Kule Championship msako Ligi Kuu Bara unaendelea
RAUNDI ya 17 ya lala salama ya Ligi ya Championship inaendelea tena Jumamosi hii kwa mechi tatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea Jumapili, huku kila timu ikipambana kwa…
Pamba Jiji Kirumba yaichapa Coastal Union 3-0
Baada ya kupoteza michezo miwili ya ugenini, leo Pamba Jiji imerudi nyumbani kwa kishindo baada ya kuichapa Coastal Union kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Ngoy aeleza siri ya ubora Namungo
AKIWA amehusika na pointi 14 kati ya 19 ilizoivunia Namungo, mshambuliaji Fabrice Ngoy amesema mafanikio ya ubora yanatokana na kuamini katika kujaribu na ushirikiano uliopo kati yake na wenzake.
Mashujaa FC, Fikiri Elias kuna jambo
WAZEE wa mapigo na mwendo, Mashujaa FC, wameanza mchakato wa kumchukua kocha Fikiri Elias ili kumrithi Salum Mayanga, baada ya uongozi kutoridhishwa na mwenendo wa timu.
Ndayiragije afurahia kuwanasa kina Nkane
KOCHA Mkuu wa TRA United, Etienne Ndayiragije, amesema maboresho yaliyofanywa na kikosi hicho katika dirisha dogo la usajili yamezingatia mahitaji, na ana matarajio makubwa na nyota wote waliojiunga na timu…
Waziri Riziki awataadharisha wawekezaji kwenye sanaa Zanzibar
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar Riziki Pembe, ametoa wito kwa wawekezaji kwenye sanaa Zanzibar kuzingatia mila na tamaduni.
Amri Kiemba achambua balaa la Buba Jammeh, aikumbusha haya Yanga kuepuka mtego wa Far Rabat, silaha!
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Mwili wa Ally Star waswaliwa nyumbani Kilosa, kuzikwa Mkwatani
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Baresi asuka bomu la washambuliaji KMC
KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed 'Baresi', baada ya kupata ushindi wa kwanza na timu hiyo tangu ajiunge nayo, Desemba 30, 2025, akichukua nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo, amesema malengo yaliyopo…
Mechi za kijiuliza Ligi Kuu Bara
IJUMAA hii, kuna mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinapigwa zikikutanisha timu ambazo hazina matokeo mazuri ziliposhuka dimbani hivi karibuni, hivyo zinatumia kujirekebisha ili kupanda kutoka zilipo kwenye msimamo.
Zamu ya Kibu Denis kusepa Simba, Waarabu wamwaga mpunga
Muda wowote kuanzia sasa, Simba itakamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji Kibu Denis kwenda Al Nasr ya Libya.
Fountain yahamia Sheikh Amri Abeid
MABOSI wa Fountain Gate wamefikia uamuzi wa kuhamishia mechi zote za nyumbani za timu hiyo za Ligi Kuu na mashindano ya ndani kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, baada…
Wasaudia wainasa saini ya Joshua Mutale
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia Joshua Mutale 'Budo', amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Al Adalah Club ya Saudi Arabia, baada ya mabwanyenye hao wanaoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kuonyesha nia…
Mashujaa yachoka unyonge Ligi Kuu, yaivimbia Prisons
MATOKEO ya kukosa ushindi katika mechi tano mfululizo yameonekana kuwaumiza Mashujaa FC, huku benchi la ufundi likitoa msimamo kwa nyota wake na kuahidi kurejesha kasi waliyoanza nayo msimu huu.
