Mtibwa Sugar yazidi kuizamisha KMC
KMC imeendelea kujiweka karibu zaidi na hatari ya kushuka daraja baada ya kupoteza kwa mabao 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri…
KMC imeendelea kujiweka karibu zaidi na hatari ya kushuka daraja baada ya kupoteza kwa mabao 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri…
MECHI kati ya Uhamiaji na JKU itakayochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Mao B kisiwani Unguja, itakuwa yenye ushindani wa kusaka alama tatu zitakazoamua hatma yao ndani ya Ligi Kuu…
NI zamu ya mabinti, baada ya mechi ya watani wa jadi ya kaka zao Simba na Yanga iliyotoka kwa sare ya 2-2, sasa ni zamu ya Simba Queens ikiikaribisha Yanga…
Uamuzi huo ulithibitishwa na Makamu wa Rais wa WBC, Houcine Houichi, ambaye alisema baraza hilo lilifanya jitihada mbalimbali kuwasiliana na menejimenti ya bondia huyo kabla ya kuchukua hatua hiyo.
WAKATI Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikitarajia kuanza kesho kwenye Uwanja wa Don Bosco, Upanga, baadhi ya makocha wamesema timu zilizofanya usajili mkubwa zina…
USHINDI wa mabao 4-1 ambao TRA United iliupata dhidi ya Azam FC wiki iliyopita katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ndio stori kubwa hapa kijiweni leo.
WENGI hatukutegemea Yanga ipoteze mechi dhidi ya Dodoma Jiji FC juzi Jumatano kule Singida kwenye Uwanja wa Airtel.
SOKA la England linaendelea kushuhudia mchango wa wachezaji wenye asili ya Tanzania, huku Tarryn Allarakhia akiwa tayari ameandika historia kwa kuisaidia Rochdale A.F.C. kupanda kutoka National League (Daraja la Tano)…
DROO ya hatua ya makundi ya Kombe la Dunia Wanawake chini ya miaka 20, itachezeshwa leo Ijumaa saa 10 jioni jijini Lodz, Poland, huku Timu ya Taifa ya Tanzania ya…
KIUNGO wa KMC, Omary Chibada amesema amekuwa akivutiwa na kiwango cha Duke Abuya kutokana na namna anavyocheza kwa utulivu mkubwa.
KOCHA Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohammed ‘Mani Gamera’ ameamua kuachana na timu hiyo baada ya kumalizika kwa mechi ya hatua ya robo fainali ya Kombe la FA ambapo timu hiyo…
ILE siku ambayo Watanzania wengi walikuwa wakiisubiri imewadia, ambapo timu ya Taifa ya soka chini ya miaka miaka 17 (Serengeti Boys), leo inaanza safari yake katika Fainali za Kombe la…
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne kupigwa, huku vita ya pointi tatu ikitarajiwa kusakwa kibabe kuanzia saa nane mchana. Katika vita hiyo, kuna shoo ya Clatous Chama…
DODOMA Jiji imeikazia Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa leo, kwenye Uwanja wa Airtel mjini Singida na kuondoka na pointi tatu baada ya ushindi wa mabao 3-2.
Mabao mawili ya Maabad Maulid na Saad Mwanza wa Coastal Union, yametosha kuizamisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kuendeleza presha kwa vijana hao wa Kocha Salum…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Aprili 2026 huku aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pedro Goncalves akiibuka kocha bora wa mwezi huo.
Ni kushambulia mwanzo mwisho. Hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa akielezea maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Fountain Gate utakaopigwa kesho Alhamisi Mei 14, 2026…
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, leo anaingia uwanjani ugenini kupambana na Dodoma Jiji, katika mechi yenye hesabu kali.
BEKI wa kimataifa wa Cameroon, Che Malone Fondoh, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa Kigeni wa Ligi Kuu ya Algeria 'Algerian Ligue 1' msimu wa 2025-2026, baada ya kuwa na kiwango…
PAMOJA na kukubali ugumu wa namba kikosini, Straika wa Mtibwa Sugar, Raizin Hafidh amesema bado ni mapema kuitabiria timu hiyo magumu Ligi Kuu Bara msimu huu kwani mechi nane zilizobaki…
Nyota wa Singida Black Stars, Mossi Nduwumwe ambaye ni raia wa Burundi, ameendelea kuwa moto wa kuotea mbali baada ya kupachika bao katika mchezo wa tatu mfululizo wa Ligi Kuu…
HESABU za kukwepa aibu ya kushuka daraja inaendelea kuzipa presha timu za Ligi Kuu Bara, huku Kocha wa Mbeya City, Saluma Mayanga na Fikiri Elias wa Coastal wakivimbiana kusaka pointi…
KAMPUNI ya Mwananchi Communications (MCL), imezindua mwongozo wa matumizi ya akili unde (AI), katika shughuli zake za uhariri na uendeshaji wa majukwaa yake mbalimbali.
UONGOZI wa Yanga, umefanya kikao cha mwisho juu ya ujenzi wa uwanja wa timu hiyo, huku mfadhili na mshindi wa zabuni ya tenda hiyo, Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ akitembelea eneo…
Beki wa Simba SC, Rushine De Reuck, amefunguka kuhusu kipindi kigumu alichopitia mwishoni mwa maisha yake ya soka akiwa Mamelodi Sundowns, akisema alikuwa hajui mustakabali wake ulikuwa wapi.
ILE Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), inarudi na tayari timu shiriki 16 zinajifua kwa ajili ya kipute hicho kinachotarajiwa kuanza siku nne zijazo, ambapo kamishna wa…
MWANDAAJI wa mashindano ya Swahili Talent Swimming, Nelson Lawrence amesema yanalenga kuwafikia watoto wa kawaida na wenye mahitaji maalumu ili kukuza vipaji vyao mapema.
Mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga wameonyesha jeuri ya fedha baada ya kufanikisha kuchangisha zaidi ya Sh31 milioni kwa ajili ya kulipa faini iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji na…
Mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ghana, Jonathan Sowah, bado hajajitokeza kwenye mazoezi ya timu ya vijana (U-20) ya klabu hiyo, licha ya uongozi wa Simba kumrejesha kikosini kwa masharti…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema itaendelea na mpango wake wa kuimarisha na kukamilisha mtandao wa viwanja vya mpira ili kuhakikisha Pemba inapata miundombinu ya michezo yenye hadhi sawa…
Bondia wa kulipwa waTanzania, Ibrahim Mafia, amevuliwa rasmi ubingwa wa Afrika wa uzani wa bantamweight wa Baraza la Ndondi Duniani (WBC) kufuatia kupoteza pambano lisilo la ubingwa dhidi ya bondia…
ISINGEKUWA majeraha yaliyomuweka nje mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, alikuwa anapigiwa hesabu za kuwa mbadala sahihi wa John Bocco katika ufungaji wa mabao Ligi Kuu Bara sambamba na kuisaidia timu…
WAKATI zikibaki raundi nane sawa na dakika 720 kumalizika kwa Ligi Kuu msimu wa 2025-2026, maajabu yameonekana kwa kukosa mchezaji aliyefunga mabao matatu katika mchezo mmoja (hat trick), ikilinganishwa na…
Nchi waandaji wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2027 (AFCON 2027) wamesaini hati ya makubaliano ya pamoja inayojulikana kama CAF Joint Resolution – TotalEnergies AFCON PAMOJA 2027.
HESABU kali zinapigwa na makocha pamoja na wachezaji katika mechi za Ligi Kuu Bara zinazotarajiwa kuchezwa mikoa tofauti leo Jumanne, ambapo Singida Black Stars itakuwa nyumbani dhidi ya Namungo kwenye…
HESABU kali zinapigwa na makocha pamoja na wachezaji katika mechi za Ligi Kuu Bara zinazotarajiwa kuchezwa mikoa tofauti leo Jumanne, ambapo Singida Black Stars itakuwa nyumbani dhidi ya Namungo kwenye…
HAKUNA msimu unakosa kusikia kauli hii ‘Klabu fulani imegoma kutumia vyumba vya kubadilishia nguo na kukaa eneo lingine.’
TIMU nne za Unguja na zingine nne za Pemba zimetinga nusu fainali ya Kombe la FA Zanzibar kuwania ubingwa huo unaoshikiliwa na KMKM.
Yanga inaufuata kwa kasi ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu ambapo kama itapata ushindi katika mechi saba kati ya nane zilizobakia, itajihakikishia taji pasipo kutegemea matokeo ya timu…
MCHEZO wa Dabi ya Kariakoo katika Ligi Kuu Bara uliomalizika kwa sare ya 2-2, umeiletea Yanga maumivu makali ikipgwa faini ya Sh30 milioni huku maafisa wake wawili wakikumbana na adhabu…
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Timu ya Soka ya Taifa Tanzania kwa Wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queens kwa kufuzu Kombe la Dunia U-20,…