Prisons hali tete, Coastal yafanya kweli
Wakati Coastal Union ikifufuka Ligi Kuu Bara, Tanzania Prisons hali imezidi kuwa mbaya baada ya kukosa ushindi kwa mchezo wa nane mfululizo na kubaki kwenye presha ya kurudi Championship msimu…
Kipre Junior anusurika panga Algeria
DILI la winga Kipre Junior kuachwa pale MC Alger ya Algeria limebuma baada ya mchezaji huyo aliyekuwa akiwaniwa kubebwa na wapinzani wa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu,…
Edgar sasa atamani zaidi ya mabao 10
MCHEZAJI Bora wa Ligi Kuu Bara kwa Januari, William Edgar wa Dodoma Jiji amesema japo kila mechi wanayocheza kwa sasa ni kama fainali, lakini anatamani kumaliza msimu huu akiwa amefunga…
Rekodi tamu ya JKT Tanzania msimu huu 2025/26
BAADA ya ushindi dhidi ya Mashujaa ikifikisha pointi 27 kwenye mechi 15 ilizocheza, JKT Tanzania imebakiza tatu za ushindi ambazo ni sawa na pointi tisa ili kufikia rekodi ya alama…
Kibu Denis amfuata Mukwala Libya
Al Nasr imefikia makubaliano rasmi na Simba ya kumnunua mshambuliaji Kibu Denis baada ya klabu hiyo ya Misri jana kukubaliana maslahi binafsi na nyota huyo wa timu ya Taifa ya…
Yanga kwenye presha, tatizo la kufunga likiwaandama CAFCL
Wakielekea kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF), Young Africans wanajua kuwa ni muujiza pekee ndio unaweza kuwaweka hai katika mashindano ya…
Vigogo Bara wapewa mchekea Shirikisho
DROO ya mechi za hatua ya 64-Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) imefanyika jana na vigogo va Ligi Kuu Bara ikiwamo, Simba, Yanga, Azam FC na Singida Black…
Makapu, Bahanuzi waukubali mziki wa Bacca
MWENDELEZO wa kiwango anachokionyesha beki wa Yanga, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kimemuibua kiungo wa Bigman FC iliyopo Ligi ya Championship, Said Juma ‘Makapu’ anayeamini kinatokana na uvumilivu na nidhamu, huku straika…
Majeraha yamtibulia Salim Dodoma Jiji
KIPA wa Dodoma Jiji, Ally Salim amepata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa takribani mwezi mmoja.
KMC yaongoza ‘ligi’ ya kujiweka
KIKOSI cha KMC kinajindaa kushuka uwanjani jioni ya kesho Jumatano ikiwa wenyeji wa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku ikiwa ni kama imekumbwa na mdudu mbaya, kwani licha…
Makonda: Gamondi kabaki yeye tu kusaini mkataba
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake…
Yanga hesabu mpya zipo hapa, Pacome tatizo
EVODY: Beki aliyewazima mastaa Simba akiichezea Mtibwa Sugar HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa…
Maxime: Mfumo sasa umekubali, yeyote aje tu!
BAADA ya msoto wa muda mrefu bila ushindi, hatimaye juzi Mbeya City ilikata mzizi wa fitina kwa kuikanda TRA United kwa mabao 2-0, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky…
Bwenzi wala hana presha Mashujaa
KIUNGO mshambuliaji wa Mashujaa FC, Sele Bwenzi amesema licha ya kutofunga bao lolote hadi sasa, bado anajiamini kwa uwezo uwanjani, huku akieleza ugumu na vita ya namba uliopo kikosini.
Samatta, Msuva mambo magumu
LICHA ya nyota wawili Mbwana Samatta na Simon Msuva kuwa na umuhimu mkubwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars takwimu zinaonyesha msimu huu bado hawajaonyesha viwango vikubwa wakiwa…
Mabula akiri ngoma mzito Azerbaijan
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Shamakhi FK ya Ligi Kuu Azerbaijan, Alphonce Mabula amesema mzunguko wa pili wa ligi hiyo umeanza kwa kasi kubwa, huku ushindani ukiwa mkali zaidi…
Zizou mzuka umepanda Sierra Leone
KIUNGO wa Mogbwemo Queens, Mtanzania Zuwena Aziz 'Zizou' amesema kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Sierra Leone wakiwa kileleni ni jambo lililowaongezea kujiamini na kuwapa nafasi nzuri…
Mohamed Badru: Shilla atang’aa Sweden
KOCHA wa zamani wa Azam FC, Mohamed Badru amesema anajivunia kuona vijana aliowafundisha kwenye timu za vijana wakipata nafasi kimataifa baada ya Mohamed Shilla kutambulishwa AIK ya Sweden.