Ibenge azipigia hesabu dakika 90 CAFCC
ZIKIWA zimesalia dakika 180 kwa Azam FC kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa kikosi hicho, Florent Ibenge, amesema timu hiyo…
Mkakati wa Katwila mechi 3 za uamuzi Championship
MECHI tatu za mwezi Februari huenda zikatoa picha na ramani ya safari ya Geita Gold kuelekea Ligi Kuu Bara kwani zinaweza kuharibu hesabu na kutibua mipango endapo haitachukua alama zote…
Winga Azam FC atimkia Kenya
WINGA wa Azam raia wa Senegal, Pape Doudou Diallo, amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Shabana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu, baada ya…
Daruwesh Saliboko avunja ukimya KMC
KIUNGO mshambuliaji wa KMC, Daruwesh Saliboko ametumia siku 86 ambazo ni sawa na miezi miwili na siku 25 kupachika bao lake la tatu na la ushindi kwa timu hiyo ikiichapa…
Salum Mayanga akalia kuti kavu Mashujaa
BAADA ya kukosa ushindi kwenye mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara, uongozi wa Mashujaa upo katika mazungumzo ya kumalizana na kocha wa kikosi hicho, Salum Mayanga ili kufikia makubaliano…
Mkuu wa msafara Yanga afafanua sababu kuifuata mapema Far Rabat, Pedro aondoka na silaha zote vitani
MUTIMA WANGU; Hizi ndo sababu Alikiba kamvuta Kings Music MITANDAONI kumekuwa na maswali mengi kwa nini msanii Alikiba amesaini msanii wa kike kutoka Rwanda, Mutima Wangu ilihali Tanzania kuna wasanii…
Ali Kamwe: Tunaenda kuifanyia balaa Far Rabat, Simba ni special package, ataja bonus nono iliyowekwa
Clara, Masaka waitwa kukiwasha WAFCON 2026 KOCHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania maarufu Twiga Stars, Bakari Shime ametangaza kikosi cha awali kitakachojiandaa na michuano ya Kombe la…
Kinachoibeba Bandari Tanzania First League
MTENDAJI Mkuu wa klabu ya Bandari Tanzania, Ismail Chempele amesema maandalizi makubwa waliyofanya mwanzo wa msimu yakijumuisha usajili bora wa kikosi, benchi la ufundi, bajeti nzuri na mazingira salama ya…
Clara, Masaka waitwa kukiwasha WAFCON 2026
KOCHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania maarufu Twiga Stars, Bakari Shime ametangaza kikosi cha awali kitakachojiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON)…
Ouma apiga hesabu kali Kombe la Shirikisho Afrika
KIKOSI cha Singida Black Stars, kimeiwahi CR Belouizdad Zanzibar tayari kwa ajili ya mechi ya tano ya Kombe la Shirikisho Afrika kundi C inayotarajiwa kuchezwa Februari 8, mwaka huu huku…
Maxime alia na mabao Mbeya City
MBEYA City imeendelea kuhaha Ligi Kuu Bara baada ya leo kuambulia tena sare dhidi ya Dodoma Jiji, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo Mecky Maxime akitaja kinachowaangusha akitoa matumaini mapya…
Makocha wagusia kutojiamini kikapu
IMEKUWA ni kawaida kwa baadhi ya wachezaji wazawa wa kikapu nchini kutojiamini katika mechi wanazocheza kutokana na aina ya ushindani wanaokutana nao kutoka kwa wachezaji wa timu pinzani.
Anayekipiga nje ataja watatu WBDL
SUPASTAA wa zamani wa timu DB Lioness, Orlyne Londo aliyetimkia Bravehearts ya Malawi inayoshiriki Ligi ya Kikapu nchini humo amewataja Jesca Lenga wa DB Troncatti, Jesca Ngisaise (JKT Stars) na…
Ukonga Kings iamerudi Ligi Kikapu Dar
TIMU ya Ukonga Kings imerejea katika Ligi Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), baada ya kuifumua Magone kwa mechi 2-0 katika nusu fainali ya Ligi Daraja la Kwanza, na…
Ukonga Kings imerudi Ligi ya Kikapu Dar
TIMU ya Ukonga Kings imerejea katika Ligi Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), baada ya kuifumua Magone kwa mechi 2-0 katika nusu fainali ya Ligi Daraja la Kwanza, na…
Staa Nairobi United alia na refa kipigo cha Azam, wampa U-Role model Fei Toto wakijifunza haya kwake
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Ukurasa mpya uwanja wa Yanga
HISTORIA mpya inaenda kuandikwa. Sasa ni rasmi Yanga imepata mzabuni aliyeshinda tenda ya kujenga uwanja wa klabu hiyo baada ya awali kutangaza mchakato huo na kutoa fursa kwa aliye tayari…
Maxime asisitiza jambo, Josiah apiga mkwara
WAKATI leo Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ukitarajiwa kuchezwa mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Mbeya City na Dodoma Jiji, makocha wa timu hizo kila mmoja ameibuka kwa staili…
Guede ajiapiza Singida Black Stars
LICHA ya kupoteza mchezo kwa mabao 2-1 ugenini dhidi ya AS Otoho, mshambuliaji Joseph Guede amesema bado wana nafasi ya kufanya vizuri na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe…
Aman Josia: Ukimgusa Edgar, hawa watakumaliza
WAKATI Dodoma Jiji ikishuka uwanjani leo kuikabili Mbeya City, kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah amesema hawaingii kazini wakimtegemea mchezaji mmoja, Wiliam Edgar bali wapo wengine wenye uwezo wa…
Mbeya City ni kufa au kupona Ligi Kuu Bara
KIPA wa Mbeya City, Soud Dondola amesema mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji ni kufa au kupona, akieleza kuwa pointi walizopoteza zinatosha na sasa kazi inaanza upya, huku kocha mkuu…
Kocha atozwa faini kwa kumpiga mwamuzi
KOCHA wa timu ya Kundemba inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Zanzibar, Mohammed Seif Mzee, amefungiwa michezo mitatu mfululizo na kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kuhamasisha vitendo vya…