anayo kazi ngumu katika kuisuka safu yake ya…
Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City ilipata mualiko wa kuhudhuria uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jana katika Bunge la Jamhuri ya Muungano…
Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City ilipata mualiko wa kuhudhuria uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jana katika Bunge la Jamhuri ya Muungano…
KOCHA Mkuu wa Azam, Florent Ibenge, amesema sare ya 2-2 baina ya Simba na Yanga ni matokeo mazuri kwao lakini itakuwa faida zaidi endapo wataendelea kushinda mechi zilizosalia.
Baada ya dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga iliyopigwa jana Jumapili kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya mabao 2-2, mpiga…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, tayari ameridhia na kutoa kiasi cha Dola za Marekani 30,000,000 (Sh78 milioni) kama ada ya uandaaji wa Fainali za…
ULE msemo wa haiishi mpaka iishe unaanzia hapa kwa timu tatu zilizopo juu ya msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar ambazo ni KVZ, JKU na Fufuni zilizotofautiana pointi moja tu.
KOCHA Mkuu wa Mlandege, Hassan Ramadhan 'Pele' amesema ushindi walioupata dhidi ya Zimamoto umefufua matumaini mapya ya timu hiyo kutetea taji lao la Ligi Kuu Zanzibar.
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, ameiomba Serikali kumpa uraia wa heshima kiungo wa Simba SC, Clatous Chama akitaja mambo matatu.
Nyota wa zamani wa Chelsea, Marseille, Galatasaray na timu ya taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba, ameteka ukumbi wa Bunge baada ya kutangazwa jina lake na Spika.
Dakika tisini za mchezo wa Simba na Yanga zimeonyesha kuwa mzani umebalansi hadi sasa msimu huu, baada ya mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga kumalizika kwa…
KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Juma Mgunda, amekiri kupitia wakati mgumu kwa sasa, baada ya kushuhudia kikosi hicho kikicheza mechi 10 mfululizo za Ligi Kuu bila ya ushindi tangu mara…
WINGA wa TRA United, Ramadhan Salum 'Chobwedo', amefikisha mabao mawili katika Ligi Kuu Bara msimu huu akiwa na kikosi hicho, lakini moja ya jambo la kufurahisha au kushangaza ni kwamba…
MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' juzi dhidi Mtibwa Sugar, kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam,…
MRATIBU wa Simba Queens, Selemani Makanya ameweka wazi mafanikio ya timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake yanatokana na mipango waliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu.
LICHA ya Simba Queens kuendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa 2025/26, kuna presha ya kuwania ubingwa kwa Yanga Princess na JKT Queens zinazoendelea kukimbiza…
ALIYEWAHI Kocha wa zamani wa Ruangwa Queens, Mwinyi Zahera amesema ili timu hiyo isalie Ligi Kuu msimu ujao, inapaswa kufanya mambo mawili.