Mgosi afichua changamoto duru la kwanza WPL
KOCHA msaidizi wa Simba Queens, Mussa Hassan 'Mgosi' amesema changamoto kubwa kwa timu hiyo imekuwa ni kushindwa kumalizia vizuri msimu, licha ya kuanza kwa nguvu kila mwaka.
Kocha JKT Queens akiri shughuli nzito WPL
KOCHA wa JKT Queens, Kessy Abdallah amesema ushindani wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu ni mkubwa kiasi kwamba kosa dogo linaweza kuigharimu timu kisaikolojia.
Mastaa Ruangwa Queens wapewa siku 14
KIKOSI cha Ruangwa Queens kimewapa mapumziko ya wiki mbili wachezaji pamoja na benchi la ufundi kabla ya kurejea kambini Februari 25, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kujiimarisha zaidi kuelekea…
Bunda Queens washtukia jambo Ligi Kuu
KOCHA wa Bunda Queens, Alley Ibrahim amesema tofauti ya ubora kati ya timu nyingi imekuwa ndogo msimu huu jambo linaloongeza ushindani.
Saad Kawemba aula Mbeya Kwanza
KLABU ya Mbeya Kwanza imefikia makubaliano ya kumuajiri, Saad Kawemba ili awe Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) baada ya pande mbili kufikia uamuzi huo, ikiwa ni pendekezo la mmiliki wa kikosi…
Mohamed Kijuso atangaza vita mpya mapema
KOCHA msaidizi wa Bigman FC, Mohamed Kijuso, amesema malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kumaliza nafasi nne za juu, licha ya ushindani mkubwa uliopo hasa katika mechi za mzunguko…
Majeraha yamtibulia Kapera Polisi Tanzania
ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Polisi Tanzania, Ramadhan Kapera, amejiweka kando na kikosi hicho, licha ya hivi karibuni kuanza mazoezi na timu hiyo, baada ya kusumbuliwa na jeraha la goti…
Challe alia ufinyu wa kikosi KenGold
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema sababu ya timu hiyo kutokuwa na mwenendo mzuri hadi sasa, ni kutokana na ufinyu wa kikosi kilichopo, kwa sababu wachezaji wengi wanacheza maeneo…
Yanga yapoteza ugenini, hesabu za robo fainali zipo hivi
IKICHEZA ugenini kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Yanga imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa AS FAR Rabat katika mechi ya tano ya kundi B kwenye Ligi ya Mabingwa…
Azam yashinda mechi tatu mfululizo CAF
BAADA ya kuanza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa vichapo viwili mfululizo, Azam FC imeamka na sasa inatembeza dozi tu kwa wapinzani.
UNICEF yawapa wasanii jukumu la kupambana na ukatili
Kwa muda mrefu, tasnia ya muziki imekuwa ikilaumiwa kwa kuzalisha nyimbo zenye maudhui yanayodaiwa kukinzana na maadili ya jamii. Hali hiyo imekuja wakati jamii ikiendelea kukabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo…
Kazini kwa Muya Coastal kuna kazi
BAADA ya Coastal Union kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa Februari 6, 2026 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, imemfanya kocha mkuu…
Kilichokwamisha dili la Shomary Kazakhstan
DILI la aliyekuwa beki wa kushoto wa KMC, Rahim Shomary kujiunga na FK Zhenys inayoshiriki Ligi Kuu ya Kazakhstan, limeshindwa kukamilika, baada ya nyota huyo kuamua kurejea nchini na kutua…
Oura atupia, Simba ikiikazia Petro Atletico kwao
NYOTA mpya wa Simba SC, Anicet Oura, amefanikiwa kufunga bao lake la kwanza akiwa na kikosi cha timu hiyo baada ya kujiunga nacho dirisha dogo la usajili msimu huu akitokea…
Inonga amfuata Ateba Iraq
ALIYEKUWA beki wa kati wa Simba, Mkongomani Henock Inonga Baka, amejiunga na Al-Zawraa SC inayoshiriki Ligi Kuu ya Iraq, akiungana na mshambuliaji nyota wa zamani wa kikosi hicho raia wa…
Kiungo Stand ana hesabu kali kikosini
BAADA ya kuanza kazi ndani ya kikosi cha Songea United, kiungo mshambuliaji, Shaban Ada amesema hesabu zake ni kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ili kuimarisha kiwango chake, kuonekana